Ukienda Mexico, mzee baba, acha kabisa! Yaani kule hakunaga cha biashara ya reja reja wala nini, kule ndio chimbuko, kiwanda kikuu na jikoni kwenyewe ambako kila aina ya mzigo haramu unapikwa na kusambazwa Marekani na dunia nzima.
Hii biashara inalipa sana kule Mexico, mzee baba Yaani huko...