ramadhan kingai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. IKUNGURU IJIRU CHUKU

    Mbona hawa Askari wanatamba nchi nzima?

    Hivi Kingai, Godluck, Mahita, D/C Msemwa, Afande Jumanne, Minja na Afande AZIZI, Hawa ni askari huru wa polisi wakuzunguka nchi nzima na kukamata? Maana hata wakuu wa Vituo wanakowapeleka hao walio kamatwa hawana sauti. Je, tuseme mikoa haijajitosheleza kuwa na askari wapelelezi? Mbona...
  2. mshale21

    Denis Urio, msiri wa Kingai, kwanini hajaletwa kizimbani wakati yeye ndiye source ya kesi ya Ugaidi?

    Wakuu, story ya kesi ya Ugaidi, kama jinsi ilivyoelekezwa na Bwana Kingai, chanzo chake ni msiri wa Kingai ambaye ni Denis Urio! Hii case ya ugaidi, kwa 100% inamuhusu sana huyu Denis Urio, ambapo Bwana Kingai alisema alipata taarifa hizo kutoka kwake! Cha kushangaza, mpaka sasa mashahidi wa...
  3. Kamanda Asiyechoka

    Wana-CHADEMA cross examinationa ya Mahita Jr na Ramadhan Kingai yasitupe kiburi,kesi bado mbichi sana. Ushahidi ni ishu pana

    Kiuhalisia ni kuwa ushahidi lazima uwe na relevant fact juu tuhuma husika. Kwamba shahidi wa kwanza na wa pili wameonyesha kuchemka kwa kutokuwa na relevent facts, hii bado ni mbichi sana. Tuache kupiga kelele za kishamba. Ushahidi ni suala jumuishi, leo ushahidi wa shahidi namba moja mnaweza...
  4. B

    Anayejua Wasifu wa Ramadhan Kingai (ACP) atusaidie

    RPC Kinondoni leo ni shahidi aliyesimama Mahakamani kutoa ushahidi kwenye kesi ya Mbowe na wenzake ya Ugaidi. Katika kufuatilia cross examination kiongozi huyu wa Jeshi la Polisi amejichanganya sana na hivyo kushindwa kusimama kwa nafasi ya afisa mkubwa kwenye Jeshi na mchunguzi. Yawezekana...
  5. Roving Journalist

    Sehemu ya II: Jamhuri vs JamiiForums kuhusu Oilcom na Uchakachuaji mafuta/Ukwepaji Kodi bandarini Dar

    Habari Wakuu, Kutoka Kisutu, kesi namba 456 ambayo inahusu kuzuia taarifa za upelelezi wa jeshi la Polisi inayowakabili wakurugenzi wa JamiiForums, Maxence Melo na Mike William inaendelea kuunguruma leo Mahakama ya Kisutu. Kesi hii iliahirishwa jana, hivyo leo inaendelea. Kujua kilichojiri...
  6. Roving Journalist

    Kesi namba 456: Jamhuri dhidi ya JamiiForums - Oilcom na Uchakachuaji/Ukwepaji kodi bandarini Dar

    Habari waungwana, Kutoka Kisutu, baada ya kuhairishwa mara kadhaa kutokana na ushahidi kutokamilika, kesi namba 456 ambayo inahusu kuzuia taarifa za upelelezi wa jeshi la Polisi inayowakabili wakurugenzi wa JamiiForums, Maxence Melo na Mike William imeanza kuunguruma Rasmi Mahakama ya Kisutu...
Back
Top Bottom