Katika kipindi cha kati ya mwaka 1959 hadi 1961 China ilikumbwa na tatizo kubwa la uhaba wa chakula, tatizo ambalo lilisababisha madhara makubwa ya kiuchumi na kijamii na hata vifo kwa watu wengi. Tatizo la uhaba wa chakula nchini China lilitokana na ukame na hali mbaya ya kijiografia, na hata...
Kuanzia mwanzoni mwa mwaka huu Marekani na Israel zilipozusha mgogoro wa Mashariki ya kati kwa kuishambulia Iran, bei ya mafuta kwenye soko la dunia ilipanda kwa ghafla na kuleta changamoto kwa maisha ya watu wenye mapato ya chini katika nchi mbalimbali duniani. Kati ya nchi zote kubwa duniani...
Ndani ya karakana iliyojaa watu wengi kando ya pwani ya Bahari Nyekundu ya Misri, Kareem Gaber, meneja wa vifaa katika kampuni ya Jushi Egypt Fiberglass Co., Ltd., amesimama karibu na kigari cha kunyanyua mizigo, akikagua kwa makini vifurushi vya plastiki ya fiberglass.
"Kwa siku tunaweza...
Katika siku iliyojawa na hamasa, mamia ya vijana wa Kitanzania walimiminika katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika mji wa kibiashara wa Tanzania. Walikusanyika kwa ajili ya Maonesho ya tano ya Ajira kati ya China na Tanzania, yaliyofanyika kwa siku moja nzima na kuwakutanisha watafuta ajira...
WAZIRI KOMBO AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), 14 Julai, 2026 amekutana na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania Mhe. Chen Mingjian kwa mazungumzo yaliyolenga kuimarisha...
Elimu ya tanzania imekuwa jalala la wanasiasa watawala yani elimu wanazojipa mpaka imefanya nchi za wenzetu kuanza kuongeza masharti.
Kwa nchi ya china sasa kama unataka kupata PHD inatakiwa kubuni kitu ambacho hakitakuwepo na kinaweza kusaidia nchi mpaka dunia ndio unapewa PHD.
Huyu masuya na...
Nimekuwa nikiona watu wengi wakizilalamikia bidhaa zinazotokea China kuwa ni feki na hazina ubora unaohitajika, je haya maneno ni ya kweli au kuna bidhaa baadhi ni original?
Wajuvi wa mambo haya mtusaidie katika hili.
Mad Max
adriz de mbusii
min -me
Hatimaye leo 10 July, China imeandika historia nyingine angani!
Roketi ya Long March 10B ilirushwa kutoka Hainan, na baada ya kutimiza kazi yake, booster ilirudi duniani kwa kutua wima kwenye jukwaa baharini badala ya kuharibika.
Hii ni teknolojia ya roketi zinazotumika tena (reusable...
Jeshi la Majini la China hivi karibuni lilipata mafaniko katika jaribio la kombora jipya la kimkakati lililorushwa chini ya maji katika Bahari ya Pasifiki. Hii ni hatua nyingine muhimu katika maendeleo ya nguvu ya nyuklia ya kimkakati ya China, kufuatia jaribio la kombora la kuvuka bara...
Kila ifikapo Julai 7 ya kila mwaka, dunia inaadhimisha Siku ya Lugha ya Kiswahili Duniani, ikiienzi mojawapo ya lugha zenye ushawishi mkubwa na zinazozungumzwa zaidi barani Afrika. Siku hii mbali na kusherehekea utamaduni wa Kiswahili, pia inaangalia umuhimu unaoongezeka wa Kiswahili katika...
Watu wengi wanadhani kuagiza bidhaa kutoka CHINA ni kwa wenye mtaji mkubwa tu.
Ukweli ni kwamba wengi wanakosa fursa kwa sababu hawajui pa kuanzia.
Kwenye mafunzo yangu utajifunza:
📦 Jinsi ya kupata bidhaa kwa bei ya chini
🏭 Jinsi ya kutafuta supplier wa kuaminika
💳 Namna ya kulipa salama
🚢...
Bara la Ulaya hivi karibuni limekumbwa na mawimbi ya joto kali. Inakadiriwa kuwa halijoto ya juu imesababisha vifo vya takriban watu 15,000, wengi wao wakiwa wazee wanaoishi katika nyumba zisizo na viyoyozi.
Takwimu zinaonyesha kuwa mwaka 2025, mauzo ya viyoyozi vya China barani Ulaya...
Kwa muda mrefu Marekani pamoja na Washirika wake wa Ulaya magharibi ndiyo walikua viranja wa dunia.Yapo mengi mazuri walifanya katika nyanja za demokrasia na utetezi wa haki za binadamu,
na mengi ya hovyo pia kama uporaji wa rasilimali na kuchochea vita maneneo mbali mbali duniani kwa manufaa...
Kuna ugumu wa kupata Visa ya kwenda China kutoka hapa nchini, hali inayosababisha usumbufu mkubwa kwa waombaji wengi.
Tunalazimika kuamka saa tisa usiku ili kuwahi foleni, lakini hata hivyo hatufanikiwi kupata huduma tunazotarajia, baadhi ya waombaji tumeomba kwa siku ya tatu mfululizo bila...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amefafanua hoja iliyotolewa na Mdau wa JamiiForums aliyelezea kuwa Mkandarasi raia wa China anayejenga soko hilo hawasilishi michango ya Wafanyakazi wake katika Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF).
Mtaka amesema “Ukweli ni kuwa kampuni hii tangu kusajiliwa na...
Kuna ukweli mmoja mchungu sana kuhusu mfumo wetu wa elimu ya juu hapa nchini ambao kama tusipoujadili sasa, kwa uwazi na bila kupepesa macho, tutakuja kujuta kama taifa baada ya miaka mitano au kumi ijayo.
Wakati sisi hapa Tanzania bado tunapambana kuongeza udahili wa wanafunzi kwenye kozi...
Tatizo la ghost town lipo dunia nzima hata kama utaboresha vipi na kulipa au kusaidia watu waishi hapo bure.
Shida tunayotaka kuangalia ni nchi kuwa ya mikakati mfano kama ilivyo USA na China ili kubalance maendeleo na fursa sehemu zote.
Ukiwa nchi kama china au USA wamejigawa ndio maana...
Sijui kwanini Malawi inaelekeza matumaini yake kwa hao Hususani wa Russia...
Mara ohh sijui Malawi haichaguliwi maadui wala marafiki... Ni sawa lakini maslahi ya Taifa yapo at stake... Mchina mfano binafsi sioni akiifaidisha Tanzania kama closed partner... Ona bidhaa feki zimetapakaa huko...
Dini ni sehemu kubwa sana ya maisha ya mwanadamu. Katika jamii zetu nyingi za Kiafrika, mtoto anapozaliwa tu, huanza kufundishwa misingi ya imani ya wazazi wake. Lakini je, ushawahi kujiuliza inakuwaje pale Taifa linapoamua kwamba masuala ya imani yasiwahusishe kabisa watoto mpaka wafikishe umri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.