baby

  1. GRACE PRODUCTS

    JamiiForums Tanzania Dondoo 11 za Utunzaji wa Ngozi za Watoto na Umuhimu wa Mafuta ya Watoto ya Grace My Baby Gardener

    Kama mzazi, moja ya wajibu wako mkubwa ni kuhakikisha afya na ustawi wa mtoto wako. Ngozi ya watoto ni nyororo na nyeti, ikihitaji utunzaji wa kipekee ili kuepusha matatizo ya ngozi kama vile muwasho, ukavu, na mapele. Kupitia makala hii, tunawaletea dondoo 11 muhimu za utunzaji wa ngozi za...
  2. Kahama- shy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo kwa ushahidi: Nimeshampa baby wangu Anita hela ya sikukuu

    Ni Mimi David Omujuni rekwanzila mjukuu wa kanyaitodi Tukogee ebu hatari ola ita NIWATAKIE CHRISTMAS NJEMA AND HAPPY NEW YEAR
  3. aise

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday In advance kwa Baby Boy wetu

    Ni miaka zaidi ya 2,000 sasa tangia azaliwe! Happy Birth Day kwake in Advance
  4. 0

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi Ex wangu anavyonisurubu kupitia mtoto

    .....
  5. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji kumuona Mwanagu, baba yake mlezi ananikatalia

    Karibuni wanajamii forum. Kisa ndo hicho chini ya picha.
  6. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania MJADALA HURU: Chupa elfu moja za mafuta ya watoto zilizokutwa nyumbani kwa PDiddy zilikua na matumizi gani

    Waswahili wanasema ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni Hatukatai PDiddy anao watoto na pengine wanatumia sana mafuta Siyo vibaya pia ata yeye kama anayatumia na ata akijipaka makalioni Swala la msingi la kuuliza hayo mafuta yote chupa 1000 alikua anatumia kwaaajili gani AU TUMUULIZE...
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkiwa mbele za watu anakua baby kweli kweli ila mkiwa chumbani hataki hata kugusana

    Mbele za watu mnakua ni very close, very beneti kama mapacha wa kike na kiume, hadi watu wana watamani. Mkifika nyumbani na mkiwa wawili sasa chumbani dah! Mambo yanabadilika, ile seriousness utafikiri mawakala wa vyama ya siasa kwenye chumba cha kupigia na kuhesabia kura. Ile closeness...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Cardi B na Offset wamkaribisha Mtoto wao wa Tatu, ni baby girl

    Septemba 7 mwaka huu, Cardi B na Offset waliungana kwa pamoja kumkaribisha ulimwenguni mtoto wao wa Tatu pamoja. Cardi B ame-share nasi picha pamoja na video kwenye akaunti yake ya instagram, mtoto huyo ni wa Kike na anakuwa wa tatu akiwafuata; Kulture Kiari Cephus (6) na Wave Set Cephus...
  9. Liverpool VPN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dear Baby, Ukiniomba tu hela basi mimi na wewe tumemalizana..!!!

    Mwenzenu nina ""aleji"" ya kuombwa hela 1. Ukiniomba hela basi ujue sura yako inabadilika kutoka Kuwa Beyonce kwenda Masudi sura mbaya..!!!! 2. Ukiniomba hela basi ujue hilo tako lako loteee linayeyuka, nakua silioni tenaaa ....!!!! Dear baby, ukiniomba hela hiyo meseji sijibu ng'ooooooo...
  10. Bull Striker

    JamiiForums Tanzania Tems Baby ndie Msanii Bomba na Mzuri Kwa upande wa wanawake Africa.

    Wakuu poleni na majukumu.Niende moja Kwa Moja Kwa mada.Ukweli usio kwepeka huyu mwanadada kutokea Nigeria amekuwa mwenye mvuto kila aendako. Kina Drake Burnaboy na Justin Bieber wamekuwa wakimfuatilia Sana kila anapo rukia Stage. Kwa Binafsi yangu nimemkubali Sana huyu Dada aje tuu hapa Bongo...
  11. Bonsipele69

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baby nimeshindwa kulala niko nakuwaza

    Kwa wakati huu niko mpweke nimejiegesha kichwa hakisomi kabisa nimejikuta namiss kuona sms ya baby nimeshindwa kulala nakuwaza ama nyinginezo kama hizo.....daah upweke unaumaa(in voice of mama ndege sjui nan yule wa junior jumbo)
  12. cold water

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi na nyie mnagombana na ma baby zenu kila siku?

    Mbona kama wangu kazidi haipiti wiki hatujagombana japo najijua mi ndo mkorofi,lakini ananikwaza jamani hanipi mda!!!! Mda wore busy tu inawezekana jamani kuongea ni usiku tu, sasa hapa nimempigia nikakuta call waiting nime mkejeri tu msalimie baby oneni alivyonijibu.
  13. MamaSamia2025

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kati ya Shilole (Shishi Baby) na Juma Jux (African Boy) nani mkali zaidi?

    Tumalize huu ubishi ulioenea mtandaoni. Je, kati ya malkia wa bongo fleva Shilole a.k.a Shishi baby na msanii chipukizi (underground) anayeheshimika Juma Jux nani mkali zaidi? Kwa wale wasiofahamu nyimbo zao nimewaandikia ili mkazisikilize huko YouTube. SHILOLE 1. Lawama 2. Nakomaa na jiji 3...
  14. dr namugari

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baby wangu anapost picha za Wanaume kwenye DP yake

    Hiki kitendo anachonifanyia baby mama wangu sielewi kbsa Mara nyingi unakuta amepost na kuwa wish birthday na kuwapongeza kwa mafanikio mbalimbali wanao fikia hao jamaa ,hata wanaomaliza masoma anawapost na kuwa wish na hata wanao oa pia anawapost lkn Wala si ndugu zake au wadogo zake wa damu...
  15. Shining Light

    JamiiForums Tanzania Why give a new mom a baby present without her congratulatory gift?

    When a woman give birth, we always tend to get the mother baby presents and all but ever wondered may be they deserve a present, It's not easy to have a living being in a womb for 9 months with mood swings, high cravings, constant pain, complications, lack of sleep or being constantly tired. On...
  16. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukisikia Anakwambia eti Baby nimekumisi, My Friend Watch Your Pocket

    Kama sio Mke wako, whatever she think about you ni Pesa zako tu. Atakutafutia sababu tu akupate. Ukisikia anakwambia Baby nina hamu na wewe tutaonana lini? Basi My friend amemisi kukukwapua pesa zako baada ya kuona umejikalia kimya. Watch your Money usija kubaki unalaumu serikali kwa maisha...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Wazaa Mtoto Mzungu aliyethibitika ni wao japo baba na mama ni Weusi

    In 2010, a black Nigerian couple living in London gave birth to a whitè, blond haired, blue eyed baby who become known as “The Miracle baby”. When Angela Ihegboro first saw her newborn daughter, she was, “speechless.” “She's a miracle baby,” the 35-year-old mother said, “But still, what on...
  18. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania UWABATA: Nina 1300 Baby!

    Nimefurahi sana kuona huyu Mwanasheria na member wa chama chetu pendwa cha UWABATA akisimamia Ilani bila ya kuyumbishwa na Binti huyu. Umoja wa Wanaume Bahiri Tanzania (UWABATA).
  19. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Katika hili baby mamas mnafeli

    Jua kali mida ya mchana kuelekea al asiri, mwamba mmoja anaonekana akiongea na simu yake ya mkononi,na hakika amezama hasa katika maongezi yake. Wazee wa Cuba huwa hatukawii kung'amua kwamba kuna kitu hakiko sawa kwa jinsi mwamba alivyokuwa anaongea, ilinichukua sekunde zisizo zidi thelathini...
  20. Joannah

    JamiiForums Tanzania Karibu baby sis

    Jamaniiiiii my baby Sis is back! Nilikumiss sana mdogo wangu, Mwehu wangu, welcome back my lovely Sis, ur such a beautiful soul. Kwa mtazamo wa nje una mapepe mengiiiii ila in reality una Moyo wa dhahabu, walio karibu na wewe watashuhudia hili. Juzi niliona I'd mpya imechangamka inaitwa...
Back
Top Bottom