Rwanda inarusha Satelaiti ya Kijeshi. Je, Tuko Salama?

Mwingereza

JF-Expert Member
Jan 21, 2014
1,111
2,675
Rwanda to launch satellite constellation by end of 2023

Rwanda will join the list of African countries that have successfully orbited satellites, including Algeria, Ethiopia, Kenya, Zimbabwe, South Africa, Morocco, Egypt, Ghana and Nigeria.

1657867114053.png

Rwandan Minister of ICT and Innovations Paula Ingabire has announced that the country will be conducting a beta launch for the Cinnamon-217 and Cinnamon-937 satellite constellation.

In October 2021, Rwanda Space Agency filed a request to acquire these satellites, but the Minister noted that the number had increased to seven satellites. According to her, the full satellite launch should be by the end of 2023.

Rwanda is in talks with a number of countries to assist in the development of its space capabilities, in the hopes of securing accords that will support the countrys Information and Communication Technology (ICT) objectives.

The countrys space ambitions have attracted interest from countries such as Japan, Israel, and the United Arab Emirates, the Minister of ICT and Innovations told The New Times.

The proposed mid to long-term partnerships with these countries, she said, range from the use of geospatial data to the design and manufacturing of satellites. For example, Rwanda and Israel signed an agreement in 2020, effectively laying the grounds for pursuing this cooperation.

In 2019, Rwanda and Japan teamed up to build the first cube satellite (RwaSat-1), which was launched from Japans Tanegashima Space Centre and deployed to the Low Earth Orbit (LEO) from the International Space Station.

Under the partnership with Japan, Ingabire disclosed that 20 Rwandans are currently undergoing training in designing and producing minisatellites.

Rwanda recently approved the law establishing its space agency as the Chamber of Deputies voted. The Chamber of Deputies is the lower house of Rwandas national legislature.
 

denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
12,327
46,961
Umoja wetu ndio mtaji wetu na ndio usalama wetu
"Umoja" upi mjomba?

Viongozi wetu wanatakiwa kuacha kuwaza mambo madogo kama kuzuia wapinzani wasifanye shughuli zao za kisiasa kinyume cha sheria.

Badala yake wajikite kwenye kuendeleza taifa letu kiteknolojia, wajue namna ya kufanya counter attack za hizo attempt za huyo jamaa.

Hatuwezi kukaa tu tumelala halafu tunamuona jirani "much know" anafanya mambo yake, huku sisi tunajiliwaza na nyimbo zetu za "Umoja"

Ninaamini, hiyo rocket moja wapo ya kazi yake ni kuangalia usalama wa Rwanda dhidi ya majirani zake, itatuchungulia hiyo.
 

Bufa

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
7,810
12,242
Rwanda wanataka satellite for communication purposes, "The minister noted that Rwanda is in talks with a host of nations to help develop its space capabilities in possible deals that will potentially add impetus to the country’s Information and Communication Technology (ICT) ambitions"

Sio Kila satellite inahusiana na mambo ya jeshi matter of fact satellites za nchi nyingi duniani ni kwaajili ya mawasiliano.

Kenya Wana satellite sijui mbili nini kimetokea? Kati ya Kenya na Rwanda nani anaweza hata kuijaribu TZ?

Zimbabwe Wana satellite inewasaidia nini kama hata mlo mmoja kwa siku unawashinda?

Djibouti nao wapo in plans za kuwa na satellite nao mnawaogopa?

Mitanganyika mna inferiority complex Hadi aibu.
 

Nkanini

JF-Expert Member
Jun 6, 2017
4,240
9,191
Tulinde kwanza mipaka yetu!human trafficking syndicates zinafanya zinavyotaka, why wengi wanakamatiwa deep in Tanzania?na elewa 40%ya wahamiaji haramu wanaokwenda SA wanapitia nchi yetu
 

Bufa

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
7,810
12,242
"Umoja" upi mjomba?

Viongozi wetu wanatakiwa kuacha kuwaza mambo madogo kama kuzuia wapinzani wasifanye shughuli zao za kisiasa kinyume cha sheria...

Kenya Wana satellites zaidi ya Moja imeidhuru nini Tanzania?

Zimbabwe Wana satellite inewasaidia nini?

Mnajua satellite is basically minara ya mawasiliano tu unless mnaogopa hata minara ya mawasiliano.
 

Champagnee

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
9,900
24,676
Rwanda ni shushushu wa mabeberu nahis atakuja kuharibu East Africa nadhani tunajua mipango ya hao West huyu ndo kibaraka wao. Naona kuanguka kwa EAC soon. Huyu dogo ameanza dharau anatakiwa ashughulikiwe mapema
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

3 Reactions
Reply
Top Bottom