Wabunge wa CHADEMA (Covid-19) Nao Wajiuzulu

Mwingereza

JF-Expert Member
Jan 21, 2014
1,110
2,736
Wabunge 19 wa Chadema maarufu kama Covid 19 nao pia wajiandae kuondoka Bungeni kwani aliyewabeba ameondoka madarakani. Hatima yao kwa sasa itakuwa kwenye katiba , ambayo inasema wazi kabisa kwaba , mbunge anapokosa chama, anakuwa siyo mbunge tena.

COVID-19 waachie ngazi mara moja
 
Yule hawezi kuwabeba bila baraka na maelekezo ya mlipaji mishahara(Executive)
 
Pikicha
Screenshot_20220106-180430_Twitter.jpg
 
Wamewaibia watanzania kodi zao sn kwa kula posho na mishahara ya kihuni huni
 
Wabunge 19 wa Chadema maarufu kama Covid 19 nao pia wajiandae kuondoka Bungeni kwani aliyewabeba ameondoka madarakani. Hatima yao kwa sasa itakuwa kwenye katiba , ambayo inasema wazi kabisa kwaba , mbunge anapokosa chama, anakuwa siyo mbunge tena.

COVID-19 waachie ngazi mara moja
MUNGU ATAWACHAPA FIMBO KIVINGINE
 
Back
Top Bottom