Nini kipo nyuma ya Channel Ten na matamko ya BAVICHA?

Paf

JF-Expert Member
May 25, 2021
1,703
3,304
Sio utamaduni wa chombo cha utangazaji cha Chanel Ten kutangaza habari za vyama vya upinzani nchini.

Tangu wiki lililopita wamekuwa wakitangaza taarifa za Chadema wakidai wao ni wanachama wa chadema bile kujitaja wadhifa wao kichama.

Pia najiuliza juhudi ya channel Ten kuwa mstari wa mbele kuuhabarisha umma kwa kipindi hiki ambacho chadema wapo na agenda ya KATIBA MPYA.

BAVICHA TAIFA jitokezeni kutoa mwongozo wakupinga harakati za katiba mpya kuliko kila mwanachama kuwa mtazamo wake kwa kujificha kwa mavazi ya chadema huku ujumbe wao mdimoni nitofauti na vazi.
 
Watajitokeza kuhamasisha nawe jiandae kuwatengenezea ubambikaji kama kawa ilivyo kwenu, mwendo katiba mpya mwanzo mwisho.
 
Channel 10 huwa hawatangazi habari za cdm, hao ni ccm wanajitekenya na kucheka wenyewe. Hata hivyo una roho ngumu kutazama huo uchafu uitwao channel ten.
Ilikuwa bahati mbaya remote alishika mtoto ghafula nikashangaa naangalia Chanel Ten.
 
Channel Ten ni kituo pendwa sana huku mitaani....mathalani ukizunguka katika vijiwe vya kahawa na kwingineko utawaona watu wakiiangalia hasa nyakati za jioni.....

Ni kituo ambacho kina vipindi vingi vya kufundisha uzalendo wa nchi kwa watoto ,vijana na kuukumbusha kwa watu wazima!

Kongole CHANNEL TEN💪

#NchiKwanza
#SiempreJMT
#KaziInaendelea
 
Chukua mkanda wa suruali mtandike huyo mtoto mpaka ukatike. Anataka kuleta laana ndani ya nyumba.
Bwashee mtakuja kuwaua watoto kwa hisia za chuki 🤣🤣

Mkuu mpelekee chai na vitafunwa ndg.yetu Pambalu.....
 
Haaaaaa anapenda katuni huwa zinarushwa na channel fakini.usiichukie sana,Leo Shaban Kissu ameteuliwa kuwa Mkurugenzi mpya labda watabadilika japo ametoka TBC kopo na mfuniko
 
Tena hiyo adhabu niliyopendekeza ni ndogo sana, nilitaka ampe adhabu kali kuliko hiyo. Bora hata kuweka flash ya ngono utazame na mama mkwe, kuliko kutazama huo uchafu uitwao channel ten.

Pambalu yuko uraiani, au ww ni mzee nini kiasi unapoteza kumbukumbu mara kwa mara?
 
Huyo Tindo amejaa jazba tu 🤣🤣

Sasa mtoto asiangalie katuni kisa ni Channel Ten?!!!

Mtoto na siasa wapi na wapi ?!!

Hawa ndg.zetu CHADEMA wanataka wawaharibu watoto na siasa zao za "waisraeli na wapalestina" 🤣🤣

Kila la heri kwa Kamarada Shaaban Kissu👊

#KaziInaendelea
 
Tena hiyo adhabu niliyopendekeza ni ndogo sana, nilitaka ampe adhabu kali kuliko hiyo. Bora hata kuweka flash ya ngono utazame na mama mkwe, kuliko kutazama huo uchafu uitwao channel ten.

Pambalu yuko uraiani, au ww ni mzee nini kiasi unapoteza kumbukumbu mara kwa mara?
Mtoto na siasa wapi na wapi?!!

Nimeamini CHADEMA mnataka watoto wawe na siasa za "wapalestina na waisraeli" 🤣🤣

Mtoto si mtu mzima ukamuharibu "mind yake" na maandamano yasiyokoma.....ha ha ha

#KaziIendelee
 
Sio utamaduni wa chombo cha utangazaji cha Chanel Ten kutangaza habari za vyama vya upinzani nchini.

Tangu wiki lililopita wamekuwa wakitangaza taarifa za Chadema wakidai wao ni wanachama wa chadema bile kujitaja wadhifa wao kichama.

Pia najiuliza juhudi ya channel Ten kuwa mstari wa mbele kuuhabarisha umma kwa kipindi hiki ambacho chadema wapo na agenda ya KATIBA MPYA.
BAVICHA TAIFA jitokezeni kutoa mwongozo wakupinga harakati za katiba mpya kuliko kila mwanachama kuwa mtazamo wake kwa kujificha kwa mavazi ya chadema huku ujumbe wao mdimoni nitofauti na vazi.
Ni chanel gani ina haki ya kutangaza taarifa za chama kipi??? Vyama vya upinzani inafaa vitangazwe na chanel zipi hasa, inaonekana una agenda ya kipumbavu sana.
 
Mtoto na siasa wapi na wapi?!!

Nimeamini CHADEMA mnataka watoto wawe na siasa za "wapalestina na waisraeli" 🤣🤣

Mtoto si mtu mzima ukamuharibu "mind yake" na maandamano yasiyokoma.....ha ha ha

#KaziIendelee

Watoto wangu wanatazama catoon kwenye channel zenye akili, sio kwenye huo uchafu boss. Cartoon sio vipindi adimu mpaka mtoto atazame nuksi kwenye nyumba.
 
Ni chanel gani ina haki ya kutangaza taarifa za chama kipi??? Vyama vya upinzani inafaa vitangazwe na chanel zipi hasa, inaonekana una agenda ya kipumbavu sana.
Mpumbavu mwandishi asiweza kubalance story kufuata misingi ya elimu yake.
 
Chukua mkanda wa suruali mtandike huyo mtoto mpaka ukatike. Anataka kuleta laana ndani ya nyumba.
No wonder kiongozi wenu ana tuhuma za ugaidi.

Kama wewe mfuasi wake una liroho la kiuuaji namna hii, ni wazi chama chenu kimeshikiliwa na maziraili waandamizi.
 
Kama Mandela alivyokuwa na kesi ya ugaidi. Hivyo ugaidi wa Mbowe tunajua ni kutokana na kuisumbua ccm, hivyo mama wa kambo ametumia mbinu za kizamani kumbambikia kesi.

Ni kweli nina roho mbaya, ila haikuti ya yule dhalimu aliyeko motoni hivi sasa.
 
Back
Top Bottom