Search results

  1. Ugumu wangu

    Siasa au Viongozi wa nchi mmeamua kudhalilisha idara hii muhimu kwa nchi yangu Tanzania?

    Habari ya jioni watanzania wenzangu, Rais wangu na mkuu wa Jwtz na Serikali yote. Jion hii Mimi mnyaturu kutokea Kintinku huko Singida nikiwa nachunga mbuzi nimekuwa na maswali magumu kwangu japo najua kwenu yanaweza kuwa rahisi kutujibu watanzania. Kuna kitu nakisikia kinaitwa kesi ya ugaidi...
  2. Ugumu wangu

    Chadema walianza na Mungu na wanamaliza na Mungu

    Habari ya usiku huu watu wa Mungu naimani mpo salama kabisa, kwangu Mimi Mniombee Sana tu maana naandika uzi huu Hali haiko sawa . Nimekuja kwenye jukwaa hili na kujaribu kuutangazia uma wote mjue japo si wote wataelewa na wengine watakebehi pia. Lakini kwa vyovyote vile ila nataka ujue kuwa...
  3. Ugumu wangu

    Nakutafuta Melkzedec Kidaghoo

    Habari ya usiku huu wa jf. Naomba kwa wale waliosoma Udom course ya Mining engineering kwa miaka ya karibu na Kama unamfahamu huyu kijana kwa jina la Melkzedec Kidaghoo nakutafuta Sana mdogo wangu ama Kama Kuna mtu anamjua na upo humu Jf Naomba unione pm. Kwa kukumbusha kidogo tu Mimi ni Kaka...
  4. Ugumu wangu

    Pwani: Utupaji maiti katika msitu wa Pugu Kazimzumbwi, umekithiri

    Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani wameiomba kamati ya ulinzi na usalama kukomesha matukio ya utupaji maiti katika msitu wa Pugu Kazimzumbwi, ambapo Julai hadi Agosti maiti sita zimekutwa kwenye msitu huo. Chanzo: East Africa TV
  5. Ugumu wangu

    Mbunge Jerry Silaa na ufafanuzi wa Askofu Bagonza

    ''Bunge la TZ ndilo limekosewa lakini adhabu inaenda kwa bunge la Afrika Mbunge ndiye kakosea, wanaadhibiwa wananchi wa Ukonga. Asiyekatwa kodi kasema hakatwi, Kamati inalazimisha kusema anakatwa.''- Askofu Bagonza Hizi ndio PHD sasa
  6. Ugumu wangu

    Huduma hii imeshafika Tanzania?

    INTERNET. Starlink is now delivering initial beta service both domestically and internationally, and will continue expansion to near global coverage of the populated world in 2021. During beta, users can expect to see data speeds vary from 50Mb/s to 150Mb/s and latency from 20ms to 40ms in most...
  7. Ugumu wangu

    Peter Mwakatundu, nakutafuta rafiki

    Wakuu habari za mida hii, Naomba kwenda kwenye maada tajwa hapo juu: Namtafuta mtu huyu kwa Jina lake halisi ni Peter Mwakatundu nimepotezana nae miaka kadhaa nyuma, kwa kumbukumbu ya machache ninayokumbuka. Tuliwahi abudu pamoja nae kwenye kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), pale...
  8. Ugumu wangu

    #COVID19 Geita: Wanafunzi wakimbia ovyo wakiogopa chanjo, Kaimu Mkurugenzi ataka waelimishwe chanjo ni hiari

    Hii ni Tanzania pekee😂😂😂😂 ====== Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Geita Edith Mpinzile, amewaagiza wazazi, walimu na maafisa elimu kutoa elimu kwa wanafunzi kuwa chanjo ya Corona ni hiari na haitolewi kwao kufuatia vitendo vya wanafunzi kukimbia madarasani kila waonapo gari...
  9. Ugumu wangu

    Kitabu gani umeshakisoma Cha wainjilist Hawa Billy Graham na Rehnard Bonke

    Mimi Sasa najisomea hiki Ila nimesoma zaidi 12 vya Hawa wainjilist
  10. Ugumu wangu

    Nini maana ya taarifa za Intelligencia zinazosemwa na Jeshi la Police?

    Wakubwa shikamooni, Naomba Leo niwe mjinga kiwango Cha lami ya kutoka Iringa kwenda dodoma. Leo hii tunashuhudia kesi mbali mbali zikiwa zinahitimishwa mahakani na watuhumiwa kuachiwa huru bila kukutwa na hatia, na majaji au mahakimu wakisema ushahidi umeshindikana kuletwa au kujitosheleza...
  11. Ugumu wangu

    Hukumu ya Mdude Nyagali hatma ni leo

    Mungu wa Ibrahimu, Isaack, Yakobo hata Yusufu, asubuhi leo nasogea mbele ya kiti chako kwa unyenyekevu, lakini kabla ya kusogea mahali patakatifu pako naomba kutibu maovu yangu ya kuwaza, kuona, kutamani, kusikia, kunena kwangu na kuonja kwangu kinyume na mapenzi yako. Mungu wangu ni Mungu mkuu...
  12. Ugumu wangu

    "Wilaya ya Mbezi Beach" kama inavyoelezwa kwenye taarifa hii ina maana gani?

    Naomba kuuliza hii wilaya ya mbezi Beach imeundwa lini☹️☹️☹️☹️?
  13. Ugumu wangu

    Huduma ya internet

    Naomba kuuliza wakuu, kwa wale mliopo Dar Kuna jengo karibu na Mlimani City linapangishwa je Kuna huduma za Internet ya fiber maeneo zimefika huko?
  14. Ugumu wangu

    Kutoka Singida hadi Dar es Salaam kwa matumaini ya kupata msaada wa elimu

    Member wa JamiiForums wote nawasalimu kwa jina la Yesu Kristo aliekufa msalabani kwa ajili ya uovu wangu. Leo nimependa kushare kidogo kuhusu historia ya maisha yangu inaweza kuwa funzo kwa mwingine pia. Mara baada ya kumaliza darasa la Saba katika shule moja ya msingi mkoa wa Singida dc...
  15. Ugumu wangu

    Tanzania na katiba mpya

    Habarini wakuu, leo mda wa usiku wa manane sana baada ya kushtuka usingizini nikalala tena pamoja na kuota ndoto lakini Kuna ndoto nimeiota kwa msisitizo mkubwa Hadi nimeamka asubuhi nikiwa na furaha na nakumbuka. Nimeota viongozi wengi wa chama tawala (CCM) wakiwa wamekasirika baada ya Mbowe...
  16. Ugumu wangu

    Hati ya Kusafiria ya Tanzania (Passport) ina nguvu gani?

    Habarini wakuu, Naomba mtutoe tongo tongo hapa. Hati ya kusafiria ya Tanzania unaweza kuingia nchi ngapi bila visa na ni vema pia mwenye kujua hili akazitaja hata nchi zenyewe pia.
  17. Ugumu wangu

    Baba Swalehe uko wapi Mkuu?

    Jamani wana JF namtafuta huyu rafiki yangu wa siku nyingi sana humu Nyumba ya furaha, lakini simsikii kabisa baba Swalehe uko wapi nakutafuta mkuu?
  18. Ugumu wangu

    Gari hii inafaa?

    Naomba wataalam mje hapa uimara wake uko vipi na mapungufu ya hii gani na vipi road Ina balance hata ukiwa kwa mwendo mkubwa?
Back
Top Bottom