Jamani, mimi sina la kuongeza hapa. Normal physiology na human taste inakubaliana na philosophy ya binadamu kwamba chakula fresh from the kitchen lazima kiwe kitamu kuliko kiporo. Ila linapokuja suala la kiporo cha wali na maharagwe tena kilichopikwa kwa nazi original ni kitamu kuliko chakula...
Harusi ilifanyika 27/12/2023 nilihudhuria pia tukanywa tukafurah leo napewa taarifa wameachana baada ya mwamba kugundua demu anapasha kipolo na mzaz mwenzake(mwanaume aliyezaa nae), demu kaomba msamaha vikao vimekalika lakini our own legend kasema no it's over!,ndoa za sikuhizi💔🙌
Klabu ya @simbasctanzania imethibitisha kuwa siku ya tarehe 28/2/2024 watacheza mchezo wao wa ASFC dhidi ya TRA kwenye Uwanja wa Azam Complex.
Mchezo huo utakuwa pia ni sehemu ya maandalizi ya mchezo wao wa mwisho wa CAFCL dhidi ya Jwaneng Galaxy.
Inatokea kuna umepata mwenzako penzi ni moto ila ghafla mkapotezana bila mawasiliano hata kwa miaka kumi
Ghafla mnakutana upya hasa ukiwa kwenye ndoa ama mwenzako akiwa kwenye ndoa
Je uliwahi kutana na aina hii kitu ?
Kuna wimbo Lady Jaydee aliimba na Chidy Benz unaitwa Uko juu, kwenye audio ya huo wimbo verse ya Chidy ipo ila video yake Lady Jaydee alifuta verse ya Chidy .
Inavyosemekana kwa habari za chini ya kapeti ni kwamba Chidy alikuwa anamtaka kimapenzi Lady Jaydee akaamua kumtongoza Lady Jaydee ,Lady...
Siyo tabia nzuri kubusu watoto wa watu hasa midomoni pale tunapowatembelea. Midomo ya watu wazima hasa wasio wazazi wa mtoto husika haiwezi kuwa salama, pia ni ngumu kujua mhusika kapita wapi kabla ya hapo. Huu siyo upendo wala usasa. Tunapaswa kuikemea tabia hii.
Chanzo: AfyaInfo
Nimeshuhudia single mothers wengi wakiolewa na ndoa zao zinadumu lakini nashangaa wanaume wengi huwaponda kuwa huwa wanapasha kiporo na wazazi wenza.
Binafsi nimelifanyia uchunguzi nikaona halina ukweli wowote.
Mwenye ushahidi juu ya hili alete
Habari ya leo wapenda kula mapocho pocho wenzangu.
Hivi kati ya kiporo cha wali na maharage/ wali ndondo na kiporo cha wali kisamvu (cha nazi au karanga) kipi kitamu?
Yaani nimeona niulize wala viporo wenzangu kwa sababu hapa namalizia kunywa chai na kiporo cha kisamvu yaani nimekaa chini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.