wataka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania River Kibos Chini ya Tuhuma za Uchafuzi: Wakazi Wataka NEMA Ichunguze Kibos Sugar

    Wakazi wanaoishi karibu na River Kibos, Kisumu, wanataka mamlaka kutoa majibu kuhusu madai mapya ya uchafuzi wa mto huo, huku wakitaka shughuli za Kibos Sugar and Allied Industries zichunguzwe na sheria za mazingira zitekelezwe. Lakini ukifuatilia rekodi, swali linakuwa kubwa zaidi: Kwa nini...
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa Nairobi wataka Besigye na Lissu kutoka gerezani na kuachiliwa huru

    Wanaharakati nchini Kenya wameongeza shinikizo la kutaka kuachiliwa kwa viongozi wa upinzani wa Uganda na Tanzania, Dkt. Kizza Besigye na Tundu Lissu, wanaoshikiliwa katika nchi zao kwa tuhuma zinazohusiana na uhaini. Katika maandamano yaliyofanyika Nairobi Alhamisi, Septemba 3, 2026...
  3. Miss Halima

    JamiiForums Tanzania Mpasuko Mirathi ya Rwakatare: Mawakili wa Familia Wamkana Tibe, Wataka Bilioni 5 na Msamaha

    Mawakili wa familia ya marehemu Askofu Dr. Gertrude Pangalile Rwakatare na Kampuni ya St. Mary’s International Academy Limited, wakiongozwa na Wakili Derick Paschal, wamejitokeza na kukanusha vikali tuhuma zilizotolewa na Tibe Kenneth Rwakatare pamoja na mawakili wake,. Wameeleza kuwa madai...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Viongozi Wataka Ushiriki Mkubwa wa Vijana katika Ubunifu wa Kidijitali Afrika

    Viongozi wa Serikali, sekta sekta binafsi na wadau wa teknolojia wametoa wito wa kuongeza uwekezaji kwa vijana katika ubunifu na ujuzi wa kidijitali ili kuiwezesha Afrika kutoka katika utegemezi wa teknolojia na kuwa mzalishaji wa suluhu za kidijitali zinazoendana na changamoto za maendeleo ya...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Wasaudia wanataka kuwa na hifadhi ya mafuta hapa Tanzania / wataka kuwekeza kwenye kilimo pia ufugaji Tanzania

    17 August 2026 WASAUDIA WANATAKA KUWA NA HIFADHI YA MAFUTA HAPA TANZANIA / WATAKA KUWEKEZA KWENYE SEKTA ZA MADINI, KILIMO PIA UFUGAJI https://m.youtube.com/watch?v=ZSNh7sy6MD8 Source : Jambo TV HABARI KWA KINA: Kongamano la Biashara kati ya Saudi Arabia na Tanzania August 16, 2026...
  6. figganigga

    JamiiForums Tanzania CCM wataka Polisi kukanusha kuhusu kushirikiana na Sheikh Said Mwaipopo "kutahiri watu bila ganzi"

    CCM wataka Polisi kukanusha kuhusu kushirikiana na Sheikh Said Mwaipopo kutahili watu bila ganzi. MY TAKE Polisi inazuga kutafuta vikundi vya kihalifu wakati vinajulikana na vinajitangaza kwenye TV. Sasa ni Rasmi kwamba kikundi cha kigaidi cha Sheikh Mwaipopo ndicho Tume ya Mzee chande...
  7. McLaren

    JamiiForums Tanzania Pwani: CHADEMA wataka waliotajwa kwenye ripoti ya CAG wakamatwe. Mchakato wa Katiba umalizike mwaka 2027

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Pwani kimesema kasoro zilizobainishwa katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) zimekuwa zikikwamisha maendeleo ya halmashauri pamoja na Mkoa wa Pwani kutokana na usimamizi usioridhisha wa mapato ya umma. Kauli hiyo...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Wadau wataka hatua zichukuliwe kudhibiti 'kubet': Tutazalisha matapeli wa kitaifa

  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Wananchi Arusha wauwausha moto!, wafunga Barabara wataka 'Bamsi'

    Ni katika mtaa wa Sokoni One, kata ya Sinoni jijini Arusha, ambapo asubuhi ya leo Februari 1, 2026, wananchi wa eneo hilo wameandamana na kufunga barabara inayotoka Sinoni kuelekea Ngusero kwa takribani masaa matatu. Wananchi hao wanapaza sauti wakiiomba Serikali na mamlaka husika kuweka bamsi...
  10. R

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Watetezi wa Haki za Binadamu Uganda wataka tume ya uchaguzi kutoa ufafanuzi video ya tovuti inayoonyesha Matokeo Mgombea Bobi Wine kushinda urais

    Watetezi wa haki za binadamu wanaounda mtandao wa NUPUSA (Network of Public Interest Lawyers and Human Rights Defenders in Uganda) wameeleza wasiwasi mkubwa kufuatia taarifa zinazohusishwa na Mbunge wa Upinzani wa Jimbo la Kawempe North kuhusu kuwepo kwa tovuti ya mtandaoni ya matokeo ya...
  11. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Wamemshindwa Gwajima wataka kupambana na Wakatoliki. Astaghafirullah

    Mwaicheza baikoko hiyo. Mweee! Walahi mwaingia maskani ya vita. Mwafikiri kubeba silaha ni kushinda hehee. Hamjui mtajuzwa. Kikundi ya Gwajima hakizidi watu elfu arobaini kimewatoa nishai. Mwathubutuje kuingia kwa Wakatoliki. Mwacheza Nye. Humohumo wamo. Hehee. Kati yenyu wamo. Mayii. Miye sijui...
  12. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania TEC na Wakristo na Waislam Safi hakuna Kurudi Nyuma : Tuliposema Maridhiano kabla ya Uchaguzi, walitubagaza, Wamepora Uchaguzi wataka Maridhiano!

    Hakuna Hakuna Hakuna MARIDHIANO baada ya Mauaji ya Halaiki, HAKUNA HAKUNA !!.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Uingereza, Canada na Norway waungana kulaani kinachoendelea Tanzania. Wataka Mamlaka kuzingatia mikataba ya Kimataifa

  14. Pdidy

    JamiiForums Tanzania 30 wataka kuuza figo muhimbili...wapunguze ukali wa maisha waambiwa wakafanye kazi hospt haina uuo utaratibu..duh tunapoelekea tunauziana maini utumbo

    Hospitali ya Taifa Muhimbili imesema ni kweli Watanzania zaidi ya 30 wamewafata Madaktari wa figo na kutaka kuuza figo zao kwa Wagonjwa wenye matatizo ya figo ili pesa hizo ziwasaidie kupunguza ukali wa maisha. "Ni kweli kuna Watu wamekua wakiwafata Madaktari wa figo wakiwaambia sisi tunataka...
  15. Mindyou

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wana CCM Kondoa Vijijini wataka mchakato wa kura za maoni urudiwe

    Wanachama wa CCM Kata za Bereko na Kisese, wilayani Kondoa, mkoani Dodoma, wameuomba Uongozi wa CCM Taifa, kurudia kura za maoni kwa nafasi ya Udiwani na Ubunge wa Jimbo la Kondoa Vijijini, wakidai uchaguzi huo uligubikwa na vitendo vya rushwa ili kutoa fursa kwa wananchi kupata kiongozi bora...
  16. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Miaka 25 ya ubunge huna Barabara siku ukifa wataka ichongwe? Ni aibu sio uzalendo

    Miaka 25 ya ubunge alafu unakufa madarakani inachongwa Barabara kufikia pahala pako pa kuzikwa?haya hawezi tokea kilimanjarooo
  17. J

    JamiiForums Tanzania Wananchi Jimbo la Kisesa wataka jina la MPINA lirudishwe

    SIMIYU: Baadhi ya Wananchi wa Jimbo la Kisesa wamekusanyika na kueleza hisia zao wakipinga uamuzi wa Chama Cha Mapinduzi (#CCM) kukata jina la aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo, Luhaga Mpina katika mchakato wa awali wa uteuzi wa Wagombea. Wamedai kutoridhishwa na majina yaliyopitishwa na kutoa...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Ukonga wataka mabadiliko Ubunge, wamtaja Msama kuwa ni mpambanaji

    Wakati vuguvugu la uchaguzi mkuu likipamba moto nchini kwa nafasi ya urais, ubunge na udiwani, wapiga kura wa Jimbo la Ukonga wamemtaja Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama kuwa ni mtu sahihi kwa 2025-2030. Kwa mujibu wa wakazi wa eneo hilo wanapoongelea uchaguzi wa mwaka huu, wamekuwa...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Wanachuo wataka sifa ya anayegombea ubunge iwe angalau degree moja

    Baadhi ya wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu Mkoa wa Dar es salaam, wamependekeza sifa ya mtu kugombea ubunge iwe pamoja na elimu ya shahada ya kwanza, tofauti na sasa ambapo sharti la elimu ni kujua kusoma na kuandika. Akizungumza kwa niaba ya wanafunzi hao jana Juni 22 jijini Dar es Salaam...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Kama kuuwawa mbele ya kadamnasi kutasaidia sauti ya wataka haki kusikika, mimi nitafanya hivyo!

    Kadri siku zinavyoenda ndoto zangu za kuona ukurasa mpya umefunguliwa kutoka kwa Rais wangu zinapotea. Vitisho vilivyokuwepo kwa JPM tukaogopa sasa vimeongezeka. Tunatishwa, kupotezwa ama kuuwawa ama kunyanyaswa kwa namna yeyote ile. Wakulima, wafanyakazi kwa wafanyabiashara wote hatuna amani...
Back
Top Bottom