nchi yangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Nchi yangu Tanzania haina tena THINK TANKS wa muelekeo wa kiuchumi, ni bora liende!

    Rais wa Awamu ya kwanza , Mwalimu Nyerere aliwaweka watu waliobpbea kiuchumi kuwa washauri wake. Mwalimu aliweza kubishana na IMF kwa kipindi kirefu kutokana na misimamo inayotokana na ushauri wa kitaalam toka kwa washauri wake wa kiuchumi. Mwalimu alishauriwa na magwiji kama Dr Mwaluko, Prof...
  2. Bani Israel

    JamiiForums Tanzania Waliotuletea dini wote wanakula sikukuu kesho ila sasa nchi yangu 🥲

    Iran kwa washia pamoja na vita vyao kesho wanaangusha ngamia MashaAllah nako Saudia chimbuko la sunni nako kesho ni shughuli yani middle east yote kesho ni bata batani Inashangaza tanzania imekuwa kawaida kusherekea sikukuu hizi siku ambazo ni tofauti na tunaowaangalia kama ndio chimbuko la...
  3. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Hizi kauli za Samia zinanichanganya sana. Je, nijinyonge kwa Ajili ya nchi yangu ndo mjue naipenda?

    Siku aliyokuwa anaongea na Taifa Stars baada ya kutolewa AFCON, nilimsikia anasema siku Ile ya mechi alikuwa amefunga kwa hiyo aliangalia mpira akiwa MEZANI anafuturu, nikajiuliza real RAIS Samia anafunga na kumwomba Mungu? Nikajiuliza haya matukio ya watu KUTEKWA akiwa anaongea na Mungu...
  4. bwawani90

    JamiiForums Tanzania Naomba nchi yangu usije ikaingia kwenye hii orodha

    Pamoja na yaliyotokea Mungu atuepushie. Ingawa hawa walio kwenye orodha waliingia baada ya damu za binadam kumwagikanhuko zamani Wanasiasa wasitupeleke huku
  5. Fukua

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kiapo changu Kwa nchi yangu ya Tanganyika

    Mimi fukua wa jf nianaapa kwamba, nitaipenda,kuipigania na kuitumikia nchi yangu ya Tanzania Kwa moyo wangu wote. Kwamba, ninaikataa CCM na serikali yake yote, ninamkataa Samia na mambo yake yote,bunge, mahakama, TISS, polisi na vyombo vyote vya Dola hii haramu Kwamba...
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nchi yangu inafuka moshi, wazima moshi msitumie moto kuuzima moshi, Embu tumieni Meza ya mazungumzo!

    Ukweli usiopingika, Nchi hujengwa na umma wa wote Linapotokea tishio lolote aidha la kijamii au tishio la nchi na serikali, kubwa kabisa la kutizama, Ni kupima athari za jambo hilo kwa haraka na kisha kuchukua hatua, sijawahi kukubaliana na yeyote, eti anishawishi kwamba, iko faida katika...
  7. R

    JamiiForums Tanzania "..Nayafakari sana Kuusiana na miungurumo hii ninayoisikia kuelekea OCTOBER 29"

    Heloo jf Nimeamka leo hii nikajikuta nikiwa katika hali ya tafakari sana!🤔🤔🤔🧐 Nimejikuta natafakari matokeo ya vita vya Kongo!🤔 Nikitafakari pia vita vya Rwanda!😤 Nikitafakari vita vya urusi na ukrein!🤯 Nikitafakari vita vya israeli na palestini!🥵 Mwisho nimejikuta nazama zaidi kuitafakari nchi...
  8. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU fanyeni kazi zenu, mimi hizi messages hazinihusu, kila siku natimiza wajibu wangu kama mzalendo wa nchi yangu

    Kila siku tunawaletea taarifa, juzi tu nimewaletea taaarifa hapo ofisini. Fanyeni kazi zenu
  9. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mara 100 mnizuie kuingia Ulaya yote kuliko kunizuia kutekeleza majukumu yangu ya kikatiba na nchi yangu Israel!!!

    "Hata wakinipiga marufuku kuingia Ulaya yote, nitaendelea kuchukua hatua kwa ajili ya nchi yetu," alisema Waziri wa Usalama wa Taifa Itamar Ben-Gvir. Kauli hiyo ilikuja kujibu serikali ya Uholanzi kumzuia Ben-Gvir na waziri mwenzake wa mrengo wa kulia wa baraza la mawaziri la Israel Bezalel...
  10. Kichwa kikubw

    JamiiForums Tanzania Nchi yangu

    Nchi yangu ya Demokrasia 🤣🤣🤣🤣🤣
  11. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Tanzania nchi yangu, nimevumilia ila uzalendo unanishinda

    Moyo wangu unaniuma, Najiona mwenye hatia, Sina raha nalazimisha tabasamu, Mimi Jack Daniel ni mwanachama wa chama cha mapinduzi Kwa miaka 23 mpaka leo hii. Nakumbuka nilichukua kadi hii kwasababu kuu mbili, Kwanza ilikuwa kujihakikishia ajira ya kudumu maana adui akikushinda nguvu mpishe...
  12. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Tanzania nchi yangu, nakupenda kwa moyo wangu wote

    Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa kisa kinene ,yapo mengi hatuyajui yapo mengi tunahaso tuyajue Elimu haina mwisho,Tuendelee kijifunza tupo kwenye nchi ya Dunia ya tatu ipo nyuma Kwa mambo mengi tu yaani, Siasa,uchumi,na maendeleo ya mtu mmoja mmoja ,ni nchi ambayo mtu akimikiki Jiko la...
  13. MduduAli

    JamiiForums Tanzania Inabidi tuwatambue na tuwape umuhimu watu wetu muhimu

    Habari wakuu Kwenye historia kwenye vitabu tumewasoma watu mashughuri, wagunduzi wa vitu mbali mbali lakini cha ajabu kuna watu wa muhimu sana hatu wapi umuhimu uliopaswa kupewa Just imagine kuna mtu aligundua wali nazi, chapati mbili na supu, ugali dagaa vitu ambavyo ulaya/Uingereza havipo...
  14. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya siasa na wanasiasa katika nchi yangu na mataifa mengine

    Jambo wana Jamii Forums, Natarajia mu wote mko poa sana. Leo ningependa kujadili kidogo kuhusu historia ya siasa ya Tanzania. Siasa ya Tanzania imeshuhudia mabadiliko mengi tangu nchi ipate uhuru mwaka 1961. Tumeshuhudia utawala wa chama kimoja (CCM) kwa muda mrefu, na pia mabadiliko ya vyama...
  15. Sodoku

    JamiiForums Tanzania Prince wa Saudi Arabia Salman: Mambo ya Palestine hayanihusu. Najihusisha zaidi ya Nchi yangu

    Prince wa Salman wa Saudi Arabia amesema kuwa hataki kujihusisha na mgogoro wa Palestine. Ana nchi yake na anapaswa aangalie mambo yanayohusu nchi yake. ========== Saudi Arabia's Crown Prince Mohammed bin Salman told US Secretary of State Antony Blinken that he does not personally care about...
  16. smttz

    JamiiForums Tanzania Mwanasiasa: Nchi hii hakuna maendeleo bila CCM kuamua

    Tanzania nchi yangu
  17. smttz

    JamiiForums Tanzania NCHI YANGU TANZANIA

    Kama taifa tunaelekea....!!!! Kila kitu ni hovyo tu...ukisikiliza maneno yao unasema yes! Watu ndio hawa, ili ukweli ni hovyo hovyo
  18. Noel france

    JamiiForums Tanzania Mimi nikiwa Mtanzania tena mzazi mwenye uchungu na matukio ya utekaji, hii inanifanya niichukie nchi yangu. Njii ipi nzuri ya kutatua ili tatizo?

    🚨🚨 ndugu zangu hali ni mbaya, serikali imeshindwa kutuakikishia usalama kwa raia wake. Kiukweli hofu kwa jamii ipo juu tunakosa Amani kama vile hatuna serikali, jeshi la police ndiyo linaongoza kuteka raia wake na viongozi wapo kimya especially Mh. Rais wetu. Kiukweli kunahaja wananchi...
  19. Msanii

    JamiiForums Tanzania Nimeota ndoto isiyopendeza kwa nchi yangu

    Ndoto nimeiota siku tatu zilizopita. Namaanisha tarehe 16 Agosti 2024. Mazingira ya jijj, sijajua ni jiji gani Tukio la shambulizi la kigaidi Raia wanasaidiana na vyombo vya ulinzi na usalama kupambana Ndoto imejirudia mara 3 ktk usiku mmoja. Yaani nazinduka usingizini, nikirejea kulala ndoto...
  20. Chatterman

    JamiiForums Tanzania Eti hii ndiyo nchi yangu? 😔

    Daah! Hii nchi hiii. Kuna muda nakaa naisikitikia hii nchi kwa namna inavyoendeshwa, Kumbe nchi nayo inanisikitikia jinsi ninavyoishi maisha ya kimaskini na utajiri upo. Si ajabu atakuja Rais kama JPM lakini watu hawatamwelewa mpaka umauti utakapomkuta. Kwanini watu wa nchii hii vitu vizuri...
Back
Top Bottom