Search results

  1. Mlolongo

    Gari yangu inakimbia sana!

    Kuna project naisimamia pale Kibaha Mailimoja. Kwahiyo route za kutoka Makongo Juu kwenda Kibaha na kurudi daily hazikatiki. Zile njia sita kutoka Kimara hadi Mailimoja zimenipa nafasi kujua kumbe gari yangu inakimbia mazee. Gari yenyewe ujue ni gari gani basi? Ni Passo Racy, 1290CC. Ni ya...
  2. Mlolongo

    Diamond Platnumz hiki nini tena?

    - Longido moja hiyo.... - Halafu huyu mama nilijua atakufa... Badala yake mtoto ndio kachomwa knife... - Kikao cha mirathi kijijini Engikaret Longido... - Kuna wadau wanaponda eti haikutakiwa Tattoo zionekane... - Bodaboda wa Longido, wamepauka vumbi hadi kwenye kope... - Walevi...
  3. Mlolongo

    Kumbe Diamond Platnumz ni mkali hivi?

    - Cheki anazinguliwa na boss mjapan Gotojo Naguteka - Cheki anakula msoto na ngalawa Bagamoyo - Cheki anahenya na rumbesa mitaa ya Buguruni malapa - Mvua ikinyesha Tandu wanatambaa hadi ukutani - Sio tandu tu,hadi vyura.. - Kaamua kuwa mwizi, liwalo na liwe - seti kali kuliko zote...
  4. Mlolongo

    Nimetumia dakika nane (8) kupika na kuivisha njugumawe!

    Nimenunua njugumawe nusu kilo. Huku Makongo Juu wanauza 1 kg = 3,400 Nikachambua, nikatia kwenye thermos flask kisha nikaweka maji ya moto (100°c), nikafunga chupa. Hapo ilikua saa tatu usiku. Asubuhi nikafungua thermos, nikamimina njugumawe kwenye sufuria. Zilikua hazijalainika ile kuiva...
  5. Mlolongo

    Mistari katikati ya barabara inatumikaje kisheria?

    Tuanze na hii picha namba moja. Mstari mmoja mweupe solid katikati ya barabara maana yake hauruhusiwi ku-overtake. Si ndio hivo wakuu ama? Je, mistari ikiwa double. Kama picha namba mbili hapa chini? Tofauti na namba moja iko vipi? Tuendelee... Kuna sehemu mstari mmoja solid, mwingine...
  6. Mlolongo

    Ukitaka usimkinai mwanamke, usiwe unapiga bao!

    Saikolojia ya mwanaume iko hivi... Mwanaume rijali always huwa anatamani kulala (kufanya mapenzi) na mwanamke ambaye hajawahi kulala nae kabla. Si unasikiaga wanasema eti, wanaume ni watu wa tamaa, wao kila mwanamke anamtamani tu. Hiyo ndio sababu sasa. Yani iko hivi, mwanaume akishamgonga...
  7. Mlolongo

    SOLD: Nauza Bata Bukini wakubwa. Nipo Makongo Juu

    Aim: Nauza Bata Specie: Bukini Serbié wakubwa idadi: Wawili (dume na jike) Price: Dume (TZS 330,000) na Jike (TZS 300,000) Combined Price: Ukichukua wote nakuuzia kwa 600,000/=. Location: Makongo Juu, DAR. Mawasiliano: 0718 102033 Nota bene: Huyu Jike anataga, as of today anaatamia mayai kumi...
  8. Mlolongo

    Sticker ya "Nenda kwa usalama barabarani" naipata wapi?

    Leo nimepigwa mkono na Traffic (walikua wengi) pale Magufuli Hostel wakidai nimepita taa nyekundu za Kona ya Mawasiliano. Mkubwa wao nikasikia anasema "mwambieni atoe leseni haraka asitupotezee muda aandikiwe faini!" Nikawabishia hasa kuwa "I'm damn sure" nimesimama kwenye taa. Always huwa...
  9. Mlolongo

    Nauza paka/nyau, nipo Makongo Dar

    Nauza paka/nyau. Ni domestic cats, species aina ya Felis Catus. Location: Makongo Juu (opposite na nyumba ya Professor Rwekaza Mkandala) Mawasiliano: 0718 727210 (Whatsapp/SMS) Bei: 540,000/= kwa paka mmoja. Ukichukua wawili unalipa 1,060,000/= Picha: Anajificha nisimpige picha Anapiga...
  10. Mlolongo

    Sasa kaka, mtanipeleka wapi au ndio basi tena?

    Muhusika: Mdogo wangu kamaliza form four Issue: Kwa matokeo yake alopata, what next? Kaniuliza kama kaka yake. Matokeo yake yakoje: Haya hapa: Civics C ... History D... Geography D ... Kiswahili B ... English C ... Lit. Eng C ... Chemia D ... Biology D ... Mathematics F. Nimesikia ili uendelee...
  11. Mlolongo

    Nina milioni tano, naweza pata kiwanja upande huu wa Dar es Salaam?

    Mfukoni (actually ni kwenye account ya TigoPesa) nina milioni tano taslimu. Natafuta kiwanja upande wa kuanzia Ubungo kwenda Goba, Salasala, Tegeta, Madale, hadi Bunju. Lakin pia Ubungo kwenda Kimara pande zote, Mbezi huko msakuzi, hadi Kibamba, Kiluvya. Kifupi tu nalenga maeneo ambayo ni...
  12. Mlolongo

    Nimepoteza dongle ya mouse yangu wakuu, nifanyeje!!

    Nimepoteza antenna (dongle) ya wireless mouse yangu. Bila hii dongle, siwezi kutumia mouse wala external keyboard yangu... Kazi hazifanyiki kabisa, maana internal keyboard ya laptop baadhi ya button zinazingua. Naweza nikapata replacement yake kweli? Ama 2.4 GHz frequency bands...
  13. Mlolongo

    Nifanyeje niweze kuunganisha mabao!!

    Kipindi kile nipo Form One nilikuaga nikipiga nyeto naweza unganisha bao mbili mfululizo. Yaani nikirusha wazungu, mashine hailali naweza endelea hadi narusha tena. Lakin tangu nivuke miaka 18 nikaanza kugonga madem, sijawahi kabisa kuunganisha mabao. Nikipiga bao moja tu, mashine inalala...
  14. Mlolongo

    Kumbe mafuta nayotumia kwenye gari ni sawa na ningekua napanda bodaboda!!

    Umetimia mwaka sasa tangu ninunue gari yangu hii ya kwanza. Babywoka safi inanitosha, 1290cc engine 1KR. Tangu ninunue hii babywoka nilikua sijawahi kukaa na kufanya 'cost-analysis' upande wa mafuta nayotumia. Zaidi nilikua nahisi kama gari 'inanifilisi' vile navokua natoa 20,000 au 30,000...
  15. Mlolongo

    TARURA: Nimebambikiwa parking fee ya masaa manne baada ya kupark kwa dakika tano!!

    Manzi wangu aliniomba niende na nyama choma home wakati natoka kumsindikiza mshikaji wangu Airport. Basi nikapitia pale Mwenge kwa huku nyuma karibu na jengo la zamani la HESLB kuna restaurant wanachoma nyama kizazi sana. Nikafika pale, nikaenda kuweka order nikawaambia wanifungie. Wakati...
  16. Mlolongo

    Alama hii ya Tahadhari barabarani inamaanisha nini?

    Naiona sehem chache sana. What's so special about it?
  17. Mlolongo

    Wapenzi wangu wa zamani wameolewa lakini naendelea kuwatafuna kama kawaida

    Sijaona 'significant' difference kabla hawajaolewa na baada ya kuolewa. Naendelea kuwabinya kama kawa. Labda tofauti ndooogo iliopo ni vizinga. Sasa hivi hawanipigi mizinga ya kipumbavu. Si wanahudumiwa na waume zao bana? Sana sana huwa naingia gharama za nauli kuwavuta waje machinjioni. Maana...
  18. Mlolongo

    Mwanamke akikupenda raha, pamoja na kumcheat kaninunulia perfume ya 170,000/=

    Alikuta picha kwenye Facebook messenger yangu. Picha yenyewe ni dogo mmoja ametoka kuoga, amefumua nywele. Maana nilimwambia ukifumua nataka nizione nywele zilivorefuka. Aliniwakia sana. Tena ilikua usiku tumetoka Sunrise Beach Resort vizuri tu. Tumefika karibu na kwao nataka nimuage ndio...
  19. Mlolongo

    Hii video ya IYO, inadhihirisha kiasi gani Diamond Platnumz yupo serious kwenye investment ya music videos!

    Hivi mshikaji hela anazo invest kwenye videos zake zinarudigi kweli? Mfano kwenye inama, Waah!! Unaona kabisa hapa hela ilotumika si ya kitoto... Video ya IYO ndio balaa, kwanza kuna scenes karibu 30 mule, kuanzia wanafunzi darasani, magodoro, club, wadada wawili, masela wawili, mavazi...
  20. Mlolongo

    Kumbe hili ndio jengo refu kuliko yote Bongo!

    Lina floor 35 (bila kuzingatia ground floors). Sijui Benjamin Mkapa Pension Tower lina floor ngapi?
Back
Top Bottom