Madaraka ni DHAMANA. Wanaomuonea Mbowe watapukutika mmoja baada ya Mwingine

Mwingereza

JF-Expert Member
Jan 21, 2014
1,111
2,749
Tumekuwa tukisikia malalamiko mengi sana. Mengi sana dhidi ya wenye madaraka wanaobambikia watu kesi za ajabu ajabu hasa za kisiasa. Ingawa watu wanaonewa kila kona, wanauwawa bila hatia na polisi kwa mfano kule Mtwara, kijana asiyekuwa na hatia kauwawa sababu ya dhulma.

WAALIFU Kama Urio, na Kingai wanalindwa. Lingwenya, Adamoo na Mbowe wanaozea jela

Wafanyabiashara wengi wamenyang'anywa mali zao. Raia wasio na silaha wala namna ya kujitetea ndio wananyanyswa na wenye madaraka na silaha za kila aina

Zaidi tunashuhudia Mheshimiwa Mbowe na vijana wake wakiwa gerezani kwa marisa yasiyoeleweka. Duniani tunapita, ila hawa watesi, Watengeneza kesi, wanaotetea hizi kesi za uonevu watapukutika mmoja baada ya mmoja. Hata kama ni kwa kulinda madaraka waliyo nayo, hawa ndugu zetu hawaweza kuishi kuijua kitu kiitwacho amani. Kama siyo wao, familia zoo zitaishi kwa mateso makubwa

Tunafika sehemu Mbowe anawekwa jela kwamba ni Ghaidi. Tusimchezee mtu aitwaye Mungu. Hawa watu hawataweza kuishi kuiona amani kutokana na uonevu wao. Magufuli, Makonda, Sabaya, Ndungai ni mfano hai...... Watch the space !

Karma is a BITCH!!
 
Acheni kumtaja Mungu kwny masiasa yenu hayo yaliyojaa uongo na ghiriba (ghilba?) tangu huko kwny mavyama yenu. CDM ni mabingwa wa uvushi, fitna, uongo, chuki na hata hila kwa wenzao CUF na ACT Wazalendo. Ndani ya chama sisemi, nawaachia wenyewe. Mungu hapendi vitu vyote hivyo, msimkasirishe hapa kwa kumtaja kinafiki namna hiyo!
 
Ndiyo utoke mbele utuhadithie kwa mifano na uhalisia kuhusu huo uongo na ghiliba.Usieleze kwa hisia tu bila ushahidi au vielelezo.
 
Mbona viko wazi tu hivyo mdau, hata haihitaji nguvu kuviona. Mfano mdogo tu, hamkomi Kuwaita cuf na act kuwa ni ccm b, wametumwa na ccm, siyo wapinzani n.k huku nyie ndio mnaohamia huko ccm.
 
Acheni kumtaja Mungu kwny masiasa yenu hayo yaliyojaa uongo na ghiriba (ghilba?) tangu huko kwny mavyama yenu. CDM ni mabingwa wa uvushi, fitna, uongo, chuki na hata hila kwa wenzao CUF na ACT Wazalendo. Ndani ya chama sisemi, nawaachia wenyewe. Mungu hapendi vitu vyote hivyo, msimkasirishe hapa kwa kumtaja kinafiki namna hiyo!
Swali rahisi tu, "unawezaje kusimama Mahakamani tena Kwa kuapa huku ukifahamu fika kuwa unayokwenda kushuhudia ni uongo mtupu?? Mungu hataniwi. Ni suala la muda tu Mungu atakwenda kutenda jambo dhidi ya wote wanaoshuhudia uongo kwa lengo la kuwaumiza wengine.
 
Mbona viko wazi tu hivyo mdau, hata haihitaji nguvu kuviona. Mfano mdogo tu, hamkomi Kuwaita cuf na act kuwa ni ccm b, wametumwa na ccm, siyo wapinzani n.k huku nyie ndio mnaohamia huko ccm.
Kuna kuhamia na kununuliwa kwa lazima (blackmail).Muulize luteni Urio.
 
Acheni kumtaja Mungu kwny masiasa yenu hayo yaliyojaa uongo na ghiriba (ghilba?) tangu huko kwny mavyama yenu. CDM ni mabingwa wa uvushi, fitna, uongo, chuki na hata hila kwa wenzao CUF na ACT Wazalendo. Ndani ya chama sisemi, nawaachia wenyewe. Mungu hapendi vitu vyote hivyo, msimkasirishe hapa kwa kumtaja kinafiki namna hiyo!
Tunamzungumzia Mbowe
 
Kipindi cha awamu ya 5 shughuli halali za vyama vya upinzani zilipigwa marufuku eti mpk wkt wa uchaguzi ujao. Uendeshaji wa chaguzi zote ulighubikwa na matendo ya ukiukwaji sheria, ghilba na uonevu wa wazi dhidi ya wapinzani.

Wapinzani waliwekwa ndani vipindi virefu kwa kesi za kubumba na bila option ya dhamana. Ni ktk nchi chache duniani ambapo watawala wanaoendesha ukandamizaji wa aina hii hawategemei pawepo na reaction.

Ktk historia ya dunia mara nyingi, ni matendo ya watawala yanayosababisha uvunjifu wa amani na "ugaidi"
 
Acheni kumtaja Mungu kwny masiasa yenu hayo yaliyojaa uongo na ghiriba (ghilba?) tangu huko kwny mavyama yenu. CDM ni mabingwa wa uvushi, fitna, uongo, chuki na hata hila kwa wenzao CUF na ACT Wazalendo. Ndani ya chama sisemi, nawaachia wenyewe. Mungu hapendi vitu vyote hivyo, msimkasirishe hapa kwa kumtaja kinafiki namna hiyo!
Mbowe mwenyewe anachopitia sasa hivi Ni matokeo ya kuonea na kuua watu.

Karma is a bitch.
 
Hata waliosuka mpango mzima wa kesi za Sabaya kwa speed ya 4G nao majibu watayapata.

Kweka aliunda tusk force ya kumridhisha Baba mkwe,lakini naye ameshindwa kuiunda tusk force ingine kumuokoa Baba mkwe.

Siku zinaenda kasi sana!
 
Tumekuwa tukisikia malalamiko mengi sana. Mengi sana dhidi ya wenye madaraka wanaobambikia watu kesi za ajabu ajabu hasa za kisiasa. Ingawa watu wanaonewa kila kona, wanauwawa bila hatia na polisi kwa mfano kule Mtwara, kijana asiyekuwa na hatia kauwawa sababu ya dhulma.

WAALIFU Kama Urio, na Kingai wanalindwa. Lingwenya, Adamoo na Mbowe wanaozea jela

Wafanya biashara wengi wamenyang'anywa mali zao. Raia wasio na silaha wala namna ya kujitetea ndio wananyanyswa na wenye madaraka na silaha za kila aina

Zaidi tunashuhudia Mheshimiwa Mbowe na vijana wake wakiwa gerezani kwa marisa yasiyoeleweka. Duniani tunapita, ila hawa watesi, Watengeneza kesi, wanaotetea hizi kesi za uonevu watapukutika mmoja baada ya mmoja. Hata kama ni kwa kulinda madaraka waliyo nayo, hawa ndugu zetu hawaweza kuishi kuijua kitu kiitwacho amani. Kama siyo wao, familia zoo zitaishi kwa mateso makubwa

Tunafika sehemu Mbowe anawekwa jela kwamba ni Ghaidi. Tusimchezee mtu aitwaye Mungu. Hawa watu hawataweza kuishi kuiona amani kutokana na uonevu wao. Magufuli, Makonda, Sabaya, Ndungai ni mfano hai...... Watch the space !

Karma is a BITCH !!!!!!!
MTU huyu AMEONEWA SANA na UTAWALA wa Awamu ya 5
Ameharibiwa Shamba lake,Eneo lake la Biashara,Amefungiwa Akaunti zake,Amesingiziwa Kesi nyingi sana yeye na Viongozi wa Chadema
Ameharibiwa gari lake
Amedhulumiwa Ubunge wake
LEO ANABAMBIKIZIWA UGAIDI kwa Kuonewa
Hakika MUNGU ATAMLIPIA TU

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Acheni kumtaja Mungu kwny masiasa yenu hayo yaliyojaa uongo na ghiriba (ghilba?) tangu huko kwny mavyama yenu. CDM ni mabingwa wa uvushi, fitna, uongo, chuki na hata hila kwa wenzao CUF na ACT Wazalendo. Ndani ya chama sisemi, nawaachia wenyewe. Mungu hapendi vitu vyote hivyo, msimkasirishe hapa kwa kumtaja kinafiki namna hiyo!
we ulitaka mungu atajwe wapi ndio uridhike?
 
Tumekuwa tukisikia malalamiko mengi sana. Mengi sana dhidi ya wenye madaraka wanaobambikia watu kesi za ajabu ajabu hasa za kisiasa. Ingawa watu wanaonewa kila kona, wanauwawa bila hatia na polisi kwa mfano kule Mtwara, kijana asiyekuwa na hatia kauwawa sababu ya dhulma.

WAALIFU Kama Urio, na Kingai wanalindwa. Lingwenya, Adamoo na Mbowe wanaozea jela

Wafanya biashara wengi wamenyang'anywa mali zao. Raia wasio na silaha wala namna ya kujitetea ndio wananyanyswa na wenye madaraka na silaha za kila aina

Zaidi tunashuhudia Mheshimiwa Mbowe na vijana wake wakiwa gerezani kwa marisa yasiyoeleweka. Duniani tunapita, ila hawa watesi, Watengeneza kesi, wanaotetea hizi kesi za uonevu watapukutika mmoja baada ya mmoja. Hata kama ni kwa kulinda madaraka waliyo nayo, hawa ndugu zetu hawaweza kuishi kuijua kitu kiitwacho amani. Kama siyo wao, familia zoo zitaishi kwa mateso makubwa

Tunafika sehemu Mbowe anawekwa jela kwamba ni Ghaidi. Tusimchezee mtu aitwaye Mungu. Hawa watu hawataweza kuishi kuiona amani kutokana na uonevu wao. Magufuli, Makonda, Sabaya, Ndungai ni mfano hai...... Watch the space !

Karma is a BITCH !!!!!!!
Mkuu usingemalizia kwa kutaja majina pengine bandiko lako lingekuwa na maana ila kwa Sasa nikama unaomba rehema kwa kuziba jicho moja, kesi ya sabaya na mbowe zote zinafanana na zote Ni za kisiasa na kwa kuwa tulishauri hum ndan kuwa Hawa wote wasamehewe maisha yaendelee watu wakasema hapana sabaya jambazi, haya sheria ikafuata mkondo wake, Sasa mnaona mambo yanakwenda mlama mnaanza kulialia ohoo sijui karma cjui makolokolo gan, mkuu subrin dawa iingie vzr, hyo ndo rule of law, ukipenda boga penda na majan yake
 
Back
Top Bottom