"Wilaya ya Mbezi Beach" kama inavyoelezwa kwenye taarifa hii ina maana gani?

Ugumu wangu

JF-Expert Member
May 6, 2021
1,685
3,549
Naomba kuuliza hii wilaya ya mbezi Beach imeundwa lini☹️☹️☹️☹️?

Tanesco.PNG
 
Wana mikoa yao na na wilaya zao hao mfano kwa polisi kinondoni ni mkoa na una RPC wake, ilala hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom