FT: Yanga SC 1-0 Geita Gold FC | NBC Premier League | Azam Complex | 14.03.2024

Vincenzo Jr

JF-Expert Member
Sep 23, 2020
12,138
25,394
πŸ”°ππ„π—π“ π”ππŸ”°

πŸ† #NBCPremierLeague
⚽️ Young Africans SC πŸ†š Geita Gold FC
πŸ“† 14.03.2024
🏟 Azam Complex
πŸ•– 02:15 Usiku
1710412271840.jpg


Kikosi kinachoanza dhidi ya Geita Gold FC

#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
1710436155344.jpg



Mpira umeanza

Dakika ya 5
Aziz k anachezewa madhambi nje ya 18

Dakika ya 7
Yanga SC wanapata kona

Dakika ya 15
Yanga SC 0-0 Geita Gold FC

Dakika ya 20
Geita Gold FC wanakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 23
Yanga SC wanapata Kona

Dakika ya 28
GOAAAAAL Master Ki

Dakika ya 35
Yanga SC 1-0 Geita Gold FC

Dakika ya 42
Aziz k anakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 45+2
Half time
20240314_212303.jpg

Kipindi cha pili kimeanza
Dakika ya 46
Yanga SC 1-0 Geita Gold FC

Dakika ya 52
Okrah anakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 56
Master Ki anakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 60
Guede anafanyiwa madhambi nje kidogo ya boxi Aziz k anaenda kupiga Freekick amekosa kipa kadaka

Dakika ya 65
Yanga SC 1-0 Geita Gold FC

Dakika ya 70
Yanga SC wanapata kona

Dakika ya 80 mabadiliko anatoka guede anaingia mzize

Dakika ya 86
Mzize anakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 90+3
Full time
20240314_220912.jpg
 
Naam Leo wananchi kama kawa tena tunaingia dimbani kutoa Raha burudani na soka Safi Kwa kila mpenda soka...

Kwa wale wasiopenda timu Bora Kwa sasa Afrika mjiandae Tu kulamba ndimu maana leo tumedhamiria kucheza soka la kiwango cha juu kama Ile Brazil ya kina Garrincha... Yaani ni pasi Milioni 47 itakua inapigwa moja moja Tu ta! Ta! Ta! ...

Sisi Yanga tunapenda kusikia milio kutoka Kwa Kolozidad hasa ule mlio wa bahasha na kubebwa tunaupenda Sana maana tunaendelea kukanyaga kwenye kidonda ili mlie vizuri .....

Uzuri Geita Gold ni kibonde mtiifu Kwa Yanga maana hajawahi kupata hata Sare kwetu game zote tano tulizocheza nao tumewakanda na kuwapigia fantasy football leo professor Michenga Pacome atakiwepo kutoa raha na kero kwa wenye vijuso...

Yanga 5 Geita Gold 0....
Leo jueni tu itakua 5G ya Tisa (included na Ile 1-5 ya November 5)
 
Back
Top Bottom