hataki

A hataki (叩き) is a type of household cleaning tool that originated in Japan. Consisting of durable cloth strips attached to a stick or pole, it is used for moving dust from surfaces onto the floor where it can be swept up or vacuumed. Similar to a feather duster, it is not to be confused with an ōnusa.This duster, made of a bamboo pole and cloth strips, is a fixture in every Japanese home.
The hataki does not trap dust but, with its familiar sound, pushes it onto the floor where it can be swept up.

View More On Wikipedia.org
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kama mkeo hataki kulea watoto wako ambao hajawazaa. Usimlazimishe ni haki yake. Tafuta Yaya umuajiri alee watoto wako.

    KAMA MKEO HATAKI KULEA WATOTO WAKO AMBAO HAJAWAZAA. USIMLAZIMISHE NI HAKI YAKE. TAFUTA YAYA UMUAJIRI ALEE WATOTO WAKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mtu asibebe msalaba wa mwingine au mzigo wa mwingine kama sio hiyari yake mwenyewe. Kama ilivyo kwako mwanaume, sio wajibu wako kumlea mtoto...
  2. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Rais wa Tanzania hataki kupoteza muda,kufikili dhidi ya teuzi zake yeye anaangalia walioshindwa ubunge, mtu aliisha kuwa mbunge leo anakuwa dc?

    Rais wetu ni mvivu wa kufikiria ndio maana hataki kupoteza muda na yeye anaangalia yake makali tu yaliyotengwa ccm anayapa ubunge so shame. Yaani teuzi zake ni mwenye nacho anaongezea. Mtu amekuwa mbunge alafu unamteua awe DC baada ya kushindwa ubunge ccm Nchi ni ya watanzania haiwezekani...
  3. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Hataki Maeneo Yote ya Wazi ya Moshi Manispaa Kupatiwa Hati za Umiliki?

    Kwa nini Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Mohammed Babu, hataki kuagiza maeneo yote ya wazi (Open Spaces) yaliyopo katika Manispaa ya Moshi kupatiwa Hati za Umiliki, ili kuweka utaratibu wa kisheria wa umiliki na matumizi ya maeneo hayo?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kuku ana mbawa ila hajui kuwa kazi yake ni kuruka na hataki kujifunza kuruka, karidhika 😊 kataa kuwa kuku ✍️

    Msemo huo una ukweli mchungu sana kuhusu maisha! Kuku ana kila vigezo vya kuruka na kufika mbali—ana mabawa, ana manyoya, na ana mwili unaoweza kuinuka—lakini amechagua kubaki chini akitafuna makombo kwa sababu tu alikuta wenzake wakifanya hivyo, na amezoea mazingira hayo. KATAA KUWA KUKU...
  5. Ileje

    JamiiForums Tanzania Samia hataki Katiba mpya kwa kuwa Katiba ya sasa inamnufaisha!

  6. R

    JamiiForums Tanzania Nani hataki Katiba Mpya katika hawa watawala. Uchambuzi makini huu hapa. Nani ni mnafiki

    C&p Juzi, Tarehe 24/07/2026, Makamu wa rais, Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa kwenye mkutano mkuu wa 15 wa mtandao wa watetezi za haki za binadamu, ametoa hotuba iliyopokelewa kwa hisia tofauti Hii ni kwa sababu hotuba yake imekinzana na kauli za awali zilizopata kutolewa na bosi wake, rais...
  7. kavulata

    JamiiForums Tanzania Heche hataki Lissu atoke, anachekelea umaarufu wa kufa kufaana

    Heche alikuwa akimnanga Rais Samia kuwa amefurahia kuwa Rais baada ya Rais JPM kupata shida iliyomuondoa. Sasa hivi Heche nae hataki kusikia kabisa Mwenyetiki Lissu anatoka nje haraka. Nadhani anaomba Mungu ikiwezekana aishie hukohuko ili chama "kimsamie" kama wenzao wa CCM walivyofanya. Anatoa...
  8. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua kwanini rais Samia hataki kuzifuata nyayo za Ml. Nyerere na rais Mwinyi atufafanulie.

    Barabara ya kurukia ndege haina konakona, Rais amesema atafuata nyayo za Rais Mkapa, Kikwete na Magufuli, sasa kwanini hataki kufuata nyayo za watangulizi wa mwanzo yaani Ml. Nyerere na A.H. Mwinyi!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania Sijui ni wapi na lini tulimkosea Mh Rais na hataki kutusamehe! Moyo wangu unajaa huzuni sana Kila nikimuona

    Labda tukumbushane ndugu zangu Watanzania, ni lini na wapi tuliwahi kumkosea Mh Rais Nakumbuka mengi sana ambayo, kama angeliyasemea tu na kuyakemea, tusingekuwa hivi tulivyo Leo Au basi
  10. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Kombo: Rais Samia amesemwa na kuchorwa sana baada ya uchaguzi, wakati amefanya kazi kubwa kutulinda kuwa na uhai

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema kuwa siku za hivi karibuni Rais Samia amekuwa akisemwa na kuchorwa sana na lawama zote kupewa yeye kutokana na matukio yaliyotokea wakati wa uchaguzi, wakati rais alifanya kazi kubwa ya kikatiba...
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hataki kabisa kuendelea raund nyingine

    Je, inaweza kua motro wa round ya kwanza ulikua mkali sana? Au mshedede unasukutua hadi unagusa maini na mapafu yake? Ana changamoto ya afya ya via vya uzazi au kisaikolojia? Je, hakuandaliwa kikamilifu au amechoka baada ya kutoka kwenye shughuli nyingine nzito zaidi, sehemu nyingine...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Niko njia panda, Mzazi mwenzangu hataki kuwahudumia watoto kisa naishi nao mimi

    Miaka mitano ya ndoa ilitosha kutufanya tuwe wazazi wa watoto wawili wa kike na kiume, wa kwanza kike na wa pili wa kiume, aliye mkubwa kabisa kwa sasa ana umri wa miaka 6 na mdogo ana umri wa miaka 3 na nusu japo baada ya watoto hawa, ukurasa wa ndoa ulifungwa kwa kuwa tulishindwa kuendelea...
  13. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Kuna binti anasema ana mimba yangu lakini sijajipanga. Nifanyeje?

    Kuna binti jana kaniambia ana mimba yangu aisee nimestuka nikatamani nimpasue Mimi ndio kwanza najitafuta miaka yangu 28 na tanzania maisha ni magumu kila siku yanazidi kuwa magumu Anataka kuniletea matatizo, halafu kibaya nimemuambia atoe anasema nisubiri ajifungue aniletee mtoto nimuue hivi...
  14. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Kama Mungu yupo basi hataki tumjue

    Huu ndio ukweli, haya mengine ni umbea tu wa binadamu Kama kweli Mungu yupo basi hataki tumjue, wala hataki tumuabudu na hataki tufuate sheria zake. Angekuwa anataka tumjue angejionesha au aongeonesha ishara kuwa yupo Angekuwa anataka tumuabudu angetuambia sisi direct, kila kizazi angekiambia...
  15. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Bundi kwenye Paa la Nyumba Yangu na hataki kuondoka

    Leo wakati nakwenda kazini nilimwona ndege huyu kwenye sehemu ya paa langu hivi; asubuhi tulikuwa na snow kidogo. Niliporudi nyumbani baada ya kazi saa 10 jioni nilimkuta bado yupo ila nilipofungilia geti, ule mlio wa geti ukamshtua akarukia juu ya paa kuu kama inayoonekana hapa huku akiacha...
  16. danhoport

    JamiiForums Tanzania Baba yangu hataki nimsaidie pesa mke wake

    Habari jamaa zangu, ipo hivi baba angu mzazi ana watoto watano(5) kati ya hao watano mimi nipo peke yangu kwa mama(marehemu) na hao wengine wanne mama yao ni mmoja. Huyo mama ameshatengana nae, hapo juzi alikuwa na shida akanitafuta kwenye simu nikamsaidia pesa kiasi, sasa sijajua baba kajuaje...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Rais Samia hataki kuendesha Nchi kwa Fedha za dhuruma, ni mwenye huruma

    Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba amesema Tanzania imebahatika kupata Rais mwenye kuwahurumia watanzania ambaye hataki Kuendesha Nchi kwa fedha ya dhuluma.
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Tuna rais wa mfano kwa kuwahurumia watanzania hataki kuendesha serikali kwa fedha ya dhuluma

    Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza katika mkutano na madereva pikipiki, bajaji na machinga wote leo Januari 8, 2026 katika ukumbi wa Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, amesema Tanzania tuna Rais wa mfano anayejali na kuwahurumia watu...
  19. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Rwanda: Kagame ayafungia maelfu ya makanisa ya Kiinjili

    Serikali ya Rwanda imechukua hatua ya kufunga maelfu ya makanisa ya kiinjili nchini humo, kufuatia ongezeko lake la kasi ambalo limeibua wasiwasi miongoni mwa mamlaka za serikali. Mamlaka zimeyakosoa makanisa hayo kwa kuyataja kuwa yamepoteza mwelekeo wake wa msingi, yakidaiwa kugeuka kuwa...
  20. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Serikali acheni kumshawishi sana Lissu, ashawaambia hataki Maridhiano na Samia

    Kwa mwezi mzima Lissu hajaletwa mahakamani, unaweza Dhani ni bahati mbaya but No. Kwa muda Sasa serikali imekuwa kwenye negotiations na Lissu Ili akubali kushirikiana nao. Toka amewekwa gerezani Serikali imetuma team 4 na zote zimegonga mwamba. Baada ya Lissu kukataa serikali wakampa shariti...
Back
Top Bottom