2025 Rais wetu ni Lissu. Mbowe ni sawa na Zitto, wote Mamluki

Mwingereza

JF-Expert Member
Jan 21, 2014
1,111
2,749
Mbowe anazunguka na Chopper. Mbowe amepewa Landcruiser V8 mbili na Samia. Ana msafara wa V8 kumi nambili, Huku Makamu mwenyekiti wake anabaguliwa. Hana hata gari moja Nadhani ni dhahiri kwamba Samia anataka Mbowe agombee 2025 ili auze ushindi. Watanzania hawatakubali. Chadema siyo mali ya Mbowe. Chama cha Watanzania.

Tuko tayari kuhamasisha michango nchi nzima kuhakikisha Lissu anaendelea na juhudi zake za kutusemea. Watanzania hata tukichanga 1000. Fedha itapatikana ya kutosha kumuwezesha Lissu. To hell with Mbowe, Mnyika, Sugu na John Mrema.

Angalieni wanamvyomdhalilisha Lissu. This is unacceptable Lissu amejitolea uhai wake kwa ajili ya watanzania. Mbinu yenu kumkatisha Lissu tamaa, itashindwa. Wananchi tunamtambua kama msemaji wetu. Tutakufa naye

Shame on you Mbowe na Rais Samia na Sugu naye kauza nafsi yake kwa vipande vya fedha.

IMG-20230520-WA0008.jpg

Politics is tactical and brain game, bila mwenye akili kuweka sawa mambo mngepazaje sauti huko kitaa? 😇😇😇
 
Mbowe anazunguka na Chopper. Mbowe amepewa Landcruiser V8 mbili na Samia. Ana msafara wa V8 kumi nambili, Huku Makamu mwenyekiti wake anabaguliwa. Hana hata gari moja Nadhani ni dhahiri kwamba Samia anataka Mbowe agombee 2025 ili auze ushindi. Watanzania hawatakubali. Chadema siyo mali ya Mbowe. Chama cha Watanzania.

Tuko tayari kuhamasisha michango nchi nzima kuhakikisha Lissu anaendelea na juhudi zake za kutusemea. Watanzania hata tukichanga 1000. Fedha itapatikana ya kutosha kumuwezesha Lissu. To hell with Mbowe, Mnyika, Sugu na John Mrema.

Angalieni wanamvyomdhalilisha Lissu. This is unacceptable Lissu amejitolea uhai wake kwa ajili ya watanzania. Mbinu yenu kumkatisha Lissu tamaa, itashindwa. Wananchi tunamtambua kama msemaji wetu. Tutakufa naye

Shame on you Mbowe na Samia na

View attachment 2629388
View attachment 2629396
Sugu naye kauza nafsi yake kwa vipande vya fedha
LOOOooh!

Hiyo picha ya Lissu kwenye 'platform' aliyotengenezewa kuhutubia umati wa watu inafaa iwekwe kwenye kumbukumbu maalum.
Kuna siku itapata maelezo sahihi juu yake.

Mkuu Erythrocyte niliyemtegemea sana kwa mambo kama haya huenda akaiona hii na kuihifadhi vizuri.

Mwingereza, naona sasa umejipambanua vizuri, kuliko hapo mwanzo nilipoanza kukusoma humu JF.
 
Hapa unajisemea mwenyewe mkuu, humsemei mtu mwingine yeyote.
Wewe naona una tatizo la kutojua kusoma, au kama unajua kusoma basi una tatizo la kuelewa unachokisoma.
Ebu soma tena ile sentensi niliyonukuu, halafu uniambie yeye alikuwa anamsemea nani.
 
Mwingereza naona sasa umeamua kujiacha hisia zilizopitiliza zikutawale.

Hilo la Mbowe kugombea Urais 2025 ili amuachie Samia umelitoa wapi?!

Mbowe alishasema this year ataondoka madarakani, na mpaka sasa hajawahi kubadilisha ile kauli yake, ambapo juzi tu Chadema wametangaza kuanza kutoa form kwa wanaotaka kugombea.

Huu mchezo huwa hautaki hasira, rilaxx time italeta majibu, either Mbowe anamhujumu Lissu au vinginevyo..

Muhimu kumbuka, siasa ni very complex game, kesho au kesho kutwa linaweza kutokea jambo dogo tu, likayafuta haya mawazo yako yote kichwani.
 
Wewe na Lissu nani Zezeta.. Lissu alikuwa mwanafunzi bora kwa ufaulu nora kitivo cha sheria akichukua digrii yake ya kwanza. Wewe una record gani ya maana kwenye safari yako ya Elimu?, Acha Wivu?
Wewe unaumwa. Nenda ukapimwe haraka iwezekanavyo kabla ugonjwa haujazidi. Kama unadhani watu wazima na akili zetu tunaweza kuchagua zezeta kuwa rais basi una ugonjwa wa kufisha.
 
Nyie jamaa nyinyi hivi hamuwez mkafanya mwaka ukaisha bila kuchangisha wananchi hela? hivi hela za join the chain zimeshakata
HATUTAWAPA KURA, KURA ZOTE NI KWA CCM
 
Mwingereza naona sasa umeamua kujiacha hisia zilizopitiliza zikutawale.

Hilo la Mbowe kugombea Urais 2025 ili amuachie Samia umelitoa wapi?!

Mbowe alishasema this year ataondoka madarakani, na mpaka sasa hajawahi kubadilisha ile kauli yake, ambapo juzi tu Chadema wametangaza kuanza kutoa form kwa wanaotaka kugombea.

Huu mchezo huwa hautaki hasira, rilaxx time italeta majibu, either Mbowe anamhujumu Lissu au vinginevyo..

Muhimu kumbuka, siasa ni very complex game, kesho au kesho kutwa linaweza kutokea jambo dogo tu, likayafuta haya mawazo yako yote kichwani.
Wewe unaziona dalili za Mbowe kustaafu?
 
Mbowe anazunguka na Chopper. Mbowe amepewa Landcruiser V8 mbili na Samia. Ana msafara wa V8 kumi nambili, Huku Makamu mwenyekiti wake anabaguliwa. Hana hata gari moja Nadhani ni dhahiri kwamba Samia anataka Mbowe agombee 2025 ili auze ushindi. Watanzania hawatakubali. Chadema siyo mali ya Mbowe. Chama cha Watanzania.

Tuko tayari kuhamasisha michango nchi nzima kuhakikisha Lissu anaendelea na juhudi zake za kutusemea. Watanzania hata tukichanga 1000. Fedha itapatikana ya kutosha kumuwezesha Lissu. To hell with Mbowe, Mnyika, Sugu na John Mrema.

Angalieni wanamvyomdhalilisha Lissu. This is unacceptable Lissu amejitolea uhai wake kwa ajili ya watanzania. Mbinu yenu kumkatisha Lissu tamaa, itashindwa. Wananchi tunamtambua kama msemaji wetu. Tutakufa naye

Shame on you Mbowe na Rais Samia na Sugu naye kauza nafsi yake kwa vipande vya fedha.

View attachment 2629388
View attachment 2629396
Erythrocyte
 
Attachments

  • IMG-20230520-WA0008.jpg
    IMG-20230520-WA0008.jpg
    110.2 KB · Views: 1
  • FwkSyIIXoAAx-oS.jpg
    FwkSyIIXoAAx-oS.jpg
    79.3 KB · Views: 2
Back
Top Bottom