Common rail direct fuel injection is a direct fuel injection system built around a high-pressure (over 2,000 bar or 200 MPa or 29,000 psi) fuel rail feeding solenoid valves, as opposed to a low-pressure fuel pump feeding unit injectors (or pump nozzles). High-pressure injection delivers power and fuel consumption benefits over earlier lower pressure fuel injection, by injecting fuel as a larger number of smaller droplets, giving a much higher ratio of surface area to volume. This provides improved vaporization from the surface of the fuel droplets, and so more efficient combining of atmospheric oxygen with vaporized fuel delivering more complete combustion.
Common rail injection is widely used in diesel engines. It is also the basis of gasoline direct injection systems used on petrol engines.
Hizi Kesi zote tatu za Mauaji , Wakili Kibatala anashinda MAHAKAMA ya RUFANI dhidi ya Jamhuri.
Dada wa Msuya akauliwa,
J4 Akaua mfanyakazi wake akafungwa, Rufani akaachiwa.
Super Sami aliuwawa, Wakafungwa na kuhukumiwa Kunyongwa, Leo Wameachiwa
Kibatala yeye anachofanya, Anacheza na Mashimo...
Sote tumeona namna shahidi Ramadhani Kingai alivokwepa kusimama kizimbani na kutoa msimamo wake katika ushahidi dhidi ya kesi inayomkabili Tundu Lissu.
Hiki ni kipimo kwa mahakama yetu hapa nchini je Hatua Gani itachukuliwa dhidi ya mtu huyu?
Wakili Aloyce Komba, Wakili Kiongozi wa Haki Kwanza Advocates, ni mtaalamu wa mwenendo wa kesi za jinai, haki jinai na haki za binadamu. Katika mahojiano haya, anaeleza maana ya Mahakama Kuu kutowalazimisha mashahidi watatu waliokuwa wameombwa na upande wa utetezi katika kesi inayomkabili...
Baada ya kusoma maelezo ya wakili Matata, hiyo ndivyo nilivyoelewa.
Kwahiyo, mpaka hapa, Lissu aliitega mahakama na mahakama ikaingia kingi ingawa nashindwa kuamini kuwa mahakama haikuona hii kasoro.
Swali ambalo bado linaumiza kichwa changu, ni kuhusu CDF ns IGP kusemewa na DCI na...
Ili uelewe hiki ninachokiandika, kwanza elewa majukumu ya DCI (Mkurugenzi wa Upelelezi Makosa ya jinai) ndani ya Jeshi la Polisi ambaye kwa sasa ni huyo hapo kwenye picha Ramadhani Kingai...
MAJUKUMU YA DCI
Kusimamia Upelelezi: Kuongoza, kuratibu na kusimamia shughuli zote za kiupelelezi...
Hawa watu kupewa vyeo vikubwa inaamunika wana akili kubwa sana. Wao ndio viongozi wa vyombo.
Kupitia Kingai wametoa kauli kuwa hawako tayari kumtetea Mh. Lissu. Sasa najiuliza kwani waliitwa pale mahakamani kumtetea Lissu? Ama kueleza wanachojua kuhusiana na maswala ambayo Lissu atataka...
Kwasababu sote ni mashuhuda jinsi ambavyo DCI na mashahidi wengine ambao tundu lisu aliwadanganya wafuasi wake kwamba hao ni mashahidi wake na wangetetea uhalifu wake mahakamani, lakini cha kushangaza mashahidi hao wamemkataa na kujitenga kabisa na uhalifu wa mtuhumiwa huyo wa uhaini.
Na hapa...
Siasa zinazopigwa ndani ya mahakama katika kesi hii ya kisiasa lakini iliyopewa Jina la "uhaini" actually is very interesting...
Hebu soma hiki ambacho Mhe. Lissu amekisema mbele ya mahakama baada ya kufanya legal consultation na ambaye angekuwa shahidi wake DCI Ramadhani Kingai;
Anasimama Mh...
Nina maswali kadhaa ambayo kutokana na umuhimu na uzito wake nimelazimika kuyauliza katika uzi mpya badala ya kutumia nyuzi za kesi hiyo zilizopo sasa.
Siku ya leo wakati Ramadhan Kingai alipoenda mahakamani, alizungumza na kujadiliana na Tundu Lissu na kumwambia maneno ambayo Lissu alikuja...
Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Lissu angekubali kirahisi hao mashahidii kutohijiwa kwa cross examination iwapo wangekataa kuwa upande wake..
Kingine kilichonishangaza, ni DCI Kingai kuwasemea mashahidi wenzake na Lissu kukubali kirahisi tu kwani ni hatari kwake iwapo cross examination ya hao...
Wakuu ! Tukiwa tunasubiri siku ya Ijumaa saa 8:30 mchana, ambapo Mh Tundu Lissu atakuwa anamuongoza DCI Kingai kwenye kesi inayomkabili Tundu Lissu nimeona niwaletee kumbukumbu ya Wakili Kibatala dhidi Ya DCI Kingai
Kesi ya Mbowe na Wenzake: Maswali ya Mawakili na Majibu ya ACP Kingai...
JE SUMMONS ZA MASHAHIDI IGP, DCI NA CDF ZIMEKUWA SERVED KWA WAHUSIKA DODOMA/DSM?
Mrejesho wa Msajili unaonyesha summons zilitumwa Dodoma, lakini hazikuweza kuwasilishwa kwa sababu mashahidi wote wako nje ya nchi.
Naweza kusema sasa tatizo sio tena relevance ya mashahidi, ila ni service na...
DCI imevamia godown moja Canaan, Kasarani, na kufichua kile inachodai kuwa operesheni kubwa ya kupakia upya unga wa mahindi kwa kutumia vifungashio vinavyofanana na vya brands maarufu nchini.
Watu saba walikamatwa katika operesheni hiyo ya Septemba 15.
Ndani ya godown, detectives walipata...
Hivi ndivyo ilivyokuwa wakati akii - impose hoja hii..
Jaji Ndunguru: Bado una mashahidi watatu tutamaliza Natumaini tutamaliza within time mshtakiwa maana tulitegemea Ijumaa mngewasilisha final submissions
Mhe.Lissu: Kwanza hao mashahidi wangu nahitaji kuonana nao ili tupange mkakati wa kesi...
Lissu ana haki ya kuonana na mashahidi wake kabla ya kesi ili wapange mikakati ya kesi yao. Hilo linapaswa kutokea kabla ya kuanza kutoa ushahidi kama ilivyokuwa kwa Heche, Mnyika etc.
Hivyo mahakama iweke utaratibu kwa mashahidi watatu waliobaki yaani CDF, DCI na IGP mshitakiwa aweze kuonana...
Rule of law inasema no one above the law.
Naamini nchi yetu inaendeshwa Kwa mujibu wa Sheria sio mtu mmoja ajikurupia TU kutaka kupindua serikali
Nashauri mashahidi hao watatu wakatiwe rufaa Ili wake wathinishe uhaini kama ni mtu kunyongwa anyongwe Kwa haki.
Tutakuwa hutajamtendea haki...
Kwanza, nianze kwa kusema kwamba nimekuwa nikifuatilia kwa karibu kesi hiyo tangu siku ya kwanza Tundu Lissu alipofikishwa katika Mahakama ya Kisutu hadi sasa, ambapo kesi hiyo inaendelea kusikilizwa katika Mahakama Kuu, huku mshtakiwa akiwa amekaa rumande kwa zaidi ya siku 400.
Katika kipindi...
Wakuu JF amani iwe nanyi,
Baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania kumkuta Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, na kesi ya kujibu kwenye mashtaka ya uhaini, mjadala mkubwa umehamia kwenye orodha ya mashahidi wa utetezi.
Katika uamuzi wake kuhusu maombi ya utetezi, Mahakama Kuu imeridhia waitwe viongozi...
Hata kama hamna Akili ya kutafakari, Embu Jiulizeni tu, kwann Serikali ya Samia, imehakikisha inawachomeka nyinyi kwenye KESI hii kama Mashahidi mloitwa na LISSU ?.
Kwa tafasiri ya Kawaida, Mmeunganishwa Moja kwa Moja na Matukio ya Mauaji ya Oktoba 29 2025.
Mara zote nmewaambia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.