igp simon sirro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    IGP mstaafu Simon Sirro Kuagwa rasmi na Jeshi la Polisi

    Jeshi la Polisi limetangaza kwamba IGP mstaafu ataagwa rasmi kesho na Jeshi hilo kwenye hafla itakayofanyika kwenye viwanja vya chuo cha Polisi Kurasini mkoani Dar es Salaam Msemaji wa Polisi amewaambia Waandishi wa Habari kwamba sherehe za kumuaga Sirro ambaye sasa ni balozi wa Tanzania nchini...
  2. Erythrocyte

    Balozi Sirro amshukuru Rais kwa kumuamini

    Mh Balozi ameyasema hayo ndani ya Kanisa, huko Muryaza Wilayani Butiama, alipokuwa kwenye misa ya shukrani kwa Mungu kwa kulitumikia Jeshi la polisi na hatimaye kuwa balozi wa Tanzania Nchini Zimbabwe Chanzo: Azam TV
  3. Mzalendo39

    Kamishna Camillus Wambura ateuliwa kuwa IGP Mpya. Sirro apewa Ubalozi Zimbabwe, Kingai ateuliwa kuwa DCI

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amefanya mabadiliko katika Jeshi la Polisi. Aliyekuwa IGP Simon Sirro ateulikuwa kuwa balozi nchi Zimbambwe. Wakati huo huo amefanya mabadiliko ya Makamanda wengine kama inavyoonesha hapa chini [emoji116][emoji116] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  4. JanguKamaJangu

    IGP Simon Sirro apangua Makamanda wa Polisi wa Mikoa

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Simon Sirro amefanya uhamisho na mabadiliko ya makamanda wa Polisi wa mikoa kwa lengo la kuboresha utendaji kazi wa jeshi hilo. Taarifa iliyotolewa leo Jumatano Aprili 6, 2022 na msemaji wa jeshi hilo, David Misime imeeleza kuwa aliyekuwa Kamanda wa...
  5. J

    Jeshi siyo chama cha Siasa hadi utamani cheo cha Bosi wako mkuu. Hata kwenye Siasa tuliyaona yaliyomkuta Zitto alipotamani cheo cha Mwenyekiti

    Tukiwa JKT kwa mujibu wa sheria tulifundishwa mambo mengi yakiwemo Uvumilivu, Nidhamu na Utii. Ukiwa jeshini unatakiwa utumikie nafasi uliyopo kwa weledi na uzalendo uliotukuka na kuwatii Viongozi wako pamoja na kuwaheshimu walio chini yako. Jeshini hutakiwi kutamani nafasi ya mtu bali juhudi...
  6. JanguKamaJangu

    RPC aliyetamani cheo cha IGP huenda kuna kitu kakiona kuwa hakipo sawa

    Wadau wametoa maoni yao juu ya kauli ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera (RPC), Wankyo Nyigesa kumuomba Rais Samia Suluhu Hassan kumteuwa kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania haliyakuwa (IGP) Simon Sirro bado anaihudumia nafasi hiyo. Baadhi wamesema siyo jambo baya kwa mtu kutamani cheo fulani...
  7. Erythrocyte

    Wadau wampinga vikali IGP kuhusu kutoshindwa kukamata Wahalifu , wamkumbusha ya Lissu na Wazungu wawili wa MO

    Kauli iliyotolewa na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania Simon Sirro , kwamba hakuna yeyote atakayefanya Uhalifu nchini Tanzania ambaye Jeshi lake litashindwa kumdaka , imezua mjadala mkubwa mitaani , huku wananchi wengi wakimpinga vibaya sana . Watu wengi wanahoji kama ni kweli kwamba Mh IGP...
  8. BabaMorgan

    IGP Sirro anastahili pongezi kwa kuiweka nchi chini ya usimamizi makini

    Tanzania tunapaswa kushukuru kwa kumpata IGP. Simon Sirro kwa kuweka kila kitu under control kuanzia zile siku za sintofahamu mpaka sasa tunafungua mwaka 2022 anastahili pongezi na kuombewa maisha marefu na kila Mtanzania mwenye nia njema hasa linapokuja suala la ulinzi na usalama nchini. Usiku...
  9. Mung Chris

    Jenister Mhagama, Simbachawene, IGP Simon Sirro tusaidieni tulipwe mafao na PSSSF

    Mhe Jenister Mhagama, Mhe Simba Chawene Waziri wa mambo ya ndani, IGP Simon Sirro tusaidieni tulipwe mafao yetu na PSSSF, Tumestaafu Mwaka jana mwezi wa 12 Hadi sasa Hatuja pata mafao yetu wala Pesheni hatulipwi. Jana tarehe 1/11/2021 saa 1 usiku tumeenda kukagua akaunti zetu ATM tukiwa wastaafu...
  10. M

    IGP Simon Sirro: Kama una mtoto wako au mume wako mharifu tuletee polisi tukusaidie

    #Manyara "......unamtoto wako mhalifu au mume wako mhalifu tuletee Polisi tukusaidie" IGP Sirro #UmojaWetuNdioNguvuYetu https://t.co/thNHUw97bH
  11. J

    Sheikh Ponda: Maimamu wamekutana kujadili tamko la IGP, tutakaa na Maaskofu tutoe tamko la pamoja

    Sheikh Issa Ponda amesema Maimamu wa Dar es salaam wamekutana kujadili tamko la IGP Sirro kwamba polisi watakagua mafundisho yanayofundishwa kwenye nyumba za ibada ikiwa ni Madrasa na Sunday svhools. Tutaomba kukutana na wenzetu maaskofu ili tutoke na tamko la pamoja, anaandika Ponda katika...
  12. B

    IGP Simon Sirro arejea toka Rwanda, ziara ya kikazi imegundua mengi kuhusu Tanzania

    10 September 2021 IGP SIRRO AFUNGUKA KUHUSU UGAIDI, ATAJA ALIYOYAKUTA RWANDA "KIKOSI MAALUM, VYUONI, MADRASA" Baada ya Inspector General of Police (IGP) Dan Munyuza wa Rwanda kukutana na IGP Simon Sirro wamefanya mapitio ya taarifa za kiintelejensia zilizokusanywa kuhusu makosa yanayovuka...
  13. chizcom

    DCI na IGP maelezo yenu kuhusu Hamza kupitia vyombo vya habari hayaeleweki

    Tuna kumbuka juzi wakati kwenye mazishi ya askari,IGP sirro alipoulizwa kuhusu Hamza. Yeye mwenyewe alijibu “hamza ni muhalifu” mpaka kushushi lawama wazazi na walio karibu na marehemu. DCI ==== Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Camillius Wambura amedai kuwa uchunguzi...
  14. comte

    IGP Sirro, ukubwa ni jalala - wasamehe wanaokuzodoa kwani hawajui unachojua kuhusu Hamza

    Afande Sirro anapingwa kila kona kwa kauli yake wakati wa kuuanga miili ya askari wake walio uliwa kibudu na Hamza. Wengi wao wanaelekea kumhurumia Hamza zaidi bila kujali kuwe yeye (Hamza) kauwa watu watatu- ambao walikuwa wapo kazini kutulinda sisi. Wanaompinga na kumzodoa Sirro wanasukumwa...
  15. chivala

    Sakata la Hamza, Mwalimu Makengeza atoa pendekezo

    Wakuu kuhusu sakata la muuwaji Hamza kwa uchungu mengi yanasemwa, basi Mwalimu Richard Mabala Makengeza naye kasema yake ili kuepuka uzao wakihalifu sawa na wa Hamza, kapendekeza kwenye hospitali za wazazi kuwepo na watabiri. zaidi Soma chini..
  16. S

    Nani anaestahili kuchukua nafasi ya IGP kumrithi Sirro endapo mabadiliko yakitokea?

    Iwapo Raisi Samia ataridhia kufanya mabadiliko katika Jeshi la Polisi kwa kumuondoa IGP Sirro, unadhani ni nani atafaa kukabidhiwa mikobo ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini? Inawezekana tunaona wengi wao ni tatizo, ila ukweli ni kwamba kuna mmoja,wawili au watatu miongoni mwao wanaweza kuwa na...
  17. My Son drink water

    IGP Sirro, huyo ni mtoto wa nani?

    IGP Sirro jana umetoa kauli nzito na ngumu mno kutolewa na kiongozi wa aina yako na mtu mwenye umri mkubwa kama wewe na mtu anayeheshimika kwa cheo chake kama wewe. Angalia sana ulimi wako jinsi unenavyo, muombe sana Mungu akupe hekima ili kabla ya kutamka neno lolote hekima ikutangulie. Jana...
  18. M

    Mbona kama Sirro anai-provoke familia ya Hamza?

    Nikifuatilia tukio la Hamza naona kama kamanda Sirro anatumia nguvu nyingi sana kuipakazia uovu familia ya Hamza. Nakumbuka Bwana Zombe miaka ile nae alivyotaka kutuaminisha kuwa ameua majambazi kumbe ishu ilikuwa ni uporaji wa dhahabu za Mahenge. Ni muafaka kwa Amir jeshi mkuu kuunda tume ya...
  19. msovero

    IGP Sirro: Wazazi msizae zae ovyo watoto kama 'Hamza'

    Ni kweli kitendo kilichofanywa na kijana Hamza( R.I.P) sio cha kiungwana na hakifai kuigwa katika jamii Lakini vile vile, afande Sirro amepotoka kwa kauli yake kwamba wazazi wasizae watoto kama 'Hamza' kwa sababu kuzaa ni mipango ya Mungu ambayo binadamu hawezi kujipangia au kuamua azae mtoto...
Back
Top Bottom