jux

Juma Mussa Mkambala (born 1 September 1989), popularly known by his artist name Jux and sometimes referred to as 'African Boy', is a Tanzanian Artist and Songwriter. Born in Dar es Salaam, his interest in music began at a young age, when at the age of 16 he began to rap. However it is his singing that he is best known for to date, and is considered one of Tanzania's highest paid artists. In 2008 when Jux signed to Tanzanian record label A.M records, he began to record R&B songs instead. Since then he has released several hit songs, including 'Sugua' featuring Diamond Platnumz, 'Juu' featuring Vanessa Mdee, and most recently 'Regina' featuring Otile Brown. In 2018 his song 'Uzuri Wako' (translation: Your Goodness) was banned by the Tanzanian Communications Regulatory Authority, along with songs from several other artists, including Diamond Platnumz, for going against Tanzanian morals and values.In 2015, he received an award for 'Best R&B song' at Kili Music Awards, also known as the national Tanzania Music Awards. In 2017 he received an award for the Best East African Music Video at the Zanzibar International Film Festival (2017). And in 2018 and 2019, he was nominated for 'Best Male East Africa' at the AFRIMMA awards. He also appeared performed on Coke Studio Africa in 2019. After numerous single releases, his first album titled 'The Love Album' was released in 2019, featuring tracks from several artists including Nigerian artist Singah and Diamond Platnumz.

View More On Wikipedia.org
  1. Miss Halima

    JamiiForums Tanzania Jux aonesha sura ya mtoto wake kwa mara ya kwanza! wana mnaonaje mwana kapigwa au ni copy

    African BOY! Jux na Mkewe Pricy wameonesha sura ya mtoto wao 'Rakeem' kwa mara ya kwanza wakati akitimiza mwaka mmoja. Priscy kupitia ukurasa wake wa Instagram ame-Share picha za mtoto wao zinazomuonesha sura na kumtakia mtoto wake maisha marefu na baraka tele. Jux Na Priscy walibarikiwa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Jux ameachia Ngoma mpya baada ya kimya kirefu

    Msanii wa muziki kutoka Tanzania, Juma Mkambala maarufu kama Jux, (@juma_jux ) ameachia wimbo mpya unaoitwa “Sexy & Bad” ambao amemshirikisha Staa wa muziki kutoka Ghana, Stonebwoy (@stonebwoy ) Wimbo huo umetoka siku chache baada ya Jux kuibua gumzo kwenye mitandao ya Kijamii kutokana na...
  3. KanyeWest_Tz

    JamiiForums Tanzania Haya haters wa Jux kiko wapi?

  4. Miss Halima

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Picha hii ya Juma Jux akiwa amekonda sana ni halisi?

    Mitandaoni kumeibuka mjadala kuhusu muonekano wa msanii wa Tanzania, Juma Jux, baada ya baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii kudai kuwa msanii huyo amepungua uzito kwa kiasi kikubwa. Baadhi ya machapisho yameambatana na picha na video zake za hivi karibuni, huku watumiaji wakijiuliza iwapo...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Jux kayakanyaga huko! Waja wanauliza kwanini kakonda sana?

    Mitandaoni kumeibuka mjadala kuhusu muonekano wa msanii wa Tanzania, Juma Jux, baada ya baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii kudai kuwa msanii huyo amepungua uzito kwa kiasi kikubwa. Baadhi ya machapisho yameambatana na picha na video zake za hivi karibuni, huku watumiaji wakijiuliza...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Jux alivyomwaga pesa kwenye harusi ya Peller.

    Usiku wa kuamkia leo mwanamzuziki Jux pamoja na mkewake Priscilla walihudhuria harusi ya streamer mkubwa kutoka Nigeria anaeitwa Peller akifunga ndoa na mkewake Jarvis. Soma zaidi:tofauti kati ya harusi za Nigeria na Tanzania Watu mbalimbali mashuhuri walihudhuria harusi hiyo akiwemo staa wa...
  7. de Gunner

    JamiiForums Tanzania Jifunze Kutoka Safari ya Jux: Ndoa na Mahusiano

    Kwanza kabisa Jux is one among the artists ana inborn talent na anajua muziki, rnb zake mwanzoni kabisa zikiwakosha wengi.... Kama mnafatilia anatumia real life scenes kutunga nyimbo na Zina enda kweli.. Kabla ya kujumuika na mwambino(Diamond platnumz) alikuwa anafanya kazi Nzuri sana vibao...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Jux: Siyo vizuri Mashabiki kuwa na chuki na sisi wasanii wao

    Sioni kama ni vyema mashabiki zetu kuwa na chuki na sisi wasanii wenu,wasanii wa mataifa mengine wameendelea kwa sababu mashabiki wa Nchini kwao wanawasapoti kwa moyo mmoja"Amesema Jux
  9. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Jux anaigiza kwenye tamthilia moja Nigeria

  10. BIG BROTHER ALEX

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Show ya Diamond na Jux Nigeria imebuma, spana na utu, spana ziendelee

    Katika Hali ya kushangaza watu wamejiuliza hivi wanigeria nao wamesusa? Ukitoa waandishi wa habari, na familia ya mke wa jux uwanja unabaki holaaa Yani unaweza hata wahesabu, na ukagawa chai na vitumbua vinne na bado ukarudi navo. Muheshimiwa waziri na msemaji wetu girishoni tunaomba show...
  11. Pakome

    JamiiForums Tanzania Wananchi wanalaumu kuhusiana na kauli ya dharau iliyotolewa na Diamond Platinumz, Ommy Dimpoz, Jux na Marioo na siyo masuala ya kisiasa

    Ni makosa makubwa kuwashutumu Wananchi kuwa wanachukizwa na matendo ya Wasanii kujihusisha na Siasa Swala la kujihusisha na Siasa ama Chama cha Siasa ni haki ya kila Mwananchi na Mwananchi hapangiwi au kulazimishwa kuchagua Chama cha Siasa na wala sio kosa Kisheria au Kikatiba kuchagua chama...
  12. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Inasemekana Juma Jux na mkewe wana mpango wa kufanya Adoption

    Hii imenipa maswali sana kwahy jux hawezi kabisa kubebesha mwanamke mimba kwa picha nilio iona ni kwamba mwanamke kavaa zile mimba bandia inaonyesha kabisa na huyo aliyetuma picha hizo kwa group alisema wanafanya adoption na sio kwamba mkewe ni mjamzito Kwahiyo mwamba katuangusha sana kwenye...
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wana Nigeria wana influence kubwa katika Mitandao, wanamtrendisha sana Jux

    Hata ukipress hio trend unaona vyombo vikubwa vya nigeria vikmzunguzia yeye. Tangia mwamba amepata jiko kutoka nigeria, amekuwa talk of town karibia. Africa Magharibi nzima. Sasa aitumie kama fursa, asikae kizembe
  14. jannelle

    JamiiForums Tanzania Maimartha: Jux na Diamond wana urafiki zaidi ya tuujuavyo, Wakubwa mtanielewa

    Mai wa Jesse anasema haiwezekani Mond huyu aliejenga Brand yake kwa Gharama kubwa eti aende tu Nigeria kujichoresha kumfuta machozi na kamasi Jux katika harusi😂😂👋🏼. Hata mimi nimefikiria sana hili jamani, anyways anamalizia kwakusema urafiki wao sio wa kawaida ila neno kawaida mtaelewa wakubwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania zama za kuoa bila malengo zimeshaisha. Jux aingiza mamilioni kwenye digital platforms za Nigeria kwa kupitia ndoa yake

    nyimbo ya jux aliyeitoa kwa ajili harusi yake yashika namba mbili na wimbo mwingine namba tatu kwenye itunes nigeria,, nigeria ni nchi yenye idadi ya watu milioni 230, kwa nyimbo ya jux kutrend kwenye soko la nigeria tu jux anaingiza mamilioni ya pesa kwenye digital platforms
  16. Donatila

    JamiiForums Tanzania Jux na Pricy

    Picha inaongea...
  17. Now and then

    JamiiForums Tanzania Miaka 35 ya Jux akimiliki PESA, ELIMU , UMAARUFU ila bado alikataa kuzaa nje ya ndoa hongera Jux you made it ni somo kubwa sana kwa vijana.

    Miaka 35 ya Jux akimiliki PESA, ELIMU , UMAARUFU ila bado alikataa kuzaa nje ya ndoa hongera Jux you made it ni somo kubwa sana kwa vijana. Jux we ndo kioo cha jamii Hapa Tanzania achana na hao waswahili wanaojiita wasanii.
  18. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Jux anafanya wanaume wote wa Tanzania tuonekane wastaarabu kwenye mapenzi

    Mimi sio hansome,sina hela,sina six pax,sina umaarufu wowote ila tangu january mpaka sasa nimeshatindua mabinti zaidi ya 19,na mwaka bada mbichi kabisa Siku ya msiba wangu nitatia aibu sana kwa rundo la watoto msibani kwangu. Minajijua siendi mbinguni kwadhambi moja tu ya uzinzi Sasa mdogo...
  19. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Groomsmen wa Jux mlipaswa kuvaa vazi la Kitanzania sio pink vazi la ki-Nigeria!

    Inasikitisha Groomsmen wa Jux kuvaa Pink tena vazi la Nigeria! Tuwaeleweje? Bora hata mngevaa lubega la kimasai.
  20. Knock life

    JamiiForums Tanzania Jitahidi uoe mwanamke uliyemzidi kuanzia miaka kumi kama alivyofanya Juma JUX kwa mke wake Prisca

    Jitahidi uoe mwanamke uliyemzidi kuanzia miaka kumi kama alivyofanya Juma JUX kwa mke wake Prisca. Faida ni kuwa utakuwa Comfortable Sana . Na pia utakuwa unawaza kitofauti Sana . Na itakuongezea heshima 35 Yrs Jux 23 Yrs Prisca.
Back
Top Bottom