Taarifa za shahidi wa 7 wa Jamhuri ndugu Mahita kuondokewa na mtoto siku Moja baada ya kumaliza Ushahidi wake zina ukweli?

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
539
3,507
Zipo Taarifa kwamba Mahita Junior amefiwa na mtoto Arusha na watazika Morogoro kesho, je Taarifa hizi Zina ukweli? Nini chanzo?

If so,poleni familia
 
Inna lillah wainna ilaih rajiuun

Msiba ukiwa upo hauna siri kuubwa hivyo tuvute muda na tutapata uhakika
 
Tusihusishe matatizo ya familia,hasa vifo(natural deaths) na kesi hii. Family yote inalia hasa mama mtoto. Hata Mbowe alifiwa na kakake,mama mkwe nk, huwezi kusema ni laana ya sabaya/chacha wangwe...
Na tuta sali usiku na mchana. Mungu wa mbinguni atajibu kabla jua halija tua. Hawawezi kuwatesa Watanzania kwa interest zao za hovyo.
Hata kama ni chungu tuta pasua laana ziwa andame mashariki na magharibi, kusini na kaskazini. Mungu wa sasa ni kijana sana. Tuna muomba akatuonekanie kwenye hii kesi ya Mbowe, kila alie weka fitna na Mungu akamuonyeshe ukuu wake na hasira zake.
 
Kuna watu wao wanaamini kifo ni laana, wamesahau kabisa kua tumezaliwa ili tufe na haijalishi umri wala hali yako kiafya, maana unaweza Mtu kalazwa ICU lakini anapona wakati kuna Mtu mzima na afya yake anakufa!! Kila nafsi itaonja umauti!!
 
Na tuta sali usiku na mchana. Mungu wa mbinguni atajibu kabla jua hakija tua. Hawawezi kuwatesa Watanzania kwa interest zaon za hovyo.
Hata kama ni chungu tuta pasua laana ziwa andame mashariki na magharibi, kusini na kaskazini. Mungu wa sasa ni kijana sana. Tuna muomba akatuonekanie kwenye hii kesi ya Mbowe, kila alie weka fitna na Mungu akamuonyeshe ukuu wake na hasira zake.
Siku wwe ukifa au ukifiwa ndiyo utakua unajisemea kinafiki,"kifo ni mpango wa Mung"!!
 
Kwahiyo utakapofiwa na sehemu ya familia au wewe mwenyewe kufa tuelewe ni laana za kupingana kisiasa au kwa kuwa unashbikia upande ule?
Mjinga
 
Tusihusishe matatizo ya familia,hasa vifo(natural deaths) na kesi hii. Family yote inalia hasa mama mtoto. Hata Mbowe alifiwa na kakake,mama mkwe nk, huwezi kusema ni laana ya sabaya/chacha wangwe...

Ila huyu alitamka bila chembe ya utu kumtupa Lijenje
 
Tusihusishe matatizo ya familia,hasa vifo(natural deaths) na kesi hii. Family yote inalia hasa mama mtoto. Hata Mbowe alifiwa na kakake,mama mkwe nk, huwezi kusema ni laana ya sabaya/chacha wangwe...
Ndugu za Mbowe walifariki kutokana na manyanaso anayofanyiwa ndugu yao ambaye wanayajua maisha yake ya uadilifu.
Askofu Shoo: Mbowe sigaidi.
 
Na tuta sali usiku na mchana. Mungu wa mbinguni atajibu kabla jua halija tua. Hawawezi kuwatesa Watanzania kwa interest zao za hovyo.
Hata kama ni chungu tuta pasua laana ziwa andame mashariki na magharibi, kusini na kaskazini. Mungu wa sasa ni kijana sana. Tuna muomba akatuonekanie kwenye hii kesi ya Mbowe, kila alie weka fitna na Mungu akamuonyeshe ukuu wake na hasira zake.

Omba REHEMA juu ya taifa na wote wakaao juu ya nchi. Siku wanafiki na waaathirika watakapotambua kwama walishatekwa na wako chini ya magaidi SiSeMi, wala sitaki kuwaza nini kitatokea. Ukweli ndio huo!.
 
Back
Top Bottom