juma jux

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Niko na ujuzi wa kutengeneza sabuni

    Niko na ujuzi wa kutengeneza sabuni Aina tatu nazo ni sabuni za miche, sabuni za maji, sabuni za unga, pamoja na mufata ya mgando na lotion tofauti tofauti. Ila mpaka sasa nimebaki na ujuzi mtaji sina hivyo naomba kwa mwenye kuvutiwa na hili njoo tufanye biashara
  2. Mayunga234

    Vanessa Mdee na Rotimi Watarajia kupata Mtoto wa Kiume

    Exclusive kabisa Vanessa Mdee na Rotimi wapata mtoto wa kiume baada ya kuficha kwa miezi mingi. === Staa Vanessa Mdee na mchumba wake, Rotimi kupitia mitandao ya kijamii wa Instagram wameposti ujumbe unaoshiria kuwa wanatarajia kupata kupata mtoto wa kiume hivi karibuni. Hayo yamebainika...
  3. vvm

    Juma Jux anahitaji support yetu leo than ever

    Baada ya Rotimi kuchafua hali ya hewa huko Insta hatimaye dua za Jux zimekua dua za Kuku, kiukweli wengi hawakutaraji na hata Jux mwenyewe alijua dada yetu anafanyiwa window shopping tu nakuachwa kimasihara ... hatimae limepumzishwa jiwe la magram yakutosha kwenye kidole cha dada yetu , na hii...
  4. Johari msabila

    Juma Jux anaungana na Vanessa Mdee, uhusiano wa Rotimi

    Vanessa aweka wazi na sio Siri tena kuhusu uhusiano wake mpya na jaji mwenzake Rotimi aliyekuwa nae kwenye mashindano ya East Africa got talent kwa kusema Ameamua kuweka wazi japo Ni Siri lakini Juma Jux hakushitushwa kwani anasema walibreak up tangu Disemba 2018 na wala hakushangazwa bali...
  5. mtz one

    Vanessa Mdee: Jux hawezi kitu kitandani

    Akihojiwa EATV vanessa mdee amedai licha ya kuwa na kifua kikubwa bwana Jux kitandani alikua kama gogo. Uzi tayari.
Back
Top Bottom