Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Aug 10, 2012
47,864
41,216
Patashika ya ligi kuu kuendelea leo, kwa kukutanisha wekundu wa Msimbazi dhidi ya wazee wa Mapigo na Mwendo baada ya futari. Muda ni saa mbili na robo usiku, Azam complex

FB_IMG_1710505822539.jpg

View attachment 2935409
FB_IMG_1710505782750.jpg

Kikosi
FB_IMG_1710520171111.jpg
Game ishaanza dakika ya 18 bado bila bila

Yellow card Michael Masinda kamfanyia Saido faulo, game inaendelea


Dakika ya 28 bado milango migumu ila hawa maafande wanatumia nguvu nyingi sana


Added time 3 minutes


Dk 56, Chama anatupatia goal

Jingine toka kwa Triple C


Full time Simba sc 2 Mashujaa FC 0
FB_IMG_1710530596971.jpg
 
Back
Top Bottom