Izy_Name
JF-Expert Member
- Apr 9, 2020
- 1,061
- 2,552
Niende moja kwa moja bila kuweka mbwembwe,
Nina kadi ya CRDB Tembo Card Master, nimejaribu kuitumia kufanya manunuzi AliExpress imegoma naambiwa
We don’t support this kind of card. Please try another.
Kifupi wanamanisha aina hii ya card haitumiki AliExpress, swali langu ni je, naweza nikapata mtandao mwingine naoweza kufanya manunuzi kwa card hii hii ya Tembo Card bila kwenda bank kufanya maboresho yoyote? Hata ikiwezeka kuilink na mitandao mingine kama paypal n.k, ambayo itanisaidia kufanya purchasing.
Ni hayo tu.