Kumbe Diamond Platnumz ni mkali hivi?

Mlolongo

JF-Expert Member
Jul 4, 2019
3,271
5,892
- Cheki anazinguliwa na boss mjapan Gotojo Naguteka
1674662759441.png


- Cheki anakula msoto na ngalawa Bagamoyo
1674662785794.png


- Cheki anahenya na rumbesa mitaa ya Buguruni malapa
1674662911304.png


- Mvua ikinyesha Tandu wanatambaa hadi ukutani
1674663030567.png


- Sio tandu tu,hadi vyura..
1674663072796.png


- Kaamua kuwa mwizi, liwalo na liwe
1674663131175.png


- seti kali kuliko zote... hapa sijui animation imetumika? cheki ile milipuko kule nyuma
1674663419261.png


- paka kajisevia samaki
1674663476242.png


- ukisikia "utaishia kunawa" ndio hii
1674663509645.png
 
Kwan maskini hawachori tattoo....afrika hii maskini wana tattoo kibao
Sio wale wa hohehae km jinsi Mond alivyoact kwenye hiyo video,maeneo ya vijijini huko kwenye maskini wa kutupwa kama Mond kwenye huo wimbo ukimkuta kachora sana Tattoo ni zile tattoo za korosho sio hizo za special ink,yaan mtu kula kwake tu kunamshinda anawezaje kuchora tattoo za gharama zaidi ya 50000???
 
Back
Top Bottom