uamsho

UAMSHO, popular shorthand for The Association for Islamic Mobilisation and Propagation, nicknamed The Awakening, is an Islamist separatist group legally registered in Zanzibar. Led by Farid Hadi Ahmed, Uamsho seeks independence for Zanzibar from Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    ACT Wazalendo wataka Zanzibar ipewe mamlaka kamili

    Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Masoud Othman amesema Chama chake cha ACT Wazalendo kinataka Muungano utakaoitambua Zanzibar yenye Mamlaka kamili Masoud amesema hayo kwenye mkutano wa Chama chake huko Nungwi Chanzo: ITV habari
  2. Dam55

    Kama nia ni kupambana na ugaidi, kwanini watuhumiwa wa Uamsho wako nje kisha anashikiliwa Mbowe?

    Jana Samia Suluhu ambaye nadhani ndie Rais wa Tanzania japo hakidhi vigezo vya kuwa Rais wa nchi yoyote ile alisema kuwa kwasasa dunia inakabiliwa na tatizo jipya la ugaidi. Yeye kwa maoni yake ugaidi ni tatizo jipya. Kama kweli ameweka nia ya kupambana na magaidi ni kwanini watuhumiwa wa...
  3. J

    Tunashukuru Mashekhe wa Uamsho kuachiwa huru. Je, Mashekhe 70+ waliotajwa na Tundu Lissu kuwa wanaozea magerezani wametoka? Kama bado watatoka lini?

    Nampongeza Tundu Lissu kwa kuwatetea Mashekhe wa Uamsho, Answar Sunna, waliotupwa katika mahabusu mbalimbali. Wanasiasa wengi walikwepa kuwazungumzia Mashekhe hao kwa kuogopa mkono wa dola, au kutengwa na jamii yenye mtizamo hasi dhidi ya viongozi hao wa kidini. Nimesikia kwamba Mashekhe wa...
  4. TENGEFU

    Ugaidi wa Mbowe na Masheikh wa Uamsho

    Masheikh wa uamsho waliofanya matendo yenye viashiria vyote vya ugaidi wanaachiwa huru lakini raia mwema ambaye kosa lake ni kutamka tamka “katiba Mpya” anakamatwa na kuuziwa kesi ya Masheikh wa Uamsho. Ugaidi wa Mbowe ni mkubwa kiasi gani ukilinganisha na Masheikh walioachiwa huru. Mtu...
  5. safuher

    Ni busara kwa masheikh wa uamsho kukaa kimya kuliko hivi wafanyavyo

    Sote tunakubali kwamba haikuwa vizuri nyie kukaa muda wote huo huku hamjui hatma ya kesi yenu. Sote tunajua kwamba mliishi kwa shida huko jela kama ambavyo waliishi wengine wasiokuwa nyinyi(shida zinazidian) Lakini naomba sana nyie mashekhe mshapata bahati mumetoka mnatakiwa mutulie kama...
  6. Analogia Malenga

    Sheikh Mselem: Uamsho ilikuwa ni suala la kuwaandaa watu na Katiba Mpya

    Sheikh Mselem Ali, mmoja kati ya Masheikh wa Uamsho ambao wametoka Gerezani amesema mihadhara yao ilikuwa na nia ya kuwaamsha watu kudai Katiba Mpya. Amesema kwa kipindi kile walifanya hivyo kwa kuwa kulikuwa na fursa ya maoni kuhusu Katiba Mpya. Walifanya hayo kwa mujibu wa sheria kwa kuwa...
  7. Jumbe Brown

    Sheikh Mselem bin Ally Wa UAMSHO: TUWE WAVUMILIVU ITOSHE TUMETOKA tukiambiwa hapana TUKUBALI kwani huwezi kushindana na mwenye nguvu.

    Hekima ni kitu adhimu DUNIANI. Busara ni kitu adhimu DUNIANI. Kuishi katika taifa bora Kama hili la TANZANIA ni jambo la kumshukuru sana MWENYEZI MUNGU 🙏. Nchi hii isiyoendeshwa KIDINI. Nchi hii isiyo na vita vya KIDINI,RANGI NA KIKABILA. Nchi hii yenye kutoa UHURU WA KUABUDU NA KUTENGAMANA...
  8. Replica

    Sheikh Mselem: Tukiambiwa Hapana, tusishindane na mwenye nguvu

    Sheikh Mselem: Usalama wa Nchi ni jambo linalopewa kipaumbele na sisi tunapenda usalama, furaha ikizidi inaweza ikazalisha kitu halafu mara nyingi kutokana na uzoefu kuna vitu watu wa kati huchomeka. Inawezekana tumefanya jambo halali, tumeliombea ruhusa serikalini, tukapewa ruhusa lakini kuna...
  9. U

    Suala la kuachiwa Mashehe wa Uamsho ni vema wanasiasa wakaliacha kando

    Leo tena jamii ya Watanzania wameshusha pumzi kwa mara nyingine baada ya kusikia Mashehe wa uamsho kuachiliwa huru. Kuna maoni mengi sana kwa watu. Mengi ya maoni hayo pamoja na kupongeza kitendo hicho wameenda mbali kwamba serikali iwalipe fidia. Hili limekuwa kubwa zaidi. Wanasiasa na...
  10. Replica

    Sheikh Farid: Tunashukuru tumeachiwa ni mwanzo mwema wa Rais Mwinyi na Samia

    Sheikh Farid: Tunamshukuru Mwenyezi Mungu, kiufupi tunashukuru sisi tumeachiwa lakini huu ni mwanzo mwema ya busara ya marais wetu, Rais wa Zanzibar na Rais wa Tanzania, Amiri Jeshi mkuu, mama Samia Suluhu. Wamefanya busara kubwa sana kuondoa hii hali ya mtanziko ya muda mrefu sana wa hii Kesi...
  11. I

    Masheikh wa Uamsho wafutiwa kesi, warejea uraiani

    Bismillahir Rahmaanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA SHEIKH MSELEM SHEIKH FARID WAKO NYUMBANI ZANZIBAR Masheikh zetu wawili wako majumbani kwao na familia. Tutaendelea kukupeni taarifa awamu kwa awamu. Lengo ni kutoa taarifa za kweli na zilizozingatia mambo yote muhimu. Aidha viongozi wa...
  12. B

    Viongozi wa Uamsho wapo huru?

    Kuna habari zinasambaa kuwa viongozi wawili wameachiwa na wapo huru. Habari zaidi zinasema mmoja wa viongozi hao ameoneka kwenye picha akiwa na Familia, mwenye taarifa zaidi plz. TAARIFA KAMILI YA KESI HII: - Breaking News: - Masheikh wa Uamsho wafutiwa kesi, wawili waachiwa huru huku wengine...
  13. Ileje

    Mufti Abubakari Zuberi ahimiza uharaka kesi ya mashehe wa Uamsho

    Dalili hizi zimeanza kuonekana baada ya Shehe Mkuu wa BAKWATA Mufti Zuberi kuzitaka mamlaka kuharakishwa kusikilizwa kwa shauri lao. Ni dhahiri shahiri serikali haiwezi kupuuza ombi lake na hivyo DPP ama atashauriwa kulifuta shauri hilo au ataanzisha mchakato wa kusikilizwa shauri hilo haraka...
  14. S

    Sio siri mashekhe wa uamsho wamekamatwa kwa tuhuma za kuupinga Muungano wa Tanzania

    Sio siri mashekhe wa uamsho wamekamatwa kwa tuhuma za kuuping Muungano wa Tanzania kuwa sio wa haki na unafaa kuangaliwa au kuvunjwa ni tuhuma zilizowapelekea kusota mahabusu au jela za Tanganyika aka Tanzania Bara(TZB). Kuna kundi liliibuka la waTanganyika na kuja juu sana ndani ya bunge na...
  15. I

    Kesi ya Masheikh; Mahakama ya Rufaa yatupilia mbali rufaa ya Jamhuri kutaka mashtaka 14 yaliyofutwa Mahakama Kuu kurudishwa

    Bismillahir Rahmanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA MASHEIKH WAPATA USHINDI MKUBWA MAHAKAMA YA RUFAA LEO Hukumu ya rufaa ya Jamhuri dhidi ya Masheikh imesomwa leo katika Mahakama ya Rufaa Tanzania. Majaji watatu wa Mahakama hiyo wametupilia mbali rufaa ya upande wa Jamhuri ya kutaka...
  16. BAK

    Tunasisitiza haki kutendeka kwa mashehe wa Kiislamu wa Uamsho kutoka Zanzibar

    TUNASISITIZA HAKI KUTENDEKA KWA MASHEHE WA KIISLAMU WA UAMSHO KUTOKA ZANZIBAR Tarehe 27 Februari 2021, nilikuwa miongoni mwa viongozi waliokuwa wamealikwa na ACT Wazalendo kuhudhuria Dua ya kumuombea Maalim Seif Sharif Hamad aliyekuwa Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar aliyefariki hivi...
  17. Erythrocyte

    BAVICHA kusherehekea sikukuu ya Eid El Fitri Gereza la Ukonga pamoja na Mashehe wa Uamsho

    Wakuu , kwanza napenda kuwapongeza Watukufu Waislam kwa kumaliza kwa mafanikio makubwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan , Mwenyezi Mungu awajaalie kila lililo jema . Hata hivyo ifahamike kwamba wakati sisi wengine tukisherehekea Idd majumbani mwetu pamoja na familia zetu , kule Ukonga wako Mashehe...
  18. I

    Kesi ya Masheikh yaitwa Mahakama Kuu

    Bismillahir Rahmanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA MASHEIKH WAITWA MAHAKAMA YA RUFAA TANZANIA Habari njema. Baada ya Jamhuri kukata rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu wa kuyafuta mashitaka 14, kati ya 25, na kufanya kesi dhidi ya Masheikh ibaki na mashitaka 11, Mahakama ya Rufani leo...
  19. I

    Jamhuri yakata rufaa dhidi ya Masheikh Uamusho

    Bismillahir Rahmaanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA LEO TAREHE 28.04.2021, SERIKALI IMEKATA RUFAA MAHAKAMA YA RUFAANI DHIDI YA MASHEIKH Tarehe 23.04.2021, Mahakama Kuu ilitoa hukumu ya ushindi kwa Masheikh wa kesi 14, Kati ya 25, zilizokuwa zinawakabili Masheikh. Baada ya uamuzi huo...
Back
Top Bottom