Rais Samia Suluhu Hassan; naomba umpe Ubunge Flaviana Matata Ubunge wa Kuteuliwa

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
40,751
2,000
Huwa naangalia mambo anayofanya huyu dada kusema kweli nadiriki kusema huyu dada anafaa kuwa Mbunge kuwakilisha vijana wa Tanzania. Michango yake kwa kupitia Flaviana Matata Foundation ni mingi na imekuwa manufaa kwa vijana, kuanzia taulo za kike kuja madaftari na kalamu za shule mpaka maboya ya kujikinga na ajali za majini!
Mama, chondechonde naomba umuwezesha huyu dada wa mfano!
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
117,933
2,000
😩😩😩😩😩😩

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
14,963
2,000
Huwa naangalia mambo anayofanya huyu dada kusema kweli nadiriki kusema huyu dada anafaa kuwa Mbunge kuwakilisha vijana wa Tanzania.
Kadri unavyompigia mtu chapuo (campaign) ndivyo unavyompunguzia nafasi ya uteuzi. Kama ni mtu sahihi mamlaka za uteuzi zitamuona na kumpa fursa ya kuwatumikia watanzania wenzake.
 
Pan AM

JF-Expert Member
Apr 30, 2018
271
500
Huwa naangalia mambo anayofanya huyu dada kusema kweli nadiriki kusema huyu dada anafaa kuwa Mbunge kuwakilisha vijana wa Tanzania. Michango yake kwa kupitia Flaviana Matata Foundation ni mingi na imekuwa manufaa kwa vijana, kuanzia taulo za kike kuja madaftari na kalamu za shule mpaka maboya ya kujikinga na ajali za majini!
Mama, chondechonde naomba umuwezesha huyu dada wa mfano!
Mimi namuomba mama ampe ubunge

Mimi pia naomba ampe ubunge Kajala Masanja,kwa kazi nzuri:cool:
 
Abrianna

JF-Expert Member
Mar 30, 2021
3,683
2,000
Huwa naangalia mambo anayofanya huyu dada kusema kweli nadiriki kusema huyu dada anafaa kuwa Mbunge kuwakilisha vijana wa Tanzania. Michango yake kwa kupitia Flaviana Matata Foundation ni mingi na imekuwa manufaa kwa vijana, kuanzia taulo za kike kuja madaftari na kalamu za shule mpaka maboya ya kujikinga na ajali za majini!
Mama, chondechonde naomba umuwezesha huyu dada wa mfano!
Nje ya siasa anaweza kuitumikia jamii vizuri zaidi kuliko ndani ya siasa, sio kila anaesaidia jamii anapaswa kupewa nafasi ya teuzi au ya kisiasa, kila mtu ana motives zake na ambitions
 
Abigail Nabal

JF-Expert Member
Sep 2, 2020
879
1,000
Kuuza lipstick na pedi watu wapewe ubunge!?!
Tuwe serious kidogo kuna tatizo la covid-19 bungeni bado halijatatuliwa nafikiri tumalize hilo kwanza.

Everyday is Saturday............................... :cool:
Hizi pedi zenyewe mtaji mamilioni kahongwa na kigwagwalah enzi zile akiwa anadokoa.mjini utaficha yote ila siku itajulikana
Mwana fa kapewa ubunge yupo yupo tu haeleweki hana hoja.ila akija sasa huku mtaani..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom