matofali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ndege JOHN

    Kwanini nakushauri ununue mashine ya umeme ya kufyatua matofali

    1.unaweza kuikodisha anytime 2.una weza kuzalisha tofali mwenyewe weekend ukapiga kazi mwenyewe au assume kila usiku wewe ukawa ukazalisha tofali 200 hata kama ni kwa msaada wa kibarua means Kwa week 1 una tofali 1400 ambazo ni zaidi ya million 1 na laki 4 ukitoa mchanga, maji na cement hapo...
  2. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Munira Mustafa Khatibu Akabidhi Matofali 2,000 Ujenzi Miradi ya UVCCM Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar

    Mbunge Munira Mustafa Khatibu Akabidhi Matofali 2,000 Ujenzi Miradi ya UVCCM Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar Mbunge wa Viti Maalum Kundi la Vijana Taifa Mhe. Munira Mustafa Khatibu amekabidhi Matofali 2,000 kwa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kaskazini Unguja Ndugu Ismail Ali Ussi kwaajili ya...
  3. Braza Kede

    Usijenge kwa Matofali ya Udongo Utajuta Baadaye

    Ukijaaliwa kupata uwezo jenga kwa kutumia tofali za simenti hizi mnaita blocks maana zinadumu dahari. Mzee wangu alijenga miaka hiyo kwa kutumia hizi tofali za blocks saivi kashastaafu anapeta tu. Ila wenzie waliojenga kwa tofali za madongo saivi nyumba zimeshachoka hoi nyingine zimeshaegama...
  4. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Norah Mzeru Achangia Mifuko 50 ya Saruji, Matofali 500 na Laki Nne Ujenzi wa Nyumba ya Katibu UWT Morogoro Vijijini

    MBUNGE NORAH MZERU AKABIDHI MIFUKO 50 YA SARUJI, MATOFALI 500 NA TSH. 400,000 KWAAJILI YA UJENZI WA NYUMBA YA KATIBU UWT WILAYA YA MOROGORO VIJIJINI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Waziri Mzeru amekabidhi Mifuko 50 ya Saruji, Tofali 500 za Block na fedha kiasi cha Shilingi...
  5. B

    Ujenzi wa uzio wa matofali

    Habari naomba kuuliza makadirio ya ujenzi wa uzio wa kawaida tu wa matofali kwenye eneo lenye urefu mita 120 na upana mita 80 inaweza kutumia matofali mangapi? Nataka nianze kukusanya tofali mdogomdogo
  6. Kimemeta

    Nataka kujikita katika shughuli za ufyatuaji matofali ya Block kibiashara, naomba uzoefu

    Wakuu za jumamosi. Tuzidi kuomba Amani Ulaya Mashariki Nataka kujikita katika shughuli za ufyatuaji matofali ya Block kibiashara. Kabla naomba kupata uzoefu kdg. Aina na gharama ya mashine nzuri za kufyatulia, maeneo mazuri ya kufungulia biashara hiyo, usimamizi wake ukoje, faida na hasara...
  7. RRONDO

    Naweza kujenga nguzo za kibaraza kwa matofali ya kulaza?

    Kwenu wataalam wa ujenzi. Naweza kujenga nguzo za kibaraza kwa matofali ya kulaza, yaani niachana na nguzo za nondo/zege? Juu nitaweka mkanda kama kawaida. Kiutaalamu ina madhara yoyote?
  8. Keynez

    Tusisherehekee Uhuru kwa kurusha tu ndege za kivita na kuvunja matofali

    Wakuu, nawasalimu kwa jina la Bwana wa Majeshi. Wote tunajua jinsi uhuru wa Tanganyika ulivyopatikana. Kwa kifupi ulipatikana kwa njia za majadiliano na diplomasia. Ningependa sana kuona kila tunapokaa kusherehekea uhuru wetu, tukumbushane jinsi gani majadiliano, ustaarabu na diplomasia...
  9. The Stress Challengerr

    Video: Kim Jong Un akiangalia makomandoo wake wakivunja matofali

    Kiongozi wa North Korea pamoja na maafisa wa juu serekalini na jeshini wakiangalia makomandoo wakionesha ukakamavu na mbinu za mapigano ya aina yake. Maonesho hayo ya kipekee ni yalijumuisha uvunjaji wa matofali pamoja na vigae. Ila jeshi la Korea kaskazini ni kakamavu.
  10. Analogia Malenga

    RC Tabora aagiza kuwe na benki za matofali

    MKUU wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt.Batilda Buriani ameagiza Halmashauri zote kuwa na Benki ya Tofali kwa kila Kijiji. Alisema hatua hiyo itasaidia kukabiliana na upungufu wa vyumba vya madarasa pindi muda wa wanafunzi wanapotakiwa kijiunga na Darasa la Kwanza ama Kidato cha Kwanza. Balozi Dkt...
  11. Sky Eclat

    Kati ya matofali ya kuchoma na ya saruji unachagua yapi?

    Nilibishana na rafiki yangu, yeye ameamua kujengea matofali ya kuchoma. Anasema ubora wa tofali la kuchoma liliokwa sawa sawa unazidi matofali ya saruji. Yeye pesa anayo ila ameamua kutumia matofali ya kuchoma katika ujenzi wake. Hivi ni kweli kuwa matofali ya kuchoma ni bora kuliko ya...
  12. MURUSI

    Kwanini kuweka mifumo imara nchini kunaogopwa?

    Mwendazke na uzalendo wake wote hakutaka kuweka mifumo kabisa ndo maana kwa sasa kila kitu chake kishapinduliwa. Mama na yeye haelekei kujenga mifumo bali anafuata nyayo za mwendazake, Je ni kitu gani wanaogopa? Kwanini hawataki kuweka mifumo? Mama anaweza kuacha legacy ya kuwa Rais pekee...
  13. Chibudee

    Ubunifu Tizama Weka Maoni Yako

    Nimeangalia sana hii kitu. Yaani tunatumia gharama kununua vitanda bure. Hii kitu unaweza tumia tu tofali, zege na ukachanganya tiles ikatoka safi zaidi ya hapo
  14. Sky Eclat

    Matofali ya mchanganyiko wa udongo na mchanga yakiokwa huwa ni imara sana kuna ukweli?

    Mchanganyiko wa udongo na mchanga hutoa matofali bora sana. Matofali haya huboreshwa kwa kukiwa. Ili kupata matokeo bora matofali haya huwa ni madogo ili kurahisisha uokaji. Abstract Soil-cement bricks were produced using local clay brick waste (CBW) and soft sludge (SS) from fiber-cement...
  15. tutafikatu

    Wahandisi watusaidie: Kwanini Tanzania Matumizi ya Matofali yenye Uwazi Katikati ni Madogo sana?

    Kwa uzoefu wangu mdogo, tofali zenye uwazi katikati (Hollow Cement Block) zinatumika kwa uchache sana. Pamoja na faida zake nyingi, najiuliza ni kwa nini?
  16. jingalao

    Sheria ya manunuzi ya Umma ipitiwe upya huwezi fananisha manunuzi ya dawa na matofali

    Huu ni wito kwa watunga Sera Upo umuhimu wa Sheria ya manunuzi ya umma kupitiwa upya. Haiwezekani Taratibu za kununua matofali au karatasi zikafanana na manunuzi ya dawa na vifaa tiba. yaani paracetamol au gloves zikiisha utaratibu wa manunuzi ulingane na ule wa kununua tofali la kujengea...
  17. M

    Brick Extruder for Sale

    Machine ya kuvyatua tofali za kuchoma inauzwa,Bei TZS 8000000 complete.Ina uwezo wa kuvyatua tofali 12,000 hadi 15,000 ndani ya masaa 8.Ipo Morogoro Mjini. Inavyofanya kazi check hapo :Tupigie +255738211205
Back
Top Bottom