Wahariri wa TBC na Channel ten siasa bila mizania inawaharibia sifa

Paf

JF-Expert Member
May 25, 2021
1,703
3,304
Mjitafakari sana kwanini watu Waite TBCCCM huku ni chombo cha Taifa. Muwe na chembe ya aibu kubalance story ili walaji wafikiwe na ujumbe wa kitaifa.

Chakateni taarifa kabla ya walaji, iweje walaji waanze kuchakata news baada ya kurusha huku mna wataalamu ndani ya vyombo vyenu. Aibu kubwa sana
 
Mjitafakari sana kwanini watu Waite TBCCCM huku ni chombo cha Taifa.Muwe na chembe ya aibu kubalance story ili walaji wafikiwe na ujumbe wa kitaifa.

Chakateni taarifa kabla ya walaji,iweje walaji waanze kuchakata news baada yakurusha huku mnawataalamu ndani ya vyombo vyenu.Aibu kubwa sana
Mbona Maria Habalance.!
 
Back
Top Bottom