News Alert: FT: Simba 1-0 Azam FC | Muungano Cup | Final | New Amaan Complex | 27.04.2024

uran

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
8,289
11,777
20240427_113421.jpg

20240427_003226.jpg

Naitakia Simba Ushindi.

nguvumoja .

KIKOSI CHA AZAM KITAKACHOANZA
20240427_194236.jpg
KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA
20240427_194108.jpg

HT
20240427_211255.jpg

FT
20240427_224516.jpg
 
Simba wamefanya kamari ya kijinga sana, chukua kombe ila bado haitapoza hasira za mashabiki kivile maana wengi wanaona ni kombe lisilokua na tija, ila atleast itawapa ahueni, ila sasa wakifungwa naona damage itakua kubwa sana kwa mashabiki kushinda hata wakichukua, unnecessary gamble imo!!
 
Simba hamna timu pale, Try Again awapishe wenye uwezo waongoze timu, kubadilisha makocha kila siku hakuna maana tena.
 
Back
Top Bottom