Hati ya Kusafiria ya Tanzania (Passport) ina nguvu gani?

Ugumu wangu

JF-Expert Member
May 6, 2021
1,685
3,549
Habarini wakuu,

Naomba mtutoe tongo tongo hapa. Hati ya kusafiria ya Tanzania unaweza kuingia nchi ngapi bila visa na ni vema pia mwenye kujua hili akazitaja hata nchi zenyewe pia.
 
Haina free entry kwa nchi nyingi Ulaya, kuna vaadhi ya sehemu wabeba unga hasa wa mataifa mengine wameichafua sana hii hati kiasi kwamba ukionekana tu mtanzania wanakushuku na unga.

Hizi electronic passport huenda zikarudisha image yetu nzuri.
 
Shukurani mkuu
 
Habarini wakuu, naomba mtutoe tongo tongo hapa, Hati ya kusafiria ya Tanzania unaweza kuingia nchi ngapi bila visa na ni vema pia mwenye kujua hili akazitaja hata nchi zenyewe pia
Nchi za SADC, EAC, Georgia (ulaya mashariki), Jamaica wataongezea zingine wadau
 
Back
Top Bottom