baby

 1. Suley2019

  Mpenzi wako ana nguvu ya kuifanya siku yako kuanza vizuri na kuwa bora

  Niaje wazee, Ipo magic iliyojificha katika kuanza na positive vibes siku inapoanza kutoka kwa wapenzi wetu au hata watu tunaowapenda. Mpenzi wako ana uwezo wa kuifanya siku yako kuwa ya furaha, kujituma na kufanikiwa. Kinyume chake kuanza na migogoro asubuhi na mpenzi wako kunaweza kuharibia...
 2. dr namugari

  Baby wangu anapost picha za Wanaume kwenye DP yake

  Hiki kitendo anachonifanyia baby mama wangu sielewi kbsa Mara nyingi unakuta amepost na kuwa wish birthday na kuwapongeza kwa mafanikio mbalimbali wanao fikia hao jamaa ,hata wanaomaliza masoma anawapost na kuwa wish na hata wanao oa pia anawapost lkn Wala si ndugu zake au wadogo zake wa damu...
 3. Shining Light

  Why give a new mom a baby present without her congratulatory gift?

  When a woman give birth, we always tend to get the mother baby presents and all but ever wondered may be they deserve a present, It's not easy to have a living being in a womb for 9 months with mood swings, high cravings, constant pain, complications, lack of sleep or being constantly tired. On...
 4. B

  Ukisikia Anakwambia eti Baby nimekumisi, My Friend Watch Your Pocket

  Kama sio Mke wako, whatever she think about you ni Pesa zako tu. Atakutafutia sababu tu akupate. Ukisikia anakwambia Baby nina hamu na wewe tutaonana lini? Basi My friend amemisi kukukwapua pesa zako baada ya kuona umejikalia kimya. Watch your Money usija kubaki unalaumu serikali kwa maisha...
 5. Uzalendo wa Kitanzania

  Wazaa Mtoto Mzungu aliyethibitika ni wao japo baba na mama ni Weusi

  In 2010, a black Nigerian couple living in London gave birth to a whitè, blond haired, blue eyed baby who become known as “The Miracle baby”. When Angela Ihegboro first saw her newborn daughter, she was, “speechless.” “She's a miracle baby,” the 35-year-old mother said, “But still, what on...
 6. Mjanja M1

  UWABATA: Nina 1300 Baby!

  Nimefurahi sana kuona huyu Mwanasheria na member wa chama chetu pendwa cha UWABATA akisimamia Ilani bila ya kuyumbishwa na Binti huyu. Umoja wa Wanaume Bahiri Tanzania (UWABATA).
 7. Etugrul Bey

  Katika hili baby mamas mnafeli

  Jua kali mida ya mchana kuelekea al asiri, mwamba mmoja anaonekana akiongea na simu yake ya mkononi,na hakika amezama hasa katika maongezi yake. Wazee wa Cuba huwa hatukawii kung'amua kwamba kuna kitu hakiko sawa kwa jinsi mwamba alivyokuwa anaongea, ilinichukua sekunde zisizo zidi thelathini...
 8. Joannah

  Karibu baby sis

  Jamaniiiiii my baby Sis is back! Nilikumiss sana mdogo wangu, Mwehu wangu, welcome back my lovely Sis, ur such a beautiful soul. Kwa mtazamo wa nje una mapepe mengiiiii ila in reality una Moyo wa dhahabu, walio karibu na wewe watashuhudia hili. Juzi niliona I'd mpya imechangamka inaitwa...
 9. Burkinabe

  Baby Boomers: Kizazi cha watu wabinafsi kuwahi kutokea duniani!

  Katika utafiti wangu usio rasmi, nimegundua hiki kizazi cha hawa Baby Boomers (watu waliozaliwa mwishoni mwa miaka ya 1940 na mwanzoni mwa miaka ya 1960 i.e 1946-1964), ni kizazi cha watu wabinafsi kuwahi kutokea duniani. Wengi wao, katika nchi nyingi ikiwemo Tanzania, walipoingia tu kwenye...
 10. Braza Kede

  Mliyeoa/kuolewa utakuwa tayari kurudiana na baby wako

  Ikitokea leo hii ndoa zote zikavunjwa hlf mkapewa hiyari ya kurudiana na baby wako kwa aliye tayari. Je utakuwa tayari kurudiana na huyo baby wako? **Mabarubaru peni na karatasi ziwe karibu mchukue notes apa.
 11. Money Penny

  ''I love you Baby, kissess mwaaah'' ndio maneno nakutana nayo kila asubuhi, wewe je?

  Haya haya sasa, mimi kila nikiamka asubuhi, mume ananiambia morning babes! I love you, na mabusu tele, mwaaaah! Sasa sijui upande wako ukiamka kunakuwaje? Unaamka na stress za kausha damu (Marejesho/madeni)? Kuwa mkweli basi tuambie, ni stress au mabusu? Msiopata mabusu asubuhi nawasalimu kwa...
 12. Samatime Magari

  BMW X1 aka Baby BMW SUV

  Hii ni Crossover SUV, Tena ni subcompact Luxury cross over kutoka BMW, Yani Baba Mama Watoto walitaka kupata SUV ndogo na luxury inayotumia mafuta vizuri ndo X1 akazaliwa, saa andaa kifungua kinywa then kaa nikupe madini ya hii gari.. 2009 ndo BMW X1 amezaliwa na alitambulika kama moja ya SUV...
 13. sanalii

  Mimi na mke wangu tunafurahia sana ndoa yetu, ijue maana ya kumuita mwanadani wako "Baby"

  Watu wengi walio katika mahusiano hutumia sana neno baby (mainly in happy times) lakini ni wachache sana wanajua maana ya kumuita mwanadani wako "baby". ukishaelewa maana ya kumuita mwenza wako baby basi utafurahia maisha ya mahusiano yako, hasa wote mkiwa mnafahamu hilo Sasa je nini maana ya...
 14. ndege JOHN

  Baby candy

  Baby usilie Mi najua wazo lako Ni kuwa na mimi leo mpaka kufa (baby Candy usilie) Nenda shule kwanza Halafu mambo ya love ndo baadae yatafuata Usione nadharau Hata mimi nakungoja baby Candy Wala sijakusahau Bado nakupenda usione sikupendi (baby usilie) Umetoroka kwenu Umenifuata home...
 15. Unique Flower

  Baby soma huu Uzi

  Ili penzi la ukweli baby nipe tu Na ukinikuta nimelala unakuja juu Tena kwa jinsi liko hot linawaka wuuu Na ukinikumbatia moyo unadunda puuh Aaah unadunda puuh, puuh puuh puuuu Oooh unadunda puuh, puuh puuh puuuu Aaah unadunda puuh, puuh puuh puuuu Kazi njema baby 💕💕💕🥰
 16. Last Seen

  Dkt. Abbas afunga ndoa na Mamy Baby wa Clouds Media

  Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni,Sanaa na Michezo, Dr. Abbasi amefunga ndoa na Mtangazaji wa Clouds FM Mamy Baby.
 17. Cucciolo mia

  Feelings to my baby

  I know we can't be together right now, we're just too far apart, and I understand that. I also know that logically you will probably never actually see this letter, either. But the same part of me that knows we will be together always, regardless of the way things are right now, believes you...
 18. Sky Eclat

  Rihanna has her baby! The singer and beau A$AP Rocky 'welcomed their son LAST WEEK' but have yet to share the name of the child

  The 34-year-old singer from Barbados had her baby boy on May 13, according to a report from TMZ. The Savage x Fenty designer and the 33-year-old DMB singer have yet to confirm the baby's arrival and the site did not yet have news on a name. The last time the cover girl was seen out in public...
 19. Vaselictor

  Tunalea Watoto wadogo wenye umri chini ya miaka miwili (2)

  Habari mzazi, Je, umekuwa na majukumu mengi na ukatamani upate mahali sahihi ambapo wanalea watoto wadogo wenye umri chini ya miaka miwili (2)? Ikiwa unaishi maeneo ya Bunju, Boko, Mabwepande, Mapinga au maeneo yaliyo karibu na Bunju basi unaweza fika kwenye shule yetu inayoitwa Mchamungu Day...
 20. B

  Baby Madah afunguka 'michezo michafu' ya Industry

  Msanii tajwa fani ya muziki na filamu Baby Madaha aelezea changamoto zinazoua wasanii ktk fani zao ni za kimfumo. Baby Madaha anashangaa kuwa msanii wa umri wa miaka 36 hapa Tanzania anahesabika ni kama gari la namba plate TZA wakati huko Marekani ya Kaskazini, Latin Amerika Ulaya, Mashariki...
Back
Top Bottom