complex

  1. ukwaju_wa_ kitambo

    Prof. Jay ft Black Rhino, Complex, AY and Adili Chapakazi - Nawakilisha

    PROFESSOR JAY FT. ADILI CHAPA KAZI , COMPLEX, AY & BLACK RHINO - NAWAKILISHA ( STUDIO BONGO RECORD) Chorus ( Professor Jay) Nawakilisha...!!! Ofisini na masela ndani ya gheto Nawakilisha ...!!! Kwa ma ding vijana mpaka watoto Nawakilisha...!!! Kenya , Uganda 🇺🇬 na Tanzania 🇹🇿 Huu ni hosia...
  2. Waufukweni

    Songoro: Hatujapokea barua ya Simba SC kutaka kuondoka KMC Complex

    Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mhe. Songoro Mnyonge amezungumza na kituo cha Redio, E Fm kufuatia taarifa za Simba kutaka kuhama katika Uwanja wa KMC Complex. Soma, Pia: Klabu ya Simba SC ipo mbioni kuhamishia mechi zake uwanja wa AZAM complex- Chamazi mara baada ya Yanga kuhamia KMC complex
  3. kiwatengu

    Full Time: Yanga SC 5-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 29 Disemba, 2024

    🔰 𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 Day🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans SC🆚Fountain Gate 📆 29.12.2024 🏟 KMC Complex 🕖 10:00 Jioni #Daimambelenyumamwiko# Gusa achia, twende kwao, tukawafunge nyingi. KIKOSI CHETU CHA LEO Updates Mechi imeanza DK 1 Mpira unaanza kwa kasi. Yanga wanaumiliki mpira, 0-0 DK 12 Game...
  4. Meja Jenerali Isamuhyo

    FT: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania | NBC PL | KMC Complex | 24.12.2024

    Simba Sports wanashuka dimbani kwenye soku ya mkesha wa krisimasi kumenyana na maafande wa JKT katika dimba la KMC Je, Dozi ya goli 5 alizotoa Simba kwa Kagera ataendeleza kwa maafande? Mechi ni Saa 10:15 jioni kupitia Azam Sports 1HD Usikose uhondo huo
  5. kiwatengu

    FT: NBC Premier League | Yanga SC 3 - 2 Mashujaa FC | KMC Complex | 19.12.2024

    🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans SC🆚Mashujaa FC 📆 19.12.2024 🏟 KMC Complex 🕖 10:00 Jioni #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA LEO.
  6. Waufukweni

    Mechi ya kiporo ya Simba dhidi ya JKT Tanzania kuchezwa Disemba 24, KMC Complex

    Mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya JKT Tanzania ambao awali ulihairishwa baada ya mpinzani wetu kupata ajali sasa umepangwa kuchezwa Disemba 24, 2024 saa 10:00 jioni katika Uwanja wa KMC Complex. Mchezo huu awali haukuchezwa kutokana na JKT Tanzania kupata ajali ya gari na baadhi ya wachezaji wao...
  7. mdukuzi

    Azam Complex watoa clip ya aliyeziba camera ,mwamba huyu hapa.

    Mwamba huyu hapa
  8. Just Pray

    Uwanja wa KMC Complex kufungwa camera, taa na AC kabla ya Januari 2025

    Mwenyekiti wa Bodi KMC na Meya wa Kinondoni, Songoro Khamis Mnyonge, amesema uwanja wao wa KMC Complex, umekamilika kwa asilimia 95 na matamanio yao kwa sasa ni kuufunga Camera, Taa pamoja na AC kabla ya Januari, 2025. Hivi karibuni timu ya Yanga ilitangaza kuhamia uwanja wa KMC complex kutokea...
  9. ukwaju_wa_ kitambo

    Saimoni sayi " complex - wakilisha by professor jay .. ( verse)

    PROFESOR JAY - NAWAKILISHA.. Na bado mkwanja unatesa viwanja/ ni vichwa vya nyanja/ maumivu kote na ganja / tawala mic kijanja/ sasa mc vizuri muda hu kudanja/ na tupa mawe fikra miba vichaka vyote nachanja/ tafadhali kaa mbali .. kaa mbali ni hatari/ hapa utalamba tope maktaba kwisha labda...
  10. Nehemia Kilave

    Kuna anayejua sababu za Yanga kahama uwanja wa Azam Complex?

    Ki ubora tumeona na tunaujua huu uwanja ukitumiwa hata kwa mechi za CAF Champions league na CAF confederation cup. Lakini vilabu vingi vya NBC premier vimeutumia, ni nini hasa sababu ya timu ya Yanga kuuhama katikati ya msimu? Kwenye hii barua hakuna sababu yoyote imewekwa.
  11. Scars

    Yanga yahamishia makazi katika Uwanja wa KMC Complex

    Hiyo ni baada ya vipigo viwili mfululizo. Hapa sasa ndio kuna kitu ambacho uongozi wa Yanga unatuacha njia panda sisi wadau wa soka. Kama management iliona tatizo la wao kupoteza mechi mbili lilisababishwa na uwanja, kwanini wamuwekee vikao Gamondi usiku wa manane? Tushike lipi sasa? Tatizo...
  12. Vincenzo Jr

    FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

    ⚽️ Young Africans SC🆚Azam FC 📆 02.11.2024 🏟 Azam Complex 🕖 12:00 Jioni Kikosi kinachoanza dhidi ya Azam FC Mpira umeanza Dakika ya 3 Yanga SC wanashambulia kwa kasi Dakika ya 5 Dube anakosa nafasi ya wazi Dakika ya 14 Max anafanyiwa madhambi Dakika ya 17 Aziz k anakosa nafasi ya wazi...
  13. Waufukweni

    Gamondi hana furaha na Uwanja wa Azam Chamanzi Complex

    Kocha wa klabu ya Yanga Miguel Gamondi leo katika mkutano na Waandishi wa Habari ametamka wazi kwa mara nyingine kuwa hana furaha na Uwanja wa Azam Chamanzi Complex bali Uwanja pekee anaofurahia ni Benjamini Mkapa. Ikumbukwe kesho ni mchezo kati ya Yanga dhidi ya Azam katika Uwanja wa Chamanzi...
  14. kiwatengu

    FT: Yanga SC 1-0 KMC FC | NBC Premier League | Azam Complex | September 29, 2024

    Match Day 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans SC🆚KMC FC 📆 29.09.2024 ⏰ 2100hrs 🏟 Azam Complex #Daimambelenyumamwiko# KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA LEO. KIKOSI CHA KMC UPDATES.... 04' Yanga wanapata Goli kupitia kwa Max Mpia Nzengeli 1-0 19' Yanga wanapata kona ya kwanza. Inaanzwa kona...
  15. ukwaju_wa_ kitambo

    Mchanga wa macho - AY ft. King Crazy GK,Banana Zoro & Complex

    AY FT BANANA ZORO & COMPLEX - MCHANGA WA MACHO .. CHORUS..( BANANA ZORO) BANANA ZORO.. "nilijaribu kukupenda na mema mengi kwako nilitenda/ moyoni mwako sikuwapo kumbe ulikuwa mchanga wa macho/ Kwanini uliamua kulisariti langu penzi / sikujua ,ningejua nisingelipoteza wangu muda... AY...
  16. ukwaju_wa_ kitambo

    Marehemu "Saimoni Sayi" A K.A Complex

    MAREHEMU COMPLEX _________________ "Navuta bafu la Vibe natoa moshi wa ryhems/ kama data, data kidogo nakuja na zangu ryhems/ sitaki utani walidhani Tupo ngizani/ wakafika uwanja na kupayuka mengi Hewani/ wakavuta dhamila taswira ikapoteza Dira / Yaani!! Ninapo waza nazidi pata hasira/...
  17. ukwaju_wa_ kitambo

    Marehemu "Saimoni sayi " A.K.A complex

    MAREHEMU COMPLEX _________________ "Navuta bafu la Vibe natoa moshi wa ryhems/ kama data, data kidogo nakuja na zangu ryhems/ sitaki utani walidhani Tupo ngizani/ wakafika uwanja na kupayuka mengi Hewani/ wakavuta dhamila taswira ikapoteza Dira / Yaani!! Ninapo waza nazidi pata hasira/...
  18. DELETED ACCOUNT

    Kasoro kubwa nilizoziona katika ujenzi wa uwanja wa KMC Complex

    Pamoja na wazo jema la ujenzi wa uwanja wa KMC Complex, naomba nijikite kutoa kasoro kadhaa nilizoziona katika mradi huu. Kasoro zangu zitajikita katika maeneo yafuatayo: 1. Design 2. Gharama za matumizi 3. Ufinyu wa nafasi SEHEMU YA 1: DESIGN Ukiangalia design ya ujenzi wa uwanja huo umekaa...
  19. Black Butterfly

    Imetimia miaka 19 tangu Wasanii wa Bongo Fleva, Complex na Vivian walipofariki dunia mwaka 2005, unawakumbuka kwa ngoma gani?

    Complex na Vivian walikuwa wasanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania. Kifo chao kilikuwa na athari kubwa katika tasnia ya muziki nchini. Walifariki kwa ajali ya gari tarehe 21 Agosti 2005, wakati wakiwa safarini kuelekea kwenye shoo. Ajali hiyo ilileta huzuni kubwa kwa mashabiki...
  20. kiwatengu

    Full Time: CAFCL: Vital'O 0-4 Yanga | Preliminary Stage 1st Leg | Azam Complex | 17.08.2024

    Match Day Vital'O FC vs Yanga SC KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA LEO. #Daimambelenyumamwiko# Updates... Mpira umeanza Timu bado zinasomana. Dk 05 Dubeeeeeeeee anaipàtia Yanga goal lakuongoza hapa . Goal la kwanza kwa Yanga. 0-1 Dk 08' Vital'O wanajaribu kufika kwenye lango la Yanga, beki...
Back
Top Bottom