Mimi na mke wangu tunafurahia sana ndoa yetu, ijue maana ya kumuita mwanadani wako "Baby"

sanalii

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,435
5,102
Watu wengi walio katika mahusiano hutumia sana neno baby (mainly in happy times) lakini ni wachache sana wanajua maana ya kumuita mwanadani wako "baby". ukishaelewa maana ya kumuita mwenza wako baby basi utafurahia maisha ya mahusiano yako, hasa wote mkiwa mnafahamu hilo

Sasa je nini maana ya kumuita mwandani wako baby?
kwa kifupi neno baby lina maana mtoto, sasa je kwanini umuite mwenza wako mtoto? mtoto anasifa zipi ?

0. Mtoto anamahitaji ambayo ni jukumu la mzazi kuyatimiza, mahitaji ya kimwili, kiakili na kijamii
1. Mtoto anakua hafahamu vitu vingi hivyo ni jambo la kawaida kwake kufanya makosa, ni kazi ya mazazi au mlezi kumfundisha baya na zuri
2. Mtoto anapofanya kosa mara nyingi wazazi humsamehe wakiamini hakua anafahamu analofanya.
3. Wazazi hua na imani kua hata kama mtoto atakau msumbufu, ipo siku ataacha na kuwa mwema
4. Hata kama wanapoamua kumuadhibu mtoto, adhabu hua ya kawaida na hawatumii maneno makali

Sasa mnapokutana mke na mume, kila mmoja akawa anamuita mwandani wake baby, inamaana kila mmoja atakua anajiweka katika nafasi ya mazazi na kum treate mwandani wake kama mtoto. sasa fikiria jinsi mama anavyom-treat mwanae mdogo ndio mke amtreat mume wake, sasa wewe mume unahangaika unatafuta nini? the same applies kwa mume.

katika mazingira kama hayo, kila mmoja atakua katika nafasi ya mwalimu yaani, kumuelekeza mwenzake pale anapoona anakosea au hapaelewi at the same time, atajiweka katika nafasi ya mwanafunzi pale atakapoelekezwa na mwanadani wake. mke na mume mkiishi katika misingi hiyo, mtaweza kuitatua migogoro midogo midogo na mtafurahia sana ndoa,

kama bado hujaoa, tafruta mwenza ambae, ukimuelekeza anakuelewa nae yuko tayari kukuelekeza pale anapoona unakosea, nawe uwe tayari kurekebishika. kunatabia kwako unaweza ona sio tatizo ila kwa mwenzako inamsumbua, kama haina madhara yoyote kuiacha, achana nayo ( this is what we call compromnise, the willingness to abandon something in favor of your marriage).

hope you find this useful
 
Hata sisi tulikuwa kama wewe na tumeitana hayo majina ila mpaka sasa nimeshambadili jina nimemsave FISI badala ya baby
Wewe...uliekuwa unajitapa una mke mzuri sana...saiv kakusave fisi?...hahaahahhahaahah
 
Jamaa ana UTANI sana na maisha yaan hiyo ndoa yenu iliyotoka Honeymoon juzi tu hapo tayari ushaanza kujiona unayajua mapenzi kuliko watu wote dunian na umeenda mbali zaid kuanza kuwamotivate watu kuhusu mapenzi&ndoa?

Wew sijui tukukadilie muda gan ama tukupe muda gani wa kuja kuleta mrejesho wa hiyo ndoa yako humu ukilialia kuomba ushauri.

Tulia wew kula raha zako kwa kadiri ya muda wako, yajayo yaja we enjoy kwa sasa acha ujuaji
 
Watu wengi walio katika mahusiano hutumia sana neno baby (mainly in happy times) lakini ni wachache sana wanajua maana ya kumuita mwanadani wako "baby". ukishaelewa maana ya kumuita mwenza wako baby basi utafurahia maisha ya mahusiano yako, hasa wote mkiwa mnafahamu hilo

Sasa je nini maana ya kumuita mwandani wako baby?
kwa kifupi neno baby lina maana mtoto, sasa je kwanini umuite mwenza wako mtoto? mtoto anasifa zipi ?

0. Mtoto anamahitaji ambayo ni jukumu la mzazi kuyatimiza, mahitaji ya kimwili, kiakili na kijamii
1. Mtoto anakua hafahamu vitu vingi hivyo ni jambo la kawaida kwake kufanya makosa, ni kazi ya mazazi au mlezi kumfundisha baya na zuri
2. Mtoto anapofanya kosa mara nyingi wazazi humsamehe wakiamini hakua anafahamu analofanya.
3. Wazazi hua na imani kua hata kama mtoto atakau msumbufu, ipo siku ataacha na kuwa mwema
4. Hata kama wanapoamua kumuadhibu mtoto, adhabu hua ya kawaida na hawatumii maneno makali

Sasa mnapokutana mke na mume, kila mmoja akawa anamuita mwandani wake baby, inamaana kila mmoja atakua anajiweka katika nafasi ya mazazi na kum treate mwandani wake kama mtoto. sasa fikiria jinsi mama anavyom-treat mwanae mdogo ndio mke amtreat mume wake, sasa wewe mume unahangaika unatafuta nini? the same applies kwa mume.

katika mazingira kama hayo, kila mmoja atakua katika nafasi ya mwalimu yaani, kumuelekeza mwenzake pale anapoona anakosea au hapaelewi at the same time, atajiweka katika nafasi ya mwanafunzi pale atakapoelekezwa na mwanadani wake. mke na mume mkiishi katika misingi hiyo, mtaweza kuitatua migogoro midogo midogo na mtafurahia sana ndoa,

kama bado hujaoa, tafruta mwenza ambae, ukimuelekeza anakuelewa nae yuko tayari kukuelekeza pale anapoona unakosea, nawe uwe tayari kurekebishika. kunatabia kwako unaweza ona sio tatizo ila kwa mwenzako inamsumbua, kama haina madhara yoyote kuiacha, achana nayo ( this is what we call compromnise, the willingness to abandon something in favor of your marriage).

hope you find this useful
Hata mwita waitara mke wake alimuita baby siku Ile alipolia
 
Back
Top Bottom