Baby soma huu Uzi

Unique Flower

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
12,714
24,891
Ili penzi la ukweli baby nipe tu
Na ukinikuta nimelala unakuja juu
Tena kwa jinsi liko hot linawaka wuuu
Na ukinikumbatia moyo unadunda
puuh

Aaah unadunda puuh, puuh puuh puuuu
Oooh unadunda puuh, puuh puuh puuuu
Aaah unadunda puuh, puuh puuh puuuu

Kazi njema baby 💕💕💕🥰
 
Penz lisichache cute...likichacha kwa ninavyokujua..atajuta huyo jamaa🙆
Penzi lipashwe moto mara kwa mara. Likitolewa kwenye kuni liwekwe kwenye mkaa. Likitolewa kwenye mkaa liwekwe kwenye jiko la mafuta ya taa. Likitolewa huko liwekwe kwenye friji. Likitolewa huko lipashwe kwa gesi, na baadae liwekwe kwenye microwave, litachacha saa ngapi?

Tatizo letu tunataka penzi lijichunge lenyewe. Penzi ni kama maji, linabebwa kwa mikono miwili ya upendo
 
❤❤❤❤❤kabisa,mapenz ni kujitoa mhanga kama kweli huyo mtu hutaki apotee.
 
Penzi lipashwe moto mara kwa mara. Likitolewa kwenye kuni liwekwe kwenye mkaa. Likitolewa kwenye mkaa liwekwe kwenye jiko la mafuta ya taa. Likitolewa huko liwekwe kwenye friji. Likitolewa huko lipashwe kwa gesi, na baadae liwekwe kwenye microwave, litachacha saa ngapi?

Tatizo letu tunataka penzi lijichunge lenyewe. Penzi ni kama maji, linabebwa kwa mikono miwili ya upendo

Ushauri huu umfikie nyau wangu mmoja hivi..!

Cc Carleen
 
Naaaaaaaaaam
 
Attachments

  • IMG_20221231_123258_692.JPG
    IMG_20221231_123258_692.JPG
    33.9 KB · Views: 2
Back
Top Bottom