Wazaa Mtoto Mzungu aliyethibitika ni wao japo baba na mama ni Weusi

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,209
4,706
1700049104472.jpg

In 2010, a black Nigerian couple living in London gave birth to a whitè, blond haired, blue eyed baby who become known as “The Miracle baby”.

When Angela Ihegboro first saw her newborn daughter, she was, “speechless.” “She's a miracle baby,” the 35-year-old mother said, “But still, what on Earth happened here?”.

What happened is that baby Nmachi is a blond, blue-eyed whitè baby born to two Black Nigerian immigrant parents at a London hospital. “The first thing I said was, 'What the flip?'” said the father, Ben Ihegboro. “We both just sat there after the birth -staring at her for ages not saying anything."

Genetics departments in the UK went c.razy because the couple fit none of the factors on how something like this could have happened. Usually doctors would determine the baby is albino, but the baby has no albino characteristics.

They would then look to the ancestors of the parents to see if there were mixed babies in the past. There are no mixed babies in the past. Genetic experts don’t believe in miracles, but they didn’t have any simple answers to the mystery of baby Nmachi. Nmachi - meaning “Beauty of God”.

DNA pròved the man òwns the bàby.
 
Ameletwa kuwaokoa wana wapalestina!
 
Waswahili tunajua kuliko hao wataalamu wa kizungu wa Genetics.Ujuzi tulionao kwa swala kama hilo hao madaktari bingwa hawatufikii

Waswahili tuna Msemo kitanda hakizai haramu huyo mtoto wa kwao mia kwa mia na ni wa huyo mwanaune kabisa
 
Huyo mwanamke atakua alihonga madoctor....tuishinao kwa akili
Screenshot_20231105-132522.jpg
 
Waswahili tunajua kuliko hao wataalamu wa kizungu wa Genetics.Ujuzi tulionao kwa swala kama hilo hao madaktari bingwa hawatufikii

Waswahili tuna Msemo kitanda hakizai haramu huyo mtoto wa kwao mia kwa mia na ni wa huyo mwanaune kabisa
Mwanaume anafanywa boya hapa!
Mtoto sio wake na hakuna shaka ktk hili!
Watanzania ndugu zangu nawakubali sana. Mnapingana na science?
Nimecheka sana Wallah.
 
Kitanda haiizai haramu full stop
Hakuna cha Gebetics wala DNA test ujinga wa wazungu

Mimi kama ndugu wa huyo Mwanaume nasema huyo mtoto mzungu ni mtoto wetu na jina la ukoo na ni la ukoo wetu wa Ihegboro

Kwa jina halisi la mtoto ni la kinigeria anaitwa Nmachi Ihegboro jina ka babu yake aliyeko Nigeria
Case closed
 
Watanzania ndugu zangu nawakubali sana. Mnapingana na science?
Nimecheka sana Wallah.
Science ilikuweko miaka yote sio kwa wazungu tu hata watanzania tulikuwa nayo ndio maanna baada ya wanasayansi wa kitanzania swala kama hilo kuliangakia kwa muda mrefu karne nyingi wakafikia conclusion kuwa kitanda hakizai haramu

Unataka watanzania tuwaamini wanasayansi wazungu tuache kuamini wanasayansi wetu waafrika? Hapana hilo hatukubali watanzania. Tunasimama na wanasayansi wetu wa karne na karne watanzania

Kitanda hakizai haramu
 
Back
Top Bottom