fountain gate

Westfield Fountain Gate is a super-regional shopping centre located in Narre Warren in the south-eastern suburbs of Melbourne, Australia. It is the second largest shopping centre in Australia by floor area. However, it is the largest shopping centre in Australia with all 3 discount department stores, Big W, Target and Kmart.

View More On Wikipedia.org
  1. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Yanga, Azam, Singida Black Stars na Fountain Gate Academy kuhamia ligi ya Zanzibar Muda wowote kuanzia sasa

    Wataitisha press ya pamoja, baada ya hapo Azam Media limited italalamika na kusitisha matangazo ya ligi kuu Tanzania bara kwa kigezo cha kuhofia hasara baada ya baadhi ya timukujitoa. Samia anaharibu nchi, kaharibu na mpira.
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania FT: Fountain Gate 0-2 Yanga SC | Juni 18 2026 | Ligi Kuu NBC| Sheikh Amri Abeid

    Klabu ya Yanga imeendelea kuonyesha ubora wake baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Foutanegate katika mchezo wa ligi uliochezwa leo. Mabao ya Yanga yamefungwa na Stephane Aziz Ki Pacome na Depu, yaliyowahakikishia pointi tatu muhimu. Baada ya ushindi huo, Yanga imerejea kileleni...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kapombe, Kagoma kuikosa Fountain Gate Aprili 15, 2026 dimba la Sheikh Amri Abeid, Arusha

    Wachezaji wawili wa Klabu ya Simba, Yusuph Kagoma na Shomari Kapombe, wataikosa mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Fountain Gate FC kutokana na kutumikia adhabu ya kadi za njano. Mchezo huo unatarajiwa kupigwa kesho Aprili 15, 2026 katika dimba la Sheikh Amri Abeid, Arusha, ambapo...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa PigaBet na Fountain Gate FC Watoa Mwanga Mpya kwa Soka la Ndani

    Dar es Salaam — Kampuni ya michezo ya kubashiri ya PigaBet imetangaza rasmi kuingia mkataba wa udhamini na klabu ya Fountain Gate FC wenye thamani ya Shilingi bilioni 1, hatua inayotarajiwa kuongeza nguvu katika maendeleo ya soka nchini Tanzania. Ushirikiano huo umetangazwa jijini Dar es...
  5. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Nimepata hasara kubwa sana kutokana na mechi ya Simba dhidi ya Fountain Gate

    Niliweka mkeka mkubwa sana kuwa Simba itshinda kwa magoli zaidi ya matano hasa kwa vile nilijuwa usajiri wa fountain gate una walakini Dah nimepoteza kila kitu naomba michango yenu kunisaidia angalu kupata ugali wa kesho
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Fountain Gate tuna hali mbaya kiuchumi, Serikali itusaidie tupate stahiki zetu

    Mimi ni mdau wa elimu, naomba ujumbe huu ufike kwenye mamlaka za Juu Serikalini, lengo sio kuchafua taasisi yetu bali ni kutusaidia sisi Watanzania ambao tuna hali ngumu na hatuna mtu wa kutusaidia. Siwezi kuharibu taasisi yangu wakati najua ndio sehemu ambayo Napata ugali wangu na familia...
  7. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Tff mnapuuzia bila kufanya uchunguzi kocha matano wa fountain gate amewafungulia njia yanga wanapanga matokeo....

    Hatua zichukuliwe za haraka kuliokoa soka letu..jana kocha wa fountain gate kaweka kila kitu wazi kuhusu kipa wao vipi kuhusu marefa nao wenye kufumbia macho haya...ligi inapoteza heshima leo kazungumza hapa kesho anakwenda kuhojiwa bbc bado kocha atarudia kauli ile ile bila kupepesa kuhusu...
  8. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kocha Fountain Gate: Kipa wetu kauza mechi

    Kocha huyo amesema golikipa ndiyo amewatoa mchezoni mapema maana magoli aliyofungwa ni ya kupeana tu.
  9. ngara23

    JamiiForums Tanzania Wacha nimtetee kidogo goal keeper wa Fountain Gate John Nobo

    Kuna wachambuzi na baadhi ya wajinga ikiwa ni pamoja na coach wake Matano aliyemtupia lawama baada ya kufungwa goal 2 Goal keeper Nobo amefanya saves 4 kubwa na kuinusuru timu yake ila analaumiwa Kwa makosa ambayo magoli kipa hufanya Zile goli ni kupongeza tu washambuliaji wa Yanga Mzize na...
  10. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania FT: Fountain Gates FC 0-4 Young Africans SC | NBC Premier league | Kwaraa Stadium | 21-04-2025

    🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Fountain Gate FC🆚Young Africans SC 📆 21.04.2025 🏟 Tanzanite Kwaraa 🕖 10:00 Jioni #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko KIKOSI CHA FGFC kinachoanza. Kikosi cha Yanga Kinachoanza. Updates Kipindi cha Kwanza. 00' Mpira umeanza Yanga ndio wameanza mpira uko...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Huenda bahasha ndizo zinawapa Simba ushindi na siyo kocha, mechi ya Simba na Fountain Gate imenipa wasi wasi juu ya hilo

    Hii ni aibu kwa marefarii wa nchi hii unaruhusu goli la offside dhidi ya fountain gate unaita Mpira kati,,najiuliza endapo fountain gate ndio wangefunga goli la namna Ile je refa angeita kati? Lakini waswahili usema ukiua kwa upanga na wewe utakufa kwa upanga yule yule aliyekuwa ameotea akatoa...
  12. Powder

    JamiiForums Tanzania Naona Kocha wa Fountain Gate kaamua kuwatafutia Simba Hili.

    Kwa kuwaambia Wachezaji wake kipindi Cha pili wafunguke mwanzo mwisho.
  13. Tembosa

    JamiiForums Tanzania Full Time: Fountain Gates FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kwaraa Stadium, Babati | 06-02-2025

    SIKU YA MECHI KALI. VIKOSI VINAVYOANZA LEO. p UPDATES..... 4:15pm Kandanda imeanza tayari, Game inapigwa zazuri kabisa. DK 2 Simba wanafanya move nzuri hapa, inababatizwa na Mchezaji wa FG inakuwa warusha. Unarushwa hauleti madhara yoyote 0-0 DK 4 Mpira unaendelea vizuri kabisa hapa. Simba...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Fountain Gate: Mimi ni shabiki wa Simba, asema mechi ya leo ni kuonana kwa Simba na Simba

    Kuelekea mchezo kati ya Fountain Gate Fc dhidi ya Simba Sc, Kocha mkuu wa klabu ya Fontain Gate Fc, Robert Matano ameweka wazi kuwa yeye kwao Kenya anaitwa Simba na anakwenda kukutana na mnyama mwenzie. "Mimi ni mpenzi wa Simba toka miaka mingi toka nacheza wakati huo marafiki zangu wanacheza...
  15. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Fountain gate dhidi ya simba mechi nzuri yenye kuvutia upinzani wa soka la bongo hii haina uhusianao na singida?

    JIoni ya leo tunashuhudia mechi halisi mpira halisi na matokeo halisi yaani fair play yasiyo na chembe ya mashaka fountain gate dhidi ya simba ni mechi ya kukamiwa simba ni aina ya mechi simba anazo zipenda huwapa mazoezi na ukomavu wachezaji wao si mechi za bahasha si ajabu kukuta kibu d au...
  16. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Machache yaliyoonekana Yanga ikiibuka na ushindi mnono dhidi ya Fountain Gate

    1. Yanga imecheza vizuri mno, hii ni salamu tosha kuelekea mechi yao na Tp mazembe. 2. Nadhani fountain gate ndio timu yenye safu mbovu kabisa ya ulinzi, wamechagua kupishana na Yanga wakaadhibiwa. 3. Pacome zouzou amestahili tuzo ya mchezaji bora wa mchezo, ule uwezo wake uliopotea mechi...
  17. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Refa apuyanga, awapa tuta jepesi mno Prison wakicheza dhidi ya Fountain Gate leo

    Video clip iko insta kwenye ukurasa wa AzamTv Refarii katoa penati rahisi sana na ambayo hata watoto wa Umiseta hawawezi kupewa. Itafute hiyo clip, wakati Tanzania Prisons wakipewa penati iliyopelekea kupata goli la kusawazisha. Na ikapelekea Tanzania Prisons kupata ushindi wake wa kwanza...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Suala la Kagoma Fountain Gate mlishajichanganya pakubwa bora mkae kimya Yanga ashughulike na mhalifu wake

    Nimemsikiliza msemaji wa fountain gate vizuri akisema yanga walikiuka makubaliano kwa kuchelewesha fedha walizokubaliana juu ya mauzo ya kagoma ivyo mkataba ukawa umevunjika na wakawauzia Simba mchezaji! Hiki ni kichekesho kingine kwakuwa mkataba wa mchezaji aliousaini na klabu husika auwezi...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Mambo 15 niliyoyaona Simba ikiiangamiza Fountain Gate leo

    1. Kipa wa Simba ana utulivu sana ni moja ya makipa bora kabisa ambao Simba msimu huu tunajivunia 2.Abdulrazak Hamza nimewaona akina Costa, Deo Njohole, Nico Bambaga wakati fulani akicheza namba nne, hata marehemu Method Mogella, Juma Limonga, Fikiri Magoso, Godwin Aswile, Mustafa Hoza, Juma...
  20. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Simba kuweni makini na hiyo timu yenu, wekeni akiba ya maneno, ushindi dhidi ya Tabora, Singida fountain gate usiwafanye mkaona mko vizuri

    Nimeona mashabiki na wanachama wa Simba wakifurahia kupitia kiasi ushindi wao wa mechi 2 dhidi ya wagonjwa TABORA united na singida FOUNTAIN GATE lakini Kuna wengine wanaoujua mpira Wala awakufurahi Bali wanasema Simba bado aijaanza ligi kulingana na aina ya timu walizokutana nazo kuwa ni dhaifu...
Back
Top Bottom