Kitabu gani umeshakisoma Cha wainjilist Hawa Billy Graham na Rehnard Bonke

Ugumu wangu

JF-Expert Member
May 6, 2021
1,685
3,549
Mimi Sasa najisomea hiki Ila nimesoma zaidi 12 vya Hawa wainjilist
IMG_20210702_191412_116.jpg
 
Sio vitabu maalumu kwa kila mtu, maana vimeandikwa kwa lugha ambayo sio kila mtu anaijua.
 
Maombi ya kushindana cha Mch Gwajima ndio kinakufaa mswahili mwenzangu hicho kinafaa sana huku kitaa kwa Mtogore achana na hizo philosophical intelligence

Tumsifu Yesu Kristo.
 
Back
Top Bottom