china

  1. Analogia Malenga

    Huu hapa mkataba wa Kenya na Benki ya China ya kupata mkopo kwa ajili ya SGR

    Mkataba huu wa Kenya kuomba $1.6 Bilioni, mkopo wa kibiashara ambao una riba ya 2%. Umesheheni masharti ya kutosha kwa kuwa ni kama mkopo wa kibiashara. Aidha vitu vyote vitakavyonunuliwa kwa ajili ya mradi huo havitatozwa kodi.
  2. Shujaa Mwendazake

    Taiwan yarusha ndegevita baada ya kugundua vikosi vya China vilivyo karibu

    Ulinzi wa Taipei umeanzishwa kujibu shughuli za hivi karibuni za kijeshi za Beijing karibu na kisiwa kinachojitawala. Vikosi vya jeshi la Taiwan vimechukua hatua ya kuonya ndege za China na vyombo vya majini vilivyogunduliwa karibu na kisiwa hicho kinachojitawala, hii ikiwa ni pamoja na ndege...
  3. L

    Ushirikiano wa anga za juu kati ya China na Afrika watarajiwa kukua kwa kasi

    Moduli ya majaribio ya Mengtian ya Kituo cha Anga za Juu cha China Tiangong hivi karibuni ilirushwa angani na kuunganishwa kwa mafanikio na moduli kuu ya Tianhe. Kwa hatua hiyo, ujenzi wa Kituo cha Tiangong kilichoundwa na moduli za Tianhe, Mengtian na Wentian umekamilika, na ukurasa mpya wa...
  4. Baraka Mina

    China yasamehe baadhi ya madeni ya Tanzania

    Ikiwa ni mwendelezo wa ziara ya kiserikali ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan nchini China. Leo tarehe 03 Novemba 2022, China imesamehe baadhi ya madeni ya Tanzania. Sambamba na hilo; Rais Samia Suluhu Hassan na Rais wa China Xi Jinping...
  5. Z

    China na Tanzania siyo tu marafiki bali ni ndugu wa damu

    Hakika kama urafiki unapaswa kuhalalishwa kuwa ndugu basi Chini siyo tu raifiki yetu bali ni ndugu yetu wa damu tangu enzi. Chini kihistoria ni mjamaa mwenzetu wa enzi na enzi. wasiojua historia ndiyo watashangaa, lakini China siyo tu rafiki yetu bali ni ndugu yetu wa damu. Mungu ubariki udugu...
  6. Roving Journalist

    Mapokezi Rasmi ya Rais Samia Nchini China

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokelewa na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping katika ukumbi wa Great Hall of the People, nchini China leo tarehe 03 Novemba, 2022 ===== Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama...
  7. Shujaa Mwendazake

    Ujerumani inaizunguka Marekani kwa kuzungumza na China

    Ziara ya hivi karibuni ya Olaf Scholz nchini China ni ujumbe kwamba Washington haiwezi kulazimisha sera ya nje ya Berlin. Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz anatazamiwa kuzuru China wiki hii. Ni alama ya safari yake ya kwanza kabisa katika nchi ya Asia, huku kukiwa na mvutano unaoongezeka kati ya...
  8. Roving Journalist

    Rais Samia amewasili salama China, hii hapa picha akiwa Uwanja wa Ndege Beijing

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Peking, Beijing nchini China kwa ajili ya ziara ya Kiserikali tarehe 02 Novemba, 2022. ================ Kufahamu ziara nyingine za rais Samia tangu aingie madarakani soma...
  9. L

    Watoto wa shule ya chekechea waenda mashambani na kujifunza ujuzi wa kilimo mkoani Zhejiang, China

    Shule ya chekechea mjini Huzhou mkoani Zhejiang, mashariki mwa China Novemba mosi ilifanya shughuli ya “Darasa la mashambani”, ambako watoto walikwenda mashambani kujifunza ujuzi wa kilimo kupitia njia ya kuchora picha za mavuno, kutambua mimea ya mpunga na kutengeneza sanamu ya kuwinga ndege.
  10. L

    Ziara ya Rais wa Tanzania nchini China kuleta fursa mpya kwa maendeleo ya uhusiano kati ya nchi hizo mbili

    Mkuu wa Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Profesa Aldin Mutembei, amesema, ziara ya Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan nchini China itaendeleza uhusiano kati ya nchi hizo mbili. Profesa Mutembei amesema, ziara hiyo ya siku tatu kuanzia tarehe 2 hadi 4 itatoa fursa zaidi...
Back
Top Bottom