Kama haka kadude kamewahi kukuvutia, na unampango wa kukanunua, hakikisha ni 3rd generation (F55 au F56 au F57)!
Hizi zilitengemezwa kuanzia 2014-2024.
F55 ni 5 doors, 56 ni 3 doors na 57 ni convertible. Ila same engine and chassis.
Kuna watu wanasemaga Mini ni mbovu, ni kweli, ila ni...