Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu wa Tatu wa Uganda Mhe. Rukia Isaya Nakadama mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Entebbe nchini humo tarehe 12 Mei, 2026. Rais Dkt. Samia amewasili nchini Uganda kwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na viongozi mbalimbali kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam kabla ya kuondoka nchini, kuelekea Uganda kuhudhuria Sherehe za Uapisho wa Rais wa nchi hiyo Mhe. Yoweri Kaguta...
Nilimkosakosa kwa picha ila nikaipata hapa.
Basi bana wakati mheshimiwa rais anamchapa mwenzake kuhusu cheo ambacho hata yeye alipewa na wananchi asilimia 97% basi bwana...
Waziri mkuu kutaka kuonyesha kaipenda engo hiyo akapeleka mikono kupiga makofi.
Gafla akajishtukia anapiga mwenyewe...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameongoza mapokezi ya Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Bi Rose Zakaria Ambrose aliyeteuliwa hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hasaan mapokezi yaliyofanyika mapema leo Februari 9, 2026 katika ofisi za DAWASA Mkoani Dar es...
"Umepokea kijiti kutoka kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Mheshimwa Kassim Majaliwa ambaye amefanya kazi nzuri kufanikisha tunayotamba nayo leo, tukitamba na vituo vya shule, vituo vya afya, Mahospitali ya Rufaa ya Kanda. Kila tunachotamba nacho leo yeye alikuwa nyuma yangu kuhakikisha mambo yanakwenda...
Ndugu zangu nawasalimu nikitokea kupiga Kura kwa Kitambulisho changu cha NIDA. Hapa nawaletea orodha ya viongozi na Watu Maarufu watakaouhudhuria Uapisho wa Rais (Mteule) hapo November 2025.
1. Dr William Ruto (PhD),
2. Yoweri Museveni,
3. Paul Kagame,
4. Paul Biya,
5. Felix Tshisekedi,
6...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali mara baada ya hafla ya uapisho wa Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah iliyofanyika katika Ikulu ya nchi hiyo Windhoek tarehe 21 Machi, 2025. Mhe. Rais Nandi-Ndaitwah...
baada
dkt. samia
dkt. samia suluhu hassan
hafla
jamhuri
jamhuri ya muungano
mara
mbalimbali
muungano
rais
rais mteule
rais wa jamhuri
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
suluhu
tanzania
uapisho
viongozi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya uapisho wa Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah iliyofanyika katika Ikulu ya nchi hiyo Windhoek tarehe 21 Machi, 2025. Mhe. Rais Nandi-Ndaitwah ni Rais wa kwanza Mwanamke...
1. Tupo hapa uwanja wa Ujamaa - Ikwiriri tukitizama bila chenga tukio kubwa duniani.
2. Asante Chama Chetu kwa kutuwekea TV kubwa hapa uwanjani bila malipo
Jana Pete Hegseth alipokuwa anahojiwa na kamati ya bunge, alisema alitambulika kama mwenye "msimamo mkali" hivyo kukataliwa nafasi hio ya kulinda sherehe ya uapisho wa Rais Biden.
Lakini cha kushangaza jeshi la Marekani linaluhusu ushoga wa kupindukia katika uongozi wake.
Wakuu,
Kumbe mambo yanafutuka huko Marekani kati ya Donald Trump na Netanyahau na wala hamsemi?
Imeripotiwa hivi karibuni kuwa Netanyahu amesitisha safari yake kwenda Washington kwa ajili ya kuhudhuria uapisho wa Donald Trump.
Imetajwa kuwa sababu ya uamuzi ni kutokana na retweet ya...
Mitandaoni kuna propaganda imekamata watu wengi sana kwamba Netanyahu amekataa mualiko 😂😂 , watu wengi sana wasiojua historia wamejaa kwenye mfumo.
Marekani wamejiwekea utaratibu wao wa kipekee, Hafla hizi ni za ndani kwa ajili ya kuonyesha mchakato wa amani wa kubadilishana madaraka nchini...
canada
hawana
hii
india
israel
kuhudhuria
kukataa
majirani
marekani
mpaka
n.k
nchi
netanyahu
rais
rais wa marekani
sababu
uapisho
ufaransa
uingereza
ujerumani
utamaduni
viongozi
Tarehe 20 Mwezi huu, huko Marekani kutakuwa na tukio la kuapishwa kwa rais.
kuna baadhi ya viongozi wamealikwa, na wengine hawajaalikwa; Swali, kama hujaalikwa, utaweza kuhudhuria?
Na katika kuwaalika, wametumia vigezo gani? Na je, kutoka bara la Afrika, ni wangapi wamealikwa?
Hakika zile sherehe zilifaana sana kuanzia maandalizi, muonekano, mpangilio na protoko isee hawa wenzetu wameweza na wanajua kweli. wenzetu si wakispot spot wanania kweli ya jambo na inaonekana wakiamua kitu lazima wafanye.
Kwetu tanzania tunaweza kufanya zaidi ya wao kama tu tutapangilia...
Hivi nyie watawala wa hii nchi ni mpaka watanzani nao siku moja wafanye maamuzi magumu kama vijana wa Kenya?
Like kundi lote kwenye uapisho lina ulazima gani na ni kwa gharama ya nani?
Watu wanapanda ndege kutoka Dodoma mpaka Zanzibar na kurudi bila sababu yoyote ya msingi eti kwenda kushiriki...
Leo, katika ukumbi wa JNICC uliopo Posta, Dar es Salaam, Tanzania, kuna tukio muhimu la kihistoria linalofanyika mara mbili kila mwaka. Tukio hili ni uapisho wa mawakili wapya 555 wa Tanzania bara, ambao ni hafla ya 70 ya aina yake. Uapisho huu utafanywa hivi karibuni na kuhudhuriwa na Jaji Mkuu...
Mimi ni mtanzania mlipa Kodi.
Ninaomba wenye kuweza kunielewesha jambo hili.
Je ndege iliyo tumika kumpeleka Rais Samia Africa ya kusini kwenda kwenye uapisho wa Ramaphosa aina ya Boeing 787 inabeba abiria wangapi?
Nikipata jibu nitauliza swali la pili?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.