Amesema hakuweza kukutana na vyama vya siasa vikiwa vimechambukachambuka, nini tafsiri!

Paf

JF-Expert Member
May 25, 2021
1,703
3,304
Akihojiwa na mwandishi wa BBC. Mheshimiwa Rais amesema hakuweza kukutana na vyama vya siasa vikiwa "VIMECHAMBUKACHAMBUKA"

Nini tafsiri ya neno hilo kutumia kwa kiongozi kama Rais huku akijua vyama vilimuomba kukutana naye akawajibu kwa barua bila kueleza kama vimekaa alivyotamka.
 
Polisi imeungana na CCM kuvichambua chambua...
Akihojiwa na mwandishi wa BBC.Mh Rais amesema hakuweza kukutana na vyama vya siasa vikiwa "VIMECHAMBUKACHAMBUKA"
Nini tafsiri ya neno hilo kutumia kwa kiongozi kama Rais huku akijua vyama vilimuomba kukutana naye akawajibu kwa barua bila kueleza kama vimekaa alivyotamka.
 
Anatuletea lugha za huko kwao Bububu sisi tutajuaje,tunachotaka demokrasia ya kweli

Vyama viwe vimechambuka au la yeye haimhusu
 
Akihojiwa na mwandishi wa BBC.Mh Rais amesema hakuweza kukutana na vyama vya siasa vikiwa "VIMECHAMBUKACHAMBUKA"
Nini tafsiri ya neno hilo kutumia kwa kiongozi kama Rais huku akijua vyama vilimuomba kukutana naye akawajibu kwa barua bila kueleza kama vimekaa alivyotamka.
Huyu mama chenga
 
Naogopa kukamatwa usiku...
 
VIMECHAMBUKACHAMBUKA...ni sawa na kusema SASAMBUA
kea maoni yake ni kwamba ilibidi viwe pamoja ndani ya UKAWA
Lakini UKAWA ukasasambuliwa
CUF kikachambuliwa kama karanga
NCCR kikanyambuliwa nyambu
ACT kikasokomezwa kizibo

CHADEMA kikashindikana kusasambuliwa na kuchambuliwa..Wala kusokomezwa covid 19. .HASIRA IKO HAPO!!!
 
Huyo mama yenu tumeshamchoka na meneno yake ya porojo porojo na kukandamiza wapinzani original wa serikali
 
Nilimfyagilia mimi Mshana Jr mimi...basi tu sijui nililishwa libwata gani huko. .
Wakatimwingine kivuli kinanguvu sana shekh

2876146_IMG_20210528_133707.jpg
 
VIMECHAMBUKACHAMBUKA...ni sawa na kusema SASAMBUA
kea maoni yake ni kwamba ilibidi viwe pamoja ndani ya UKAWA
Lakini UKAWA ukasasambuliwa
CUF kikachambuliwa kama karanga
NCCR kikanyambuliwa nyambu
ACT kikasokomezwa kizibo

CHADEMA kikashindikana kusasambuliwa na kuchambuliwa..Wala kusokomezwa covid 19. .HASIRA IKO HAPO!!!
Eti kwamba 😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom