Search results

  1. Izy_Name

    VFX, Modeling, na Archtecturing natafuta Ajira

    Ninaandika ujumbe huu kwa nia ya kutafuta fursa za ajira katika mambo ya VFX, modeling au architectural design. Mimi ni mtaalamu mwenye ujuzi katika maeneo haya na ninatafuta sehemu ninayoweza kufanya kazi zinazo husiana 3D. Nina tumia Blender kwa ubunifu wa 3D, uhuishaji, na modeling. Nina...
  2. Izy_Name

    Mtizamo wangu kwa idara za kiusalama

    Ningependa kutoa ushauri wangu juu ya tathmini fupi nilioifanya kwa macho na kwa kutafakari juu ya baadhi ya idara mbalimbali hapa nchini. 1. Nikianza na TISS ningependekeza kuwe na idara mbili zenye kufanya kazi sawa na TISS bila ya kuwa ushilikiano wa aina yeyote wa kiutendaji katika...
  3. Izy_Name

    Simba SC yatinga Robo Fainali ya Kombe la Dunia huko twitter

    Klabu ya Simba SC Kutoka Tanzania Inatinga Hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Dunia kwenye Mtandao wa Twitter Klabu ya Simba SC kutoka Tanzania imeweka historia ya kuwa timu ya kwanza kutoka Afrika Mashariki kufika hatua ya robo fainali ya Kombe la Dunia linaloendeshwa kupitia mtandao wa...
  4. Izy_Name

    Mshambuliaji Jean Baleke awasha moto Simba SC

    Habari kuhusu mshambuliaji Jean Baleke wa Simba imewaacha mashabiki wa Yanga wakishangaa kutokana na ubora wa mchezaji huyo katika kupiga mabao. Baleke amekuwa akifunga mabao kwa wingi na kwa sasa kocha wake amewapa mabosi wa Simba ramani ya kumweka ndani ya timu hiyo. Kocha wa Simba...
  5. Izy_Name

    Mapambano ya matajiri wawili yakwamisha safari ya Yanga kurejea nyumbani

    Klabu ya Yanga ilikuwa jijini Lubumbashi kwa mechi yao ya mwisho na TP Mazembe na walitarajiwa kurejea nchini Tanzania juzi usiku. Hata hivyo, kulikuwa na vita ya kifamilia kati ya matajiri wawili jijini hapo. Tajiri namba moja wa Yanga, Ghalib Said Mohamed, alikuwa na faili zito la usajili...
  6. Izy_Name

    AC Milan midfielder Franck Kessie faces uncertain future at Barcelona due to financial woes

    Imagine if you, like Franck Kessie, were responsible for the winning goals in the past two Clasicos for Barcelona in your first season at the club. You would feel like the king of the world, right? But despite your success and the potential to be Real Madrid's kryptonite, you're still not...
  7. Izy_Name

    Andre Mtine Atua Cairo

    Habari za kufurahisha moyo kwa mashabiki wa Yanga! Klabu hiyo imemtuma tena Ofisa Mtendaji wao Mkuu, Andre Mtine, kwenda kufuatilia droo ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika na Ligi ya Mabingwa Afrika. Hafla hiyo itafanyika kesho jijini Cairo na Yanga ni moja kati ya timu 8...
  8. Izy_Name

    Nabi kuukosa mchezo Kongo

    Nabi rasimi kathibitisha kuwa hatakuwa pamoja na kilabu ya Yanga kwenye mechi yao dhidi ya TP-Mazembe nchini Kongo katika mchezo wa marudiano wa shirikisho la Afrika. Kumekuwa na sintofahamu na mashabiki wengi wa soka wakijiuliza juu ya kumkosa kocha mkuu wa yanga katika mchezo huo...
  9. Izy_Name

    Simba kufumua benchi upya

    Badilisha baadhi ya maneno kwenye taarifa hii, lakini ujumbe ule ule: "Kikosi cha Simba kipo Casablanca, Morocco kwa ajili ya mechi yao ya mwisho ya Kundi C ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Raja Casablanca itakayopigwa saa 7 usiku wa kuamkia Jumamosi. Timu zote mbili zimeshafuzu kwa robo...
  10. Izy_Name

    vita ya kushuka daraja premier league

    Wakati Ligi Kuu ya Uingereza inaanza tena mwishoni mwa wiki hii, vita ya kuepuka kushuka daraja inageuka kuwa kama filamu ya kusisimua, huku pointi nne pekee zikiwatofautisha timu tisa za chini. Timu sita kati yao zimebadilisha makocha ili kuepuka janga la kushuka daraja ambalo linaweza...
  11. Izy_Name

    Saka kulipwa Sh123 milioni kwa siku Arsenal

    Mkataba huo mpya utakuwa na maboresho makubwa kwenye mshahara wa staa huyo, kutoka kiwango anacholipwa kwa sasa cha Pauni 70,000 kwa wiki na kuwa mchezaji anayelipwa pesa nyingi zaidi kwenye kikosi hicho kinachonolewa na Mikel Arteta, Pauni 300,000 kwa wiki sawa na pesa ya Kitanzania Sh858...
  12. Izy_Name

    Mdomo umemsaliti Antonio Conte Tottenham

    Kocha Antonio Conte ameachana na klabu ya Tottenham akisema ni kwa makubaliano na pande zote mbili ambazo zimefikia haki. Hata hivyo, ni wazi kuwa mdomo ndio uliomkumba Conte klabuni hapo kwa kauli zake motomoto huku Spurs wakipendelea kula njaa. Kocha Antonio Conte ameondoka katika klabu ya...
  13. Izy_Name

    Rais Samia ametoa tiketi 7,000 za mechi ya Stars vs Uganda

    Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Saidi Yakubu amesema tiketi hizo ni kwa ajili ya motisha ili kuhakikisha timu yetu ya taifa inafanya vizuri katika mchezo unaotarajiwa kuchezwa na Uganda siku ya jumanne tarehe machi...
  14. Izy_Name

    SIMBA na usajili msimu ujao

    KOCHA Mkuu wa Simba Robert Oliveira ‘Robertinho’ amepania kuongeza idadi ya mastar katika kilabu ya Simba huku akitazamia zaidi katika mechi za kimataifa, kwa sasa kwa kila mchezo anaocheza uwe wa kimataifa au wa ndani anakuwa na kazi nyingine ya kutafakari nini kimepelea na nini cha kuongeza...
  15. Izy_Name

    Klabu ya Simba imeingia mkataba wa miaka miwili na kampuni ya MobiAd

    Klabu ya Simba imeingia mkataba wa miaka miwili na kampuni ya MobiAd kwa ajili ya kusaidia ukuzaji wa maendeleo ya soka la Vijana huku Mkataba huo ukiwa na Thamani ya 500M huku kukiwa na nafasi ya kuboresha zaidi. “Soka la vijana ni muhimu sana. Ili uwe na timu ya vijana iliyo bora lazima...
  16. Izy_Name

    Kylian Mbappe Kuiongoza Ufaransa

    Kylian Mbappe ndiye mshambuliaji aliyechaguliwa kuwa mbadala wa Hugo Lloris ambaye alistaafu kuchezea timu ya taifa Januari 2023, mwezi mmoja baada ya Ufaransa kupoteza Kombe la Dunia kwa Argentina. Mbappe ataanza kazi yake ya unahodha katika kikosi kwa mara ya kwanza itakuwa Ijumaa, Machi 24...
  17. Izy_Name

    Azam inamtaka Ibenge

    Wakati Azam FC ikibakiza mechi tano kumaliza msimu wa Ligi Kuu Bara, tayari imeanza kimyakimya kutafuta kocha mpya atakayeiongoza msimu ujao ambao imepania kutwaa ubingwa huku kocha wa Al Hilal ya Sudan, Mkongomani Florent Ibenge akitajwa kutinga kikosini hapo ndani ya kipindi hiki cha mwisho wa...
  18. Izy_Name

    Haji Manara: Sijawahi kumtukana MO

    "Huko nyuma nilipojiunga na Champions, hawa wafanya interview za kujitafutia Rizki ya kula,waliandika hilo ndio anguko la Haji, haikuwa kwa Uwezo wa Allah. Nilipofungiwa waliandaa hadi Party Kwamba nimekwisha, Mungu yule yule akakataa. Brand iliyoojengwa kisawa sawa haifi kwa maneno ya...
  19. Izy_Name

    Msaada: Blog yangu inanipa ujumbe nisio uelewa

    Site ni mpya nimenunua domain name kutoka godaddy ndo mara ya kwanza naiweka google search console nakutana na huu ujumbe. Maelekezo ya Youtube nimeyafuatilia lakini hayafanyi kazi naitaji msaada.
  20. Izy_Name

    Msaada wa kibenki tafadhali

    Niende moja kwa moja bila kuweka mbwembwe, Nina kadi ya CRDB Tembo Card Master, nimejaribu kuitumia kufanya manunuzi AliExpress imegoma naambiwa We don’t support this kind of card. Please try another. Kifupi wanamanisha aina hii ya card haitumiki AliExpress, swali langu ni je, naweza...
Back
Top Bottom