jumanne malangahe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bams

    Ni Vema Kingai, Jumanne, Goodluck na Mahita Wangekamatwa

    Kama uhai na utu wa mwanadamu una thamani Tanzania, ni vema hawa watu wanne, Kingai, Jumanne, Goodluck na Mahita, wangekamatwa kwaajili ya kuwafanyia uchunguzi wa kijanai kuhusiana na mazingira yanayowazunguka kuhusu kuwatesa watu, kuwateka, kuwapoteza na hata mauaji. Majina haya manne...
  2. M

    Wanaotuhumiwa kumteka na kumuua Ben Saanane wafikishwe Mahakamani mara moja, huyu askari Jumanne Malangahe na Makonda ndio wa kuanza nao

    Kama ametambuliwa na watuhumiwa wanaodai kuteswa na kisha kupigwa lakini wakamkumbuka vizuri kwa sura huyu Jumanne Malangahe kuwa ni mhusika wa kuteka watu na kwamba alimteka Ben Saanane na Hata pia Erick Kabendela, huu ndio wakati wa kumkamata na kumpeleka mahakamani. Mambo mengi yatakaa sawa...
  3. The Sheriff

    Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe leo Januari 11, 2022. SP Jumanne Malangahe amaliza kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa hadi Januari 13, 2022

    Salaam Wakuu, Leo tarehe 11/01/2022 kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe inaendelea. Kufahamu ilipoishia, soma hapa: Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Januari 10, 2022. Shahidi namba 8 aendelea kutoa ushahidi. Kesi imeahirishwa hadi kesho 11/01/2022 Ungana nami katika uzi huu...
  4. Roving Journalist

    Yaliyojiri Mahakama Kuu kesi ndogo ya Mbowe, Superitendent Jumanne Malangahe atoa Ushahidi

    Baada ya Mawakili wa Utetezi kuweka pingamizi kuhusu ushahidi wa Afande Jumanne, ikakubaliwa kuwepo kwa kesi ndogo ndani ya kesi kubwa ili kupata majibu halali ya kisheria kutokana utata uliopo. Kesi hiyo inaendelea leo Mahakamani hapo ===== UPDATES ===== Mwenyekiti Freeman Aikaeli Mbowe...
Back
Top Bottom