china

 1. Jon Stephano

  Liverpool huenda ikakosa kutwaa ubingwa EPL kutokana na mafua ya China

  Mzuqa wanajamvi! Kuna wasiwasi wa Liver kutokutwaa ubingwa wa EPL kutokana na homa ya mafua Coronavirus kuingia Uingereza na kuthibitika leo watu wanne wanayo huko Scotland baada ya kutoka nayo China. Huu ungonjwa unasambaa kwa kasi ya ajabu na kwa muda wa miezi miwili tu itaambukiza mamilioni...
 2. beth

  China yasitisha usafiri wa umma katika mkoa wa Wuhan kudhibiti Virusi Corona

  China imefanya maamuzi magumu ya kusitisha usafiri wa umma hasa katika mkoa wa Wuhan, unaokaliwa na watu karibu milioni tisa, wakati wa mlipuko wa virusi vya ugonjwa wa Corona. Watu wanaoishi katika jiji hilo wameambiwa wasiondoke nje ya mji huo, na uwanja wa ndege na vituo vya treni vitafungwa...
 3. YEHODAYA

  Tanzania kwa nini haihamasishi mauzo ya nyama ya punda China wakati soko liko kubwa mno?

  China nyama ya punda na ngozi za punda zina soko kubwa mno. Kwanini serikali haihamasishi ufugaji mkubwa wa punda Tanzania na kuanzisha minada ya punda?
 4. S

  China yatajwa kuwa nchi hatari kwa Haki za Binadamu Duniani

  Shirika la kutetea haki za binadamu lililo na makao yake Mjini New York Marekani Human Rights Watch, limesema China inaweka mikakati ya kuidhoofisha mifumo ya kulinda haki za binadamu duniani kote. Shirika hilo limeyasema haya leo tarehe 15/01/2020 Jumatano katika uzinduzi wa ripoti yake ya...
 5. FRANC THE GREAT

  VIDEO: At least six dead after huge sinkhole in China swallows bus and pedestrians

  Footage on state TV shows the vehicle disappearing inside the sinkhole in the city of Xining as people run away Photo: Chinese rescuers prepare to lift a bus out of the ground after the road collapse in Xining. Photograph: STR/AFP via Getty Images An enormous sinkhole has swallowed a bus and...
 6. miss zomboko

  Marekani yaiondoa china kwenye viwango vya nchi wadhibiti wa ubadilishaji fedha

  Marekani imeiondoa China kutoka kwenye orodha yake ya nchi zinazodhibiti kiwango cha ubadilishaji wa fedha. Ripoti iliyotolewa jana na Wizara ya fedha ya Marekani inasema kwa sasa hakuna nchi mshirika wa kibiashara wa Marekani anayefikia vigezo vya kisheria vya kudhibiti thamani ya sarafu yake...
 7. FRANC THE GREAT

  Raia wawili wa China wakamatwa wakipiga picha kambi ya jeshi la Marekani

  Shirika la upelelezi nchini Marekani, FBI liliwakamata raia wawili wa China mwishoni mwa juma kwa kosa la kupiga picha kinyume cha sheria kambi ya Jeshi la majini la Marekani huko Florida. Hili ni tukio la pili kufichuliwa na mamlaka hiyo, matukio ambayo yamekuwa yakitekelezwa na raia wa China...
 8. N

  Meli kubwa ya kifahari duniani AZAMARA CRUISE yatua Dar na watalii 600 kutoka Marekani, Japan, China, Taiwan na Uingereza

  Meli kubwa ya kifahari duniani AZAMARA CRUISE yatua Dar na watalii 600 kutoka Marekani, Japan, China, Taiwan na Uingereza. Meli hiyo imetia nanga kwenye gati jipya la kisasa lililoboreshwa ambalo ni sehemu ya maboresho yanayoendelea Bandarini.
 9. miss zomboko

  Makadirio ya uchumi wa dunia 2020 kuwa madogo huku uchumi wa China ukitarajiwa kuporomoka

  Benki ya Dunia imesema ukuaji wa uchumi wa dunia kwa mwaka huu unakadiriwa kufikia asilimia 2.5, ikilinganishwa na asilimia 2.4 ya mwaka jana, licha ya kuendelea kuwepo kwa hatari ya kushuka. Ripoti mpya kuhusu mustakbali wa uchumi wa dunia inayotolewa kila baada ya nusu mwaka na Benki ya...
 10. S

  Wana JF, Karibuni China bar tegeta tule bata

  HABARI za muda huu wana JF Leo niko hapa China bar tegeta nakula bata, Kama Uko karibu Njoo tujumuike na kula bata, I. e Kunywa bia, kucheze music na totoz zilizopo hapa China bar, Maana naona warembo wazuri balaa! Karibuni wana JF tule bata
 11. Red Giant

  Tanzania tunawezaje/tufanye nini ili kufaidika na ukuaji wa uchumi wa China?

  Ni hao wakuu. Wandugu uchumi wa China na ukuaji wake ni jambo la kuogopesha sana kwa ukubwa wake. Miaka michache ijayo China itaongoza kiuchumi karibu kwenye kila sekta. Kwa huo uchumi mkubwa China amekuwa mtumiaji mkubwa wa malighafi duniani . Pia ukuwaji huo umetengeneza mamilioni ya...
 12. miss zomboko

  China yakamata watu 99,000 wanaojihusisha na utapeli kwa njia ya simu

  Wizara ya Usalama wa Umma ya China imesema, Polisi nchini humo imefungua kesi 118,000 za uhalifu wa utapeli kwa kutumia simu za mkononi na kuwakamata watu elfu 99 wakati wa operesheni ya "Cloud Sword" iliyoanza mwezi Juni mwaka huu. Mkurugenzi wa Idara ya Uchunguzi wa Uhalifu iliyo chini ya...
 13. miss zomboko

  China yatangaza kupunguza ushuru kwa bidhaa za kigeni kuanzia Januari 2020

  China imesema leo kuwa itapunguza ushuru kuanzia Januari mosi kwenye zaidi ya bidhaa 850 za kigeni ikiwemo nyama ya kuhifadhiwa ya nguruwe, madawa ya maradhi ya pumu na baadhi ya vifaa vya teknolojia ili kuchochea maendeleo ya kiuchumi. Tangazo hilo linafuatia makubaliano ya muda ya kibiashara...
 14. Ami

  Waislamu watakiwa kususia bidhaa za China kuwahurumia wenzao wa Uighur

  Waislamlu kote duniani wamesisitizwa kuonesha umoja wao na nguvu zao kiuchumi kwa kuacha kununua bidhaa za China nchi ambayo imewaweka kuzuizini waislamu wapatao milioni 3 kati ya waislalmu wanaokisiwa kufikia milioni 10 wa jimbo la Magharibi ya China la Uighur. Wito huo umetolewa na mmoja ya...
 15. Influenza

  Matamshi ya Mesut Ozil: Kiungo wa Arsenal afutwa kwenye mchezo wa video wa Pro Evolution Soccer (PES) 2020 toleo la Uchina

  Kiungo wa Arsenal Mesut Ozil ameondoshwa kwenye mchezo wa video wa Pro Evolution Soccer (PES) 2020 toleo la Uchina baada ya kuikosoa nchi hiyo kwa kuwatesa jamii ya Waislamu ya Uighur. Ozil, 31, ambaye ni Muislamu, amewaita Wauighur (Wachina wa asili ya Kiislamu) "mashujaa wanaokabiliana na...
 16. Influenza

  China: Watu 14 wafariki katika mlipuko uliotokea mgodini

  Watu14 wamefariki na Watu wengine saba wameokolewa huku wengine wawili wakiwa bado ndani ya mgodi huo wa Makaa ya Mawe na Gesi uliopo Kusini-Magharibi mwa China katika Mji wa Guizhou Tukio hilo lililotokea mapema leo katika mgodi huo uitwao Guanglong ni moja ya matukio yanayotokea kwenye migodi...
 17. JZHOELO

  Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

  Imekuwa ni shida sana kwa watanzania wengi kununua bidhaaa katika masoko haya ya mtandaoni kwani mengi huwa hayakupi fursa ya kutumiwa mzigo wako moja kwa moja Tanzania. Baadhi ya thread zilianzishwa na zimeelezea mengi sana kuhusiana na manunuzi haya ya mtandaoni, ila tulipata ufumbuzi mdogo...
 18. YEHODAYA

  Serikali ilegeze masharti ya kupata pasipoti ili watu wakatafute fursa nje ya nchi

  Masharti ya kupata passport inatakiwa tu kitambulisho cha uraia zingine zote mbwembwe za kusumbuana tu sijui barua ya mwaliko sijui nini ujinga mtupu. Kwani mtu hawezi kwenda nchi nyingine kutafuta fursa hata kama hana mwenyeji? Ona huyu kijana Mtanzania mwenye mgahawa China akipiga kazi baada...
 19. S

  Ushauri unaponunua vitu kutoka China ( Alibaba)

  Habari Watanzania, Heri ya miaka 58 ya uhuru! Bila kupoteza muda ngoja tuongee namna ya kununua vitu kutoka nchini China hasa kupitia platform ya Alibaba ( Made in China) Kwanza Kabisa Alibaba sio platform peke yake ya kuweza kununua vitu nchini China kuna platforms kama Global sources...
 20. beth

  Ripoti ya CPJ: Kwa mwaka 2019 hadi kufikia Desemba 01 Waandishi wa Habari 250 walikuwa wamefungwa sehemu mbalimbali Ulimwenguni

  Idadi hiyo ni kwa mujibu wa Kamati ya Kutetea Waandishi wa Habari kupitia ripoti yake ya mwisho wa mwaka huku ikibainisha kuwa mwaka 2018 idadi hiyo ilikuwa Waandishi 255 China ni ya kwanza kwa kufunga Wanahabari 48 ndani ya mwaka huu huku Uturuki ikiwa nafasi ya pili ikiwa imefunga Wanahabari...
Top