Ni mapema sana kumlaumu Rais Samia Suluhu Hassani

DustBin

JF-Expert Member
Jun 3, 2021
544
558
Mama bado yupo kwenye hatua ya awali ya kuweka mambo sawa, hivyo ni mapema kuanza mpa lawama kwa hili na lile.

Kwa namna ratiba ya Mhe. Madam President ilivyo tight isingewezekana mtu akiomba kukutana nae kwa tarehe anayooitaka ndio iwe. Muda wa kuwa Mhe. Raisi ameahidi kukaa na watu wa vyama shiriki, tufanye subira.

Subira yavuta heri.
 
Back
Top Bottom