Search results

  1. P

    Ni wakati sasa kuwa na Mahakama ya Katiba na Usajili wa Vyama vya Siasa

    Ili kukuza demokrasia Nchini na uwepo uongozi/utawala bora wenye misingi ya usawa kwa kila mtawala na mtawaliwa ni wakati sasa kuwa na Mahakama ya Katiba na Usajili wa Vyama vya Siasa. Nchi inavyoenda kwa mfumo huu bila chombo madhubuti ni sawa na kuendesha kikada na fikra za mtu binafsi bila...
  2. P

    Heche ahoji Chongolo kudai Katiba Mpya si hitaji la Wananchi bali Wanasiasa

    Akihojiwa na mwandishi wa Dar mpya katika mjadala uliomhusisha Sosop na Heche juu ya kauli ya katibu mkuu CCM kuhusu hitaji la KATIBA MPYA kwamba. 1. Wanaodai Katiba mpya ni wanasiasa wanaotaka madaraka na sio wananchi. Heche; Amemuuliza Chongolo ni muimbaji wa kwaya?au alitoa kauli hiyo kama...
  3. P

    CCM: Wananchi hawajawahi kudai Katiba mpya bali hilo ni takwa la wanasiasa kwa maslahi yao binafsi

    Akiongea na waandishi wa habari Leo 11/8/2021 ametoa maelekezo mwenye halmashauri na kisha kukaribisha maswali. Moja ya swali ilikuwa Katiba mpya. Muuliza swali amejenga hoja kwa kubalance vizuri sana. Majibu yake ni Kwamba Katiba mpya ni hitaji la wanasiasa na Si wananchi kwakuwa mabango ya...
  4. P

    Kipimo cha Kiongozi kisiasa ni midahalo

    Kama tutakuwa na mifumo yakuwapitisha Viongozi wa ngazi za juu kutuongoza bila kuwa na mifumo ya kuwandaa kiuongozi ni kurudisha taifa nyuma. Kumekuwa na kasumba ya vyama vya siasa kupachikana kwenye vyeo nyeti na muhimu kwa kutumia bidii ya ushiriki kwenye kampeni. Katiba mpya iweke vipengele...
  5. P

    Amesema hakuweza kukutana na vyama vya siasa vikiwa vimechambukachambuka, nini tafsiri!

    Akihojiwa na mwandishi wa BBC. Mheshimiwa Rais amesema hakuweza kukutana na vyama vya siasa vikiwa "VIMECHAMBUKACHAMBUKA" Nini tafsiri ya neno hilo kutumia kwa kiongozi kama Rais huku akijua vyama vilimuomba kukutana naye akawajibu kwa barua bila kueleza kama vimekaa alivyotamka.
  6. P

    Wakili Mligo: Katiba ya sasa ni mbovu

    Akifafanua kwa waandishi wa habari mjini Njombe,Wakili Mligo amesema katiba ni mbovu kwasababu Rais analindwa na katiba inayompa mamlaka yakutokulazimika kutendea kazi ushauri wowote kwa wasaidizi wake asipopenda. Amefafanua kuwa Katiba ya maoni ya Warioba iliondoa kipengele cha kinga kwa Rais...
  7. P

    Mkuu wa Upelelezi Arusha: Niliona mapungufu kwa Sabaya, alikuwa mteule wa Rais sikufanya chochote

    Akitoa ushahidi wa kesi ya Sabaya, Mkuu wa upelelezi amesema alipigiwa simu na aliyekuwa DC wa Arusha Kenani Kihongosi akiniarifu kuwa DC wa Hai ana watuhumiwa hapa Arusha hivyo nimpe ushirikiano. Mara baada ya kufika ofisini kwangu akiwa na watuhumiwa wawili niliambiwa hawa ni wahujumu uchumi...
  8. P

    Je, ni utamaduni mzuri kuficha ugonjwa wa kiongozi kitaifa halafu kifo kitangazwe?

    Enzi Mwl Nyerere haikuwa siri kwa kiongozi kama anaumwa hadi utawala wa JK. Nani kaanzisha utamaduni wakuficha mtu akiwa na dhamana ya kitaifa. Je, ni utamaduni mzuri kuficha ugonjwa halafu kifo kitangazwe?
  9. P

    UWT Taifa mpo?

    Hamsini kwa Hamsini mnachangia kuidhofisha kama hamuwezi hata jitokeza mkawa wakali kuhusu usukani mlionao. Hii ni turufu yenu ambayo Mungu aliwapa tangu March 2021.Hakuwambia sasa mshindwe ninyi Bali alisema naamuru na iwe hivi Hamsini kwa Hamsini. Muna nafasi kubwa yakuandika historia...
  10. P

    Dr. Rioba kiti kinapwaya na siasa huwezi

    Ukiwa kama mkurugenzi mkuu nimeona ndani ya mwezi mmoja ukifungua vituo vya TBC Dodoma na Morogoro ni jambo zuri sana. Nasikitika kuwa unasimamia fake news badala Yakuwalisha wananchi habari zenye UKWELI NA UHAKIKA na kinyume chake imekuwa TBC UWONGO NA UHAKIKA. Jitokeze kama nafasi hiyo bado...
  11. P

    Wahariri wa TBC na Channel ten siasa bila mizania inawaharibia sifa

    Mjitafakari sana kwanini watu Waite TBCCCM huku ni chombo cha Taifa. Muwe na chembe ya aibu kubalance story ili walaji wafikiwe na ujumbe wa kitaifa. Chakateni taarifa kabla ya walaji, iweje walaji waanze kuchakata news baada ya kurusha huku mna wataalamu ndani ya vyombo vyenu. Aibu kubwa sana
  12. P

    Nini kipo nyuma ya Channel Ten na matamko ya BAVICHA?

    Sio utamaduni wa chombo cha utangazaji cha Chanel Ten kutangaza habari za vyama vya upinzani nchini. Tangu wiki lililopita wamekuwa wakitangaza taarifa za Chadema wakidai wao ni wanachama wa chadema bile kujitaja wadhifa wao kichama. Pia najiuliza juhudi ya channel Ten kuwa mstari wa mbele...
  13. P

    Kelele za wanafunzi darasani huwa na viashiria

    Mwalimu Mkuu huwezi kuunda tume ya kuchunguza KELELE za wanafunzi wakati umezisikia kuwa; 1.Monitor haandiki majina ya wapiga kelele 2.Mwl wa darasa hawasikilizi wanafunzi 3.Mwl wa nidhamu hawajibiki ipasavyo. Kutokufundishwa na Mwl wanafunzi wataanza kuongea wao kwa wao mwisho huzaa kelele.
  14. P

    Makamu wa Rais Philip Mpango pole na hongera kwa hisia za Wanamtwara. Umeonesha uongozi bora

    Dkt.Mpango wewe nikiongozi uliyeonyesha UONGOZI BORA NA SI UTAWALA WA MABAVU. Hakika mbele za Mungu nakupongeza sana. Leo 26/7/2021 umehutubia wananchi wa Mtwara waliokusanyika katika kuweka jiwe la msingi hospitali ya kanda ya kusini.Katika kufuatilia waliopewa nafasi ya kuhutubia miongoni...
  15. P

    Dkt. Mwigulu Nchemba anajipenyeza kwa wananchi ili jina lake ling'ae kwa Urais

    Bila kuficha Mwigulu anapenyeza kila njia kwa wananchi ili jina lake ling'ae kwa urais. Magari ya Polisi kwenye msafara na polisi wanaomlinda alipokuwa ziarani Tunduma. Chakushangaza amegeuka njiani kuwa na misafara ya magari mengi kama naye ni Rais, haya sio matumizi mabaya ya muda kwa...
  16. P

    Kuna madhara makubwa Mwenyekiti wa CCM kuwa ndiye Amiri Jeshi Mkuu

    Mama Sophia Simba atabaki na heshima kubwa isiyoonekana kichama kwa kufukuzwa kwake kisha akanyamaza,ni wakati wakuhitaji mawazo yake. CCM ili iwe inajikosoa na kuikosoa Serikali bila uoga wowote ni wakati wakubadili mfumo wa Mwenyekiti kuwa ndiye Amiri Jeshi Mkuu, zipo hasara nyingi kwa chama...
  17. P

    Othman Masoud: Kuumiza watu ili uwe kiongozi ina raha gani?

    "Kuumiza watu ili uwe kiongozi ina raha gani" Mhe Makamu wa kwanza wa Rais -Serikali ya mapinduzi Zanzibar
  18. P

    Wachambuzi: Katiba ya 1977 ni analogy, Katiba mpya ni hitaji

    Katika kipindi cha The Big Agenda kinachorushwa na star TV katika mahojiano yao,moja ya swali ilikuwa je Katiba mpya ni muhimu? Wanaharakati; Ndiyo,Katiba mpya ni muhimu na ni hitaji kwakuwa kizazi kiko mbele ya Katiba ya 1977(analogy) inahitajika katiba ya kidigitali.
  19. P

    Ushauri: Wabunge bila kumuondoa Spika/Naibu Spika hamtaheshimika kwa wananchi na hata Rais

    Waheshimiwa wabunge mmekuwa mkiburuzwa na kiti cha Spika bila kujua yeye hana chakupoteza 2025. Kwani ni automatic ni mstaafu. Hivyo anajikomba kwa Rais kuwa mstaafu mtarajiwa mwema huku akiwaharibia ninyi. Ushauri: Pigeni kura za siri zakutokuwa na Imani na kiti cha Spika/Naibu wake ili...
  20. P

    WAANDISHI WA HABARI;Hojianeni na Spika Ndugai.Malalamiko ya wananchi chanzo bungeni.

    M/kiti wa jukwaa la waandishi wa habari ratibu kuwe na mahojiano na Spika Ndugai na waandishi wa habari kujibu manung'uniko ya wanachi kuhusu Muhimili huu kupoteza maana halisi. Vipo vyanzo vingi vya tuhuma zenye ukakasi kupitia kiti chake, Mfano kuwatisha wabunge kupitisha bajeti. Kuapa...
Back
Top Bottom