The Kingdom of Kongo (Kongo: Kongo dya Ntotila or Wene wa Kongo; Portuguese: Reino do Congo) was a kingdom located in west central Africa in present-day northern Angola, the western portion of the Democratic Republic of the Congo, the Republic of the Congo as well as the southernmost part of Gabon. At its greatest extent it reached from the Atlantic Ocean in the west to the Kwango River in the east, and from the Congo River in the north to the Kwanza River in the south. The kingdom consisted of several core provinces ruled by the Manikongo, the Portuguese version of the Kongo title Mwene Kongo, meaning "lord or ruler of the Kongo kingdom", but its sphere of influence extended to neighbouring kingdoms, such as Ngoyo, Kakongo, Loango, Ndongo and Matamba, the last two located in what is Angola today.From c. 1390 to 1857 it was mostly an independent state. From 1857 to 1914 it functioned as a vassal state of the Kingdom of Portugal. In 1914, following the Portuguese suppression of a Kongo revolt, Portugal abolished the titular monarchy. The remaining territories of the kingdom were assimilated into the colony of Angola and the Protectorate of Cabinda respectively. The modern-day Bundu dia Kongo sect favors reviving the kingdom through secession from Angola, the Republic of the Congo, the Democratic Republic of the Congo, and Gabon.
HEKAYA FUPI YA HALI YA MTANDAO WA BARABARA KATIKA JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA KONGOJamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ina mtandao mkubwa wa barabara wenye takribani kilometa 152,000, lakini sehemu ndogo sana ndiyo iliyowekwa lami na kupitika kwa uhakika mwaka mzima.
Barabara nyingi za kitaifa...
Hii Nchi hakuna kiongozi anayejali Watanzania bali wanajali pochi zao.
Madereva wanateswa, wananyanyaswa, na kubaguliwa huko Kongo, lakini Serikali ipo kimya. Mabolozi wana kazi gani?
Huo Uchumi utakuaje kama Magari ya Tanzania yamawekwa foleni 24/7? Hayo mapato ya bandari mtapataje? One stop...
Kongo imeipiku Ethiopia na kuwa nchi ya tano kwa uchumi mkubwa barani Afrika kusini mwa jangwa la Sahara ambapo Afrika Kusini bado ndio inayoongoza kwa kuwa na uchumi mkubwa zaidi barani Afrika.
Katika muktadha huu haijulikani Tanzania ni ya ngapi lakini ni ukweli ulio wazi kwamba inazidiwa...
Wakati uchaguzi wa uraisi unaendelea jamhuri ya kongo mtandao wa NetBlocks umetangaza kukatika kwa intaneti karibu nchi nzima.
Kwa mujibu wa mkurugenzi wa NetBlocks, Alp Toker, kiwango cha muunganisho wa intaneti kimeshuka hadi karibu asilimia 3 ya kiwango cha kawaida, hali inayoweza kupunguza...
Salaam Wakuu,
Inadaiwa Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ, wanakufa kama Nzi au Mbu huko Kongo.
Hii habari nimeiona mtandaoni. Je, hizi habari ni za kweli?
Sasa kwanini Wananchi ambao ndo wahusika wa Jeshi hatuambiwi?
Waziri wa Ulinzi yupo kwenye Sherehe za Futari na kufuturu...
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imekamilisha usafirishaji wake wa kwanza kabisa wa shaba kwenda Marekani kupitia mradi unaoungwa mkono na kampuni ya Mercuria, hatua inayochukuliwa kama mafanikio makubwa katika sekta ya madini na biashara ya nchi hiyo. Usafirishaji huo unaashiria...
Dereva wa Kampuni ya Usangu ametekwa huko Kongo.
Kwanini Serikali ya Tanzania inakalia kimya hivi vitendo? Kazi kutangaza Bandari ya Dar, lakini Watanzania wakitoa mzigo Dar kupeleka Congo, hawarudi na hakina anaye jali. Je, Makubaliano ya Tanzania na Kongo yapoje kibiashara?
Baada ya uchafuzi wa Kongo uliomuweka Kabila Mdogo madarakani, wakongo waishio Ulaya waliojiita Les Combattants walihakikisha wale waote waliosapoti na kumpigia kampeni Kabila hawafanyi show Ulaya.
Waliopatwa na hiyo dhahama walikuwa Koffi Olomide na wengineo. Kosa lao kubwa lilikuwa kupokea...
Kwa mujibu wa kituo cha habari cha D.W:
Mazungumzo kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na waasi wa AFC/M23 yameahirishwa kwa muda usiojulikana. Mazungumzo haya yalitarajiwa kurejea leo mjini Doha, Qatar.
https://p.dw.com/p/4ygiw
Picha: Vlad Vanderkelen/Belga/picture alliance/Tony...
persecution of Christians is real …
Zaidi ya watu 40 wameuawa katika shambulio lililofanywa na kundi tanzu la Dola la Kiislamu (Islamic State) kaskazini-mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa na jeshi la nchi hiyo.
Wengi wa waliouawa walikuwa waumini...
Ndugu wanajamii,
Leo nimekuja na mada inayoweza kuzua mjadala lakini yenye umuhimu mkubwa katika historia ya muziki wetu wa Rumba kutoka Kongo. Tunapozungumzia Rumba, mara nyingi tunawaona wanamuziki wa kiume wakipewa kipaumbele, lakini ukweli ni kwamba wanawake wamekuwa na mchango mkubwa sana...
Naam viongozi wa kiafrika wanafanana kwa hulks zao wanatofautiana vipindi tu.
Sikazi watu kuona wanauana kule Congo, Sudan na kwinginepo lakini hakuna chochote wanafanya.
Wengine wanajipitisha kuwa wagombea URAIS. Ukiwauliza machawa wanasema ni mwanamke wa shoka wengine wanakimbilia DINI yake...
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imepiga marufuku vyombo vya habari nchini humo kuripoti kuhusu shughuli za aliyekuwa Rais, Joseph Kabila, pamoja na kufanya mahojiano na wanachama wa chama chake cha siasa. Amri hii inajiri wakati kukiwa na mvutano mkubwa wa kisiasa kati ya Bw...
drc
habari
jamhuri
joseph kabila
kabila
kidemokrasia
kongo
kutoa
marufuku
mstaafu
rais
rais mstaafu
raisi
serikali
shughuli
taarifa
vyombo
vyombo vya habari
wa zamani
yapiga
yapiga marufuku
zamani
Siku moja nikasogea kwenye hii chagua chagua pale Buguruni sokoni bus stand pale, Kwa Mnyamani. Kwa kweli viatu vilivyokuwa vimemwagwa pale siyo viatu ile ni uchafu!!
They never worthed kupanda Meli visafiri umbali wote ule na vishughulishe watu wetu kuwa eti wako kwenye biashara!
Mamlaka zina...
Duru za pande hasimu nchini Kongo zimesema serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na waasi wa M23 wanajiandaa kwa mazungumzo ya ana kwa ana April 9.
Wizara ya mambo ya kigeni ya Marekani, imemteua Massad Boulos kuwa mshauri wa ngazi ya juu wa masuala ya Afrika, Arabuni na mashariki ya kati...
Mhalifu wa kivita aliyepatikana na hatia nchini Uganda ametangaza vuguvugu jipya la waasi lililo na nia ya kuiangusha serikali katika jimbo la Ituri mashariki mwa Kongo, na kusababisha tishio jingine la usalama katika eneo hilo lililokumbwa na vita.
Kuundwa kwa kundi la Azimio la Mapinduzi...
Uwezi kusema kiswahili kipo uganda,rwanda,burundi wala sudani kwa upande wa mashariki ya kongo ila hawa wana kiswahili ambacho utajua kipo tanzania ni kwamba hapa kwenye nchi hizi ndio tatizo.
Ili ni taifa ambalo limekosa kujua wa kuwashika mkono sababu ndio wabantu wenyewe.
Kwa nini wasomi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.