Search results

  1. ndege JOHN

    Ukiwa serious sana na maisha unakitafuta kiharusi

    Kwenye maisha usiwe serious sana ishi Kama mwijaku furahia maisha fanya vitu ambavyo vinaonekana vya ajabu mtu mzima kuvifanya mfano kubebana mgongoni,. Kuwa serious kwenye ishu ya posho tu maana usipokuwa serious kwenye hela unaweza kudhulumiwa usipate gawio. Kula vinono na kunywa pombe...
  2. ndege JOHN

    Zamani ukiwa unasafiri kwenda Dar hulali usiku

    Sijui shida ilikuwa nini yaani ukiwa unasafiri na bus haswa kwenda dar tuseme bus linaondoka saa 12 asubuhi basi usiku unapata mawenge usingizi hauji kabisa Ila siku hizi ukiwa na safari ya kesho saa 12 hupati mapepe wala wasiwasi wa kuachwa na gari unalala fresh tu hata ikibidi pombe...
  3. ndege JOHN

    Nitajie wasanii wawili Tanzania ambao ni genius sana

    Kwa mimi binafsi naona 1. Nikki Mbishi wa Tamaduni Muzik 2. Leonardo wa Cheka Tu Wote ni wasomi wenye taaluma zao ambazo, zinahitajika kichwa Cha hesabu Nikki ana degree ya computer science huku Leonard yeye ana bachelor ya water resources engineering. Kwenye interview zao utagundua wako smart...
  4. ndege JOHN

    Hatuna hata movie moja iliyoigiziwa Mlima Kilimanjaro

    Hatuko serious kwenye tasnia ya filamu yaani nchi yote hii wasanii wameshindwa kuja na idea ya movie ikachezwa mlima kilimanjaro au serenget au ngorongoro. Isiwe kipande tu iwe movie yote full mwanzo Mpaka mwisho ichezewe mlimani.
  5. ndege JOHN

    How come stand ya wilaya iwe nzuri kuliko ya mkoa

    Mfano ni stand ya Mangaka iliyopo nanyumbu ni kali kuliko stand za songea, Mtwara, Lindi.. Serikali inakuwa inaonaje kuipa wilaya kipaumbele ilihali watu wengi wako mkoani na mzunguko uko mkoani.
  6. ndege JOHN

    Hapa duniani starehe ziko chache, majanga ndiyo mengi

    Mungu ametuwekea mambo ya kutupa raha machache sana yaani ukifikiria raha ni kunywa pombe, kula chakula, kufanya mapenzi na kulala usingizi.ila cheki majanga yalivyo mengi magonjwa, majanga ya asili, umaskini, ajali n.k At least kidogo tungekuwaga na uwezo wa kupaa Kama ndege yaani unaruka...
  7. ndege JOHN

    Kwanini bia lita 5 zinanyweka ndani ya saa na sio maji?

    Swali fupi sana ila ni la msingi ambalo mtaalam wa afya yakupasa ulifanyie Utafiti uliandikie andiko. Kwanini ukikaa bar unaweza kupiga safari lager zile kubwa za nusu lita hata 10 Sawa na lita 5 ila haiwezekani kukaa sehemu ukanywa maji Lita 5 labda unywe taratibu asubuhi Mpaka jioni. Kwa...
  8. ndege JOHN

    Hela sio ya kusolve matatizo peke yake

    Huwa nashangaa mtu anapata pesa anabaki na mawazo mengi kichwani yaani in short anaitesa pesa yake anaipa changamoto pesa yake kazi yake inakuwa ni kutatua tu matatizo mara ya wagonjwa mara ya madeni. Sikatai kutumia pesa kwenye shida ila usijisahau babu kula kidogo sheikh kula kuku au safari...
  9. ndege JOHN

    Ni vipengele gani vya kimkataba vinapaswa kuwekwa unapompa mtu asimamie biashara yako Ili upate faida?

    Habari za hapa waungwana naombeni niongezeeni maarifa ya uendeshaji mzuri wa kibiashara case study ni hizi biashara zangu. Nina jamaangu muaminifu sana kwenye maisha na ni mzawa wa hapa nilipo yeye ni fundi viatu sasa ana kijiwe chake sehemu nikaona ni center yaani tukiweka viatu vya mitumba...
  10. ndege JOHN

    Taja mashine/chombo ambacho unaweza kuwa unakikodisha na kikakupatia hela

    Kwenye upande wa ufundi unaweza ukawa na vitu vifuatavyo mafundi wakaja kukodisha wakafanyie kazi kwa maana mafundi wengi tu nawajua wana ujuzi ila hawana vifaa. TOOLBOX SET GRANDER MACHINE ZA KUPAKA RANGI MACHINE ZA KUCHOMELEA HAMER DRILL MASHINE YA KUFYATUA MATOFALI MATOROLI MASHINE YA...
  11. ndege JOHN

    Kwanini nakushauri ununue mashine ya umeme ya kufyatua matofali

    1.unaweza kuikodisha anytime 2.una weza kuzalisha tofali mwenyewe weekend ukapiga kazi mwenyewe au assume kila usiku wewe ukawa ukazalisha tofali 200 hata kama ni kwa msaada wa kibarua means Kwa week 1 una tofali 1400 ambazo ni zaidi ya million 1 na laki 4 ukitoa mchanga, maji na cement hapo...
  12. ndege JOHN

    Sekta 10 bora duniani zinazoendesha uchumi.

    unahitaji kufahamu sekta kubwa zaidi duniani. Itakusaidia kufanya maamuzi sahihi kuhusu mahali pa kuwekeza pesa zako. Inasaidia pia kujua ni viwanda gani vinakua na ambavyo vinatatizika. 1. Sekta ya Utengenezaji(manufacturing industry) Sekta ya utengenezaji ni moja ya tasnia kongwe zaidi...
  13. ndege JOHN

    Kuna watu huwa wana enjoy zaidi ile hali ya wao kujulikana wameishiwa hela

    Kuna Wale Watu wa kujichanganya na watu wa namna zote wenye hela na wasio nazo, wanywa bia na wanywa gongo huwa wananifurahisha sana pale wanapopata hela yaani moyo hautulii mpaka hela iishe. Na kati ya maskini na matajiri nimejifunza wanaoongoza Kwa dharau ni maskini hawahawa wanywa gongo...
  14. ndege JOHN

    Umemaliza chuo au umeajiriwa fanya biashara zinazohusiana na baadhi ya courses zako ulizosemea chuo

    Kosa moja tunalifanya waajiriwa ni kukurupa kujenga nyumba Kwa mikopo huku nyumba zenyewe hazimaliziki wakati pango la nyumba tu inaweza ikawa million Kwa mwaka na ukaimudu vizuri tu. Sisemi kwamba watu wasijenge ila kuna ushauri mbalimbali humu ndani tumeona bin heri kujipata kwanza kwenye...
  15. ndege JOHN

    Jaribu kula hii Olympic breakfast ya maana kweli kweli .

    Inakuwa na mchanganyiko wa Soseji Mayai mawili ya kukaanga Uyoga Viazi vilivyokaangwa vikakauka vizuri ama chips Nyanya kipande unaila ikiwa mbichi Maharage yasiyokaangwa steak ndogo ya kipande cha nyama sio mbaya sana Mkate pia ukiweka slace mbili sio kesi.
  16. ndege JOHN

    Naombeni maoni yenu juu ya biashara ya water refilling station vyuoni.

    1.bei ya Hizo water ATM 2.zinapatikana wapi nchini 3.changamoto zake na faida zake 4.mahitaji yake (leseni? Vibali? N. K)
  17. ndege JOHN

    Eti wadau kuna biashara ya kukodisha concrete mixer na ikafanya vizuri?

    Habari za asubuhi huku tukiendelea na vita lazima maisha yaendelee Tuamke kuinua uchumi unaoanguka nahitaji kujua kama umewahi kukutana na hii biashara ya kukodisha mtambo wa kuchanganya zege Tena Kwa mikoani huku kweli nitakuwa nimefanya uwekezaji wenye matokeo nikinunua hio mashine?
  18. ndege JOHN

    Uhusiano kati ya kipaji na mapendeleo yako

    Kipaji Ni uwezo yaani watu wanakuwa na maslahi na kile ulichonacho wakati hamu ni mapendeleo ni hisia ama tamaa unayokuwa na shauku nayo juu ya kitu /jambo fulani linalokuvutia. Ili kukitambua kipaji chako lazima uwe makini kwenye shughuli za kila siku au matendo unayoyatenda Kila siku yapi...
  19. ndege JOHN

    Serikali kwanini isijenge majengo mazuri mikoa au wilaya kuliko kuyajaza mikoa iliyojengeka kama Dar, Pwani, Arusha, Dodoma?

    Kwa sababu uzuri mikoa hiyo iko karibu na Dar hivyo wageni wakishuka Dar ni rahisi kuifikia Kwa mfano likajengwa tower pale Kilwa kuna athari gani ilihali wageni wangependa pia kutembelea mji wa Kilwa ama Lindi pia panafikika kirahisi au mfano Singida na Dodoma iko karibu, kwanini tusijenge pia...
  20. ndege JOHN

    Mvua za mwaka huu hatutazisahau.

    Jana hatari Sana wingi lilitanda Mida ya mchana saa Sita kukawa giza na hapo upepo mkali watu tumejificha zinapiga radi na kuvunja minazi. Wabishi wa kuhama mabondeni wamekubali jinsi maji baridi yanavyotisha wamehama wote wamerudi vijijini na huko mashambani wasio pata na waliopata wote...
Back
Top Bottom