Ramadhani Kingai sasa ndio DCI wetu!
Kama alipitia somo la GPO(General Police Orders) kule Moshi CCP(Chuo Cha Polisi) , basi ni wazi kuwa hakufaulu lakini akaingia kazini hivyo hivyo.
Nasema hivi kutokana na track record yake , hasa katika kesi iliyomuumbua kitaaluma, kesi ya Ugaidi wa Mbowe...
Baada ya kusikia uteuzi wa Ramadhan Kingai kuwa DCI, Akichukua nafasi ya Wambura , ambaye amepandishwa na kuwa IGP, watu wengi wamehoji UADILIFU wa Mamlaka ya uteuzi.
Wananchi kuhoji uteuzi huu si jambo la kushangaza, hii ni kwa sababu DCI ni Mtumishi wa umma , uteuzi wake unaweza kushangiliwa...
Kwanini kama Taifa tunarudia makosa ya kuteua watu wenye makando kando kama Afande Ramadhani Kingai? Huyu mtu kwa sasa anafahamika na kila Raia kwa matendo yake yaliyojidhihirisha pale Mahakamani wakati wa kesi ya Mbowe
Je, tunasubiri afanye ukatili na unyama wa kiasi gani kwenye hili Taifa...
Habari za muda huu ndugu zangu.
Kwa kweli Kwa Hali ilivyo, inabidi jambo kubwa sana lifanyike katika nchi yetu kubadili mifumo yetu ya ulinzi na usalama wa raia.
Asubuhi ya Leo, nasikiliza Power Breakfast ya Clouds FM, kuna habari ya kijana ISSA, ambaye amefanyiwa ukatili uliopitiliza na...
Kama uhai na utu wa mwanadamu una thamani Tanzania, ni vema hawa watu wanne, Kingai, Jumanne, Goodluck na Mahita, wangekamatwa kwaajili ya kuwafanyia uchunguzi wa kijanai kuhusiana na mazingira yanayowazunguka kuhusu kuwatesa watu, kuwateka, kuwapoteza na hata mauaji.
Majina haya manne...
Huu ni ushauri wangu mfupi tu kwako IGP, huyu bwana atakuharibia kazi yako. Kama kweli inavyotajwa na Mashahidi alichukua shilingi 260,000 za mtuhumiwa Adamoo, ingawa huu ni ushahidi lakini tayari imeshamtia doa na hataaminika popote. Arudishe pesa za watu, hata akizikana lakini tayari...
NOTE:
å Nadhani hii ndiyo imefanya jamhuri kuanzisha fujo leo mahakamani ili tu kuzuia usikilizwaji wa kesi inayomkabili m/kiti wa CHADEMA (taifa) ndugu Freeman Mbowe ushindwe kuendelea...
å Ni jambo jema kuwa haya mambo yanafanyika mchana kweupe kila mtu akiona. Na uzuri ni kuwa hapa ni...
Mkurugenzi wa uenezi na mambo ya nje wa Chadema, John Mrema amesema baada ya Mbowe kufikishwa Dar kutokea Mwanza, Kamanda wa Polisi wa Kinondoni, ACP Ramadhani Kingai alimwambia:
"This time huchomoki, tunakupa kesi ya ugaidi"
Mrema ameyasema hayo katika bunge la wananchi linalofanyika kupitia...
Habari Wakuu,
Kutoka Kisutu, kesi namba 456 ambayo inahusu kuzuia taarifa za upelelezi wa jeshi la Polisi inayowakabili wakurugenzi wa JamiiForums, Maxence Melo na Mike William inaendelea kuunguruma leo Mahakama ya Kisutu. Kesi hii iliahirishwa jana, hivyo leo inaendelea.
Kujua kilichojiri...
Habari waungwana,
Kutoka Kisutu, baada ya kuhairishwa mara kadhaa kutokana na ushahidi kutokamilika, kesi namba 456 ambayo inahusu kuzuia taarifa za upelelezi wa jeshi la Polisi inayowakabili wakurugenzi wa JamiiForums, Maxence Melo na Mike William imeanza kuunguruma Rasmi Mahakama ya Kisutu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.